Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

Kweli kabisa Mkuu. Wiki iliyopita kwenye Hifadhi ya Tarangire eneo la TAWA niliwaona Jamaa wa TAWIRI walikuwa wakiwadaka baadhi ya wanyama pori na kuwapakia kwenye lori lao.
Oooh aina gani kwenye maroli labda walikuwa wanawapeleka chanjo
 
Kuna ndege kubwa sana ilitua na kuondoka uwanja wa ndege wa Kilimanjaro tarehe 22 December!

Labda wataalam mtusaidie kutuambia liliondoka limebeba nini!
Wakikuambia limebeba nini utalia, ni afadhali uyaache maana hata wakikuambia kilichobebwa hakirudi tena!
 
Ina maana tbc hawakuwepo hapo kutuelezea tukio hilo la kihstoria ndani ya nchi yetu,daah tbc wangekuwepo kuonyesha live ili tujue movie ya royal tour imeanza kulipa.ila ukiona kimya inawezekana kweli tuulize faru John kama yuko salama huko mbugani
Kuna jamaa mmoja juzi kati alikuwa ametinga raba kali akiwa na wa ubavu wake huko Olduvai kwa madai ya kupumzisha akili.

Inawezekana haya yakawa matunda ya mapumziko
 
156,000 kg ni kilo 15,000! Shule muhimu ndugu zangu.
 
Tangazo la Dubai kwenye jengo refu zaidi duniani
 
Ata mm nimeiona leo kwa taarifa ya habari,ni ndege kubwa ya cargo..nadhani zipo mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…