D Doria Mtandaoni JF-Expert Member Joined Jun 17, 2025 Posts 461 Reaction score 934 Sep 16, 2026 #101 IQup said: 1. Rais, hayupo nchini yupo nje 2. CDF, hayupo nchini yupo nje 3. IGP, hayupo nchini yupo nje Hii maana yake Nini?, lango liko wazi..nchi Haina mwenyewe wakati huu. Maadui wa nchi hawawezi kutumia mwanya huu kweli Click to expand... Hii inji kubinuliwa ni raisi chana.
IQup said: 1. Rais, hayupo nchini yupo nje 2. CDF, hayupo nchini yupo nje 3. IGP, hayupo nchini yupo nje Hii maana yake Nini?, lango liko wazi..nchi Haina mwenyewe wakati huu. Maadui wa nchi hawawezi kutumia mwanya huu kweli Click to expand... Hii inji kubinuliwa ni raisi chana.
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 23,114 Reaction score 29,434 Sep 16, 2026 #102 Tresor Mandala said: halafu baada ya 2030 ? wanamuachia au ? Click to expand... Ndiyo, watamuachia maana Hana hatia. Wameshatest kwa Polepole, Nchimbi wameona watanganyika hamnazo kwahiyo watamweka ndani Lissu maana hakuna cha kuwatisha tena.
Tresor Mandala said: halafu baada ya 2030 ? wanamuachia au ? Click to expand... Ndiyo, watamuachia maana Hana hatia. Wameshatest kwa Polepole, Nchimbi wameona watanganyika hamnazo kwahiyo watamweka ndani Lissu maana hakuna cha kuwatisha tena.
Q Quinine Platinum Member Joined Jul 26, 2010 Posts 25,848 Reaction score 63,306 Sep 16, 2026 Thread starter #103 Lissu: Mhe. CDF Umesema wiki iliyopita ulikuwa nje ya nchi kweli au sio kweli na umerudi lini. CDF: Juzi. Lissu: Tunaweza kumuita Kamishina wa uhamiaji kuthibitisha. CDF: aa... ee... iii.. unajua... Lissu: Wewe ni mfanyakazi wa umma nafikiri unapokea mshahara, ile hotel ya London ni yako au siyo yako, jibu ndio au hapana. Lissu: Naweza kukuonyesha hati ya mmiliki wake. Yaani tabu tupu.
Lissu: Mhe. CDF Umesema wiki iliyopita ulikuwa nje ya nchi kweli au sio kweli na umerudi lini. CDF: Juzi. Lissu: Tunaweza kumuita Kamishina wa uhamiaji kuthibitisha. CDF: aa... ee... iii.. unajua... Lissu: Wewe ni mfanyakazi wa umma nafikiri unapokea mshahara, ile hotel ya London ni yako au siyo yako, jibu ndio au hapana. Lissu: Naweza kukuonyesha hati ya mmiliki wake. Yaani tabu tupu.