Mashambulizi dhidi ya Magufuli: Michezo au upepo wa kisiasa?

Uzalendo ni kuipenda nchi yako na kuwa tayari kujitoa bila kujibakisha, hata uhai wako ikilazimika.

Uzalendo unahusisha kuchukulia attacks zozote zinazoelekezwa kwa nchi yako, ama ambazo zina lengo la kuihujumu nchi yako, kama zako binafsi.

Na hiki ndicho alichokifanya Magufuli. Alikuwa mzalendo kwelikweli.
 
Rushwa haitokani na ubovu au ubora wa Katiba bali ni hulka au asili ya watu kutoka kwenye familia zao na koo zao.
 
Sasa waambie na watetezi wengine wa legacy waje na approach ya namna hii,sababu vitendo vya jiwe vimezalisha wahanga wengi kiasi kwamba wenye maumivu makali yasiyo mithilika. Huwezi kuwaambia chochote kujustify utekaji utesaji na uuwaji.
 
Lakini alivuna nini????? Hawa ambao walikuwa wanasema shauri yenu mnaobaki madarakani unaona sasa wanatawala remotely. Wanaoumia si JPM bali familia yake tu
 
Rushwa haitokani na ubovu au ubora wa Katiba bali ni hulka au asili ya watu kutoka kwenye familia zao na koo zao.
Tunaweza ku-deal nayo vipi ili kuipunguza au kuimaliza kabisa kama inawezekana?
 
Sasa waambie na watetezi wengine wa legacy waje na approach ya namna hii,sababu vitendo vya jiwe vimezalisha wahanga wengi kiasi kwamba wenye maumivu makali yasiyo mithilika. Huwezi kuwaambia chochote kujustify utekaji utesaji na uuwaji.
Afadhali umenielewa! Lakini ndo maana kuna mwalimu na mwanafunzi, kuna kiongozi wa dini na muumini. cc Lole Gwakisa
 
Katiba inayopendelea wanawake hiyo ni Katiba? Acha porojo.
 
Lakini alivuna nini????? Hawa ambao walikuwa wanasema shauri yenu mnaobaki madarakani unaona sasa wanatawala remotely. Wanaoumia si JPM bali familia yake tu
Ndivyo ilivyo siku zote mkuu, siyo kwa Magufuli pekee. Lakini ashukuriwe Magufuli kwa kutenda wema huku akijua ataambulia matusi tu.

Those are mere unproven opinions from his critics.

Regarding Former CAG: he was shrugged off by the MPs whom he'd lambasted as weak!

He has himself to blame, why should this be shouldered on Magufuli?
Daah! Mere unproven opinion ( accusations) haya bhana. Unajua kuwa area D Dodoma kwenye makazi ya viongozi kunalindwa 24/7? Hatuna vacuum of security even for a second. At that particular day there were none and no one was held accountable up to date. This doesn't signify that the act was organise and planned wth the so called maelekezo kutoka juu? Nani hakupangia lindo walinzi pale on that material day na amechukuliwa hatua gani?
 
Tunaweza ku-deal nayo vipi ili kuipunguza au kuimaliza kabisa kama inawezekana?
Utawala wa sheria na utii wa sheria,pili elimu kuhusu ubaya na madhara ya Rushwa watu wafundishwe kutoka shule za Msingi hadi vyuo vikuu,semina za mara kwa mara kuhusu hili jambo,nafasi za ajira kwa TAKUKURU zisiangalie tu watoto wa vigogo na wale waliozaliwa mjini,vyombo mbali mbali vya serikali visimamie udhibiti wa hili jambo na mwisho Utawala wa sheria unaozingatia fursa sawa kwa vyama vyote vya siasa nchini mambo ya chama tawala kutamba muda wote na kuziba midomo vyama vingine ni kosa kisheria,na ndiyo mwanzo wa rushwa.
 
You're speculating, dear learned brother.
 
And here comes Magufulism.
 
Ndiyo maana nchi yao inayumba sana hata kwenye mambo ya usalama,HILI NENO MFUMO DUME ni tamaa ya kumiliki mali na pesa na wala si uwajibikaji na maadili.
Tanzania tunaongozwa na Rais mwanamke, usisahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…