Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

Mashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?

img-20221226-wa0012-jpg.2458542
Haya ni Mawazo ya waganga wa Kienyeji.

Kitendo cha Mashine hiyo kutua hapa maana yake ni Business appetite.

Maana yake tunaweza kuinua tones and Tones za Bidhaa mbali mbali tukazipeleka Dunia ya Kwanza na kwingineko.

Badala ya kufikiria na kutafuta Business opportunity tunaanza kuwanga!

Hivi tunataka nini sisi jamani?

Tungeomba tarrifs na kutambua biashara iliyoko ndani ya Antoniv 124...

Tukawahi sokoni...!

Tukaipa kazi ya kuja kila siku...!!

Hayo ndo Mawazo ya KIBIASHARA!!
 
Isije kuwa limetuletea uwanja wa mpira toka QATAR maana nasikia viwanja vimeanza kuvunjwa, na zagazaga nyingi zitakuja Afrika kwa hisani ya mfalme Al Hushoom.
 
Antonov 225,zilitengezwa mbili tu, moja ilikamilika, nyingine bado , iliishia nusu, ukraine hawajawahi kuimalizia,
Iliyokuwa inapiga kazi, ilikua ni moja, nayo warusi waliilipua siku wanavamia ukraine mwaka jana, pale uwanja wa ndege wa Antonov, kiev
Mwaka Jana Tena. Kwani mwaka huu umeisha. Vita imeanza 24.02.2022
 
Isije kuwa limetuletea uwanja wa mpira toka QATAR maana nasikia viwanja vimeanza kuvunjwa, na zagazaga nyingi zitakuja Afrika kwa hisani ya mfalme Al Hushoom.
Kama ni hivyo basi kheli! Wacha jidege liendeleage kuja! Tripu shamba tripu majuu
 
Back
Top Bottom