Mashambulizi dhidi ya Magufuli: Michezo au upepo wa kisiasa?

Wameshindwa kufanya mambo mema mengi kama Magufuli, wanaishia kumpinga.
 
Mbona hata Makonda mwenyewe ni shoga? Alipambanaje na mashoga wakati yeye mwenyewe anapakuliwa? Marehemu Spika Awamu ya kwanza ya JK na Mbunge wa Urambo alimhamishia nyumbani kwake kabisa kama hawara
Kwahiyo madaktari ni wagonjwa, askari ni majambazi?
 
Kuna watu ni wajinga na hamjijui.
 
Wameshindwa kufanya mambo mema mengi kama Magufuli, wanaishia kumpinga.
Wanajua wananchi walaelewa A to Z mambo mema aliyoyafanya Magu, tena kwa muda mfupi.
Sasa wanaonawasipo jaribu kumpondaponda watu watakuwa wanapima muda na matokeo ya utendaji kama alivyo fanya Magu.

Naamini kabla ya 2025 mudautakuwa umesha toa jibu ngoja kwanza tuanzekulipia mitandao.
 
Yeye mwenyewe alikuwa na PhD fake ndio maana waliohoji mpaka leo haifahamiki wamezikwa wapi.
Wataje kwa majina, sasaivi mmebaki na vimaneno vya kuokoteza okoteza tu na vi ushahidi uchwara nothing else.
Na naamini wewe unalopoka tu humu jf lakini huwezi kuongea huo upuuzi mtaanikwako watakushangaa.

Akiliyenu ndio inaishia hapo kwenye kubunibuni maneno ya kijinga.

Endeleeni kujitoa akili lakini ukweli utabaki milele kwamba Magu alikuwa mtu mwenye maono na mzalendo wakweli, alieonyesha kwamba kazi ya urais sio rahisi.
 
Nguvu mnazotumia kumtetea Jiwe, mngezitumia kupiga punyeto.
 
FUTA
 

Haya siyaongei mtaani tu, hata kwenye mikusanyiko tunaongea na inaeleweka. Magu alikuwa mzalendo kwa wajinga.
 
Ukiona mtu anamshambulia JPM ujue ni mpuuzi na ni wa kupuuzwa.
Ukiona mtu anamtukuza dikteta Magu jua ni msukule. Unawezaje kuacha kuona uovu wa Magufuli kama wewe siyo msukule? Kiongozi ambaye hakuficha uovu wake kwa kauli na kwa matendo!
 
Haya siyaongei mtaani tu, hata kwenye mikusanyiko tunaongea na inaeleweka. Magu alikuwa mzalendo kwa wajinga.
Basi wanakuona mjinga ndiomaana wanakusikiliza tu.

Wewe na wenzako wote mnaojitoa akili humu ingieni facebook ama youtube, alafu tafuta mjadala wowote unao muhusu magu hata ule wa zito tu alafu soma comments zote ndio utajua mitaani kunanini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…