Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
YametimiaMsishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi ya Lissu. Watasema wamesafiri kikazi! siku kumi na nne za kesi zikiisha wajipe muda zaidi maana hawataweza kujibu maswali
YametimiaMsishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi ya Lissu. Watasema wamesafiri kikazi! siku kumi na nne za kesi zikiisha wajipe muda zaidi maana hawataweza kujibu maswali
UmeumbukaKabla a uamuzi mdogo mlisema Mahakama haiowaia, imewaia mnasema wakuu watapanga safari, mnahangaika sana.
Tutajua nchi haendelei kwa sababu tunaongozwa na viongozi walioishia la saba b.Kwani akisema aliishia la 7b kuna tatizo?
Nabii LemaMsishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi ya Lissu. Watasema wamesafiri kikazi! siku kumi na nne za kesi zikiisha wajipe muda zaidi maana hawataweza kujibu maswali
Mshtakiwa awalete mashahidi wake, wenzake wapo sirias yeye analeta utotoUmeumbuka
Naomba uje...Hivi kamanda unafikiri wakuu wetu wa vyombo vya ulinzi ni majua? Ebu acheni kubagaza viongozi kamanda... maana ata muda huu hupo free na safe kwenye key board kutokana na wao kutimiza wajibu wao.
Then it happened.Msishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi ya Lissu. Watasema wamesafiri kikazi! siku kumi na nne za kesi zikiisha wajipe muda zaidi maana hawataweza kujibu maswali
Hawawezi kufuta kesi kwasababu wanajua Lissu atadai fidiaKwa kuwa wao ndio vyombo, ni bora wangefuta case mambo yasiwe mengi
Na wengne ni form six na miaka mitatu chuoni.Tutajua nchi haendelei kwa sababu tunaongozwa na viongozi walioishia la saba b.
Huyo mtu humo psychologically, anataka mfanye mnavyotaka...Hawawezi kufuta kesi kwasababu wanajua Lissu atadai fidia
Ndiyo Mkuuhivi CDF na IGP si itabidi ataje na kiwango chake cha Elimu ?
Yupo ambaye alikuwa PP hapo Kisutu for decades.Katika watu wenye Experience ya Mahakama ni Kingai kwa sababu ni Kachero wa mda mrefu hapa labda useme CDF na DGTISS
Wambura shule imo, sema kaamua kujiuza kwa bei ya chee.. ni PhD holder huyo.. CDF ndio 🥴🥴hivi CDF na IGP si itabidi ataje na kiwango chake cha Elimu ?
Hawana Cha kuogopa mbona ,,Msishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi ya Lissu. Watasema wamesafiri kikazi! siku kumi na nne za kesi zikiisha wajipe muda zaidi maana hawataweza kujibu maswali
Sema umeamua kumpaisha sana aisee sio kwelWambura shule imo, sema kaamua kujiuza kwa bei ya chee.. ni PhD holder huyo.. CDF ndio 🥴🥴