Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Haki ya MUNGU tunapigwa parefu sana kwenye hili ligede,hii nchi itabaki nyeupeImerudia tena tripu ya pili!, naskia itakuja tripu tano kama gari la mchanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haki ya MUNGU tunapigwa parefu sana kwenye hili ligede,hii nchi itabaki nyeupeImerudia tena tripu ya pili!, naskia itakuja tripu tano kama gari la mchanga
Rasilimali kwa ajili ya feature ya watoto wenu ba wajukuu zi aporwa nyie mko bise na utani? Ficheni ujinga wenu
Haijalishi, ila inabakia pale pale wewe ni mjingaNikiwa mjinga wewe inakuuma nini?. Nani kakwambia kila mtu ana mtoto
Hilo dege limerudi tena! Bwaaaah nasikia ni tripu tano kama gari la mchangaMnaweza mizaha mingi saba kwenye mambo nyeti na muhimu sana? Kuna baadhi ya post hazihitaji mizaha na utani utani
Haijalishi, ila inabakia pale pale wewe ni mjinga
Acheni kugombana tujadili hili Dege limerudi tenaWewe una akili. Pole sana
Dhambi sana kuwadanganya wananchi wako. Imetua na kuondoka. Unamdanganya nani? Na yule twiga pale ametoka hifadhini kwenda kushangaa ndege?
Ila Serengeti itabaki kuwa Serengeti na safari park itabaki hivyoWametengeneza safari park hapo Dubai inafanya a copy na Serengeti hadi udongo na vegetation Serengeti kabisa, tafuta Google utaiona
Haya ni Mawazo ya waganga wa Kienyeji.Mashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?
![]()
Kama tu kumi au kumi na mbili na visimba vichache bila kusahau tu pundamilia tuwili tutatuTumekopeshwa sana mwaka huu hivyo lazima turudishe fadhila kwahyo tunatoa tutwiga tuchache kwa wadeni wetu
Akina Tomaso tunaomba kuviona hivyo vifaa vya utalii.maana bagosha hiiiiiiiiiiiiiii
Samahani nawewe ninani kwenye uzi huu baada yakuchangia nauliza tu.Humu kulivyo na mapoyoyo hata huu ushuzi watauchangia. Hii nchi kuna mapumbavu mengi sana. Anatokea mpuuzi kuleta uzushi km anaharisha wanatoka mapumbavu yanamwunga mkono. JF imevamiwa.
Jidege linapiga tripu shamba tribu Abu Dhabi! Linaleta mabegi ya watalii dadadekiiiMtoa mada, jidege bado lipo au linakula timing kwanza?
Mwaka Jana Tena. Kwani mwaka huu umeisha. Vita imeanza 24.02.2022Antonov 225,zilitengezwa mbili tu, moja ilikamilika, nyingine bado , iliishia nusu, ukraine hawajawahi kuimalizia,
Iliyokuwa inapiga kazi, ilikua ni moja, nayo warusi waliilipua siku wanavamia ukraine mwaka jana, pale uwanja wa ndege wa Antonov, kiev
Kama ni hivyo basi kheli! Wacha jidege liendeleage kuja! Tripu shamba tripu majuuIsije kuwa limetuletea uwanja wa mpira toka QATAR maana nasikia viwanja vimeanza kuvunjwa, na zagazaga nyingi zitakuja Afrika kwa hisani ya mfalme Al Hushoom.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Humo itakuwa kama safina ya nuhu,twiga,tembo,swala watakuwa hawako salama