Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,593
- 6,754
Ndio, angalau kwa kuwatumbua nyie vyeti feki mnao lialia kila siku humu kwamba mlionewa bila ushahidi.Magu hatachafuka kwani alikuwa msafi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio, angalau kwa kuwatumbua nyie vyeti feki mnao lialia kila siku humu kwamba mlionewa bila ushahidi.Magu hatachafuka kwani alikuwa msafi?
Wameshindwa kufanya mambo mema mengi kama Magufuli, wanaishia kumpinga.Hawa watumwa wenye ID zao mbilimbili ndio wanatumwa kujaribu kupima upepo na kwabahati hojazao niza kijinga hazina fact yoyote.
Wanateseka sana na kivuli cha magu, nimtu mjingatu ndio anaweza kutumia nguvu kupambana na marehemu kiumbe ambacho hakina uhai yani nisaeasawa kama kupigana na ukuta.
Hawa wajinga ningewaona wana akili kama nguvu wanazo tumia kupambana na kaburi wangezitumia kudai katiba mpya ili hatauo uongowao angalau upate mashiko kwamba hawataki wanachosema kitokee tena kwa kubadilisha katiba iliyopo.
Kwahiyo madaktari ni wagonjwa, askari ni majambazi?Mbona hata Makonda mwenyewe ni shoga? Alipambanaje na mashoga wakati yeye mwenyewe anapakuliwa? Marehemu Spika Awamu ya kwanza ya JK na Mbunge wa Urambo alimhamishia nyumbani kwake kabisa kama hawara
HAPANA ila Makonda ni shogaKwahiyo madaktari ni wagonjwa, askari ni majambazi?
Kuna watu ni wajinga na hamjijui.Hii nchi ina mipumnavu michache kama Sang'udi na ndiyo inafanya tudharauliwe.
Hoja za kipumbafu sana hizi, na yeyote anayeziunga mkono ana akili ndogo kama PIRITONI.
Yaani yule DIKTETA ali- misuse raslimali za nchi kwa kwenda kujenga miundombinu mikubwa kuliko mahitaji halisi ya kitongoji cha Chato, isitoshe kila alichofanya hakikuwa na approval ya Bunge,
Ndio, angalau kwa kuwatumbua nyie vyeti feki mnao lialia kila siku humu kwamba mlionewa bila ushahidi.
Una utindio wa ubongo si bure! Lakini unaeleweka tangu Zamani
Wanajua wananchi walaelewa A to Z mambo mema aliyoyafanya Magu, tena kwa muda mfupi.Wameshindwa kufanya mambo mema mengi kama Magufuli, wanaishia kumpinga.
Wataje kwa majina, sasaivi mmebaki na vimaneno vya kuokoteza okoteza tu na vi ushahidi uchwara nothing else.Yeye mwenyewe alikuwa na PhD fake ndio maana waliohoji mpaka leo haifahamiki wamezikwa wapi.
Nguvu mnazotumia kumtetea Jiwe, mngezitumia kupiga punyeto.Hawa watumwa wenye ID zao mbilimbili ndio wanatumwa kujaribu kupima upepo na kwabahati hojazao niza kijinga hazina fact yoyote.
Wanateseka sana na kivuli cha magu, nimtu mjingatu ndio anaweza kutumia nguvu kupambana na marehemu kiumbe ambacho hakina uhai yani nisaeasawa kama kupigana na ukuta.
Hawa wajinga ningewaona wana akili kama nguvu wanazo tumia kupambana na kaburi wangezitumia kudai katiba mpya ili hatauo uongowao angalau upate mashiko kwamba hawataki wanachosema kitokee tena kwa kubadilisha katiba iliyopo.
Akili zimewaishia kwa sababu ya stress sasa mnalopoka ujingatu kama huu, Magu hachafuki kipumbavu jipangeni vizuri sio kwa maneno ya hovyo kama hayo.Nguvu mnazotumia kumtetea Jiwe, mngezitumia kupiga punyeto.
FUTANaona kuna mchezo unaendelea wa kuwazubaisha watu ili wasahau madai ya msingi ya taifa letu kwa sasa, Katiba Mpya na madudu mengine kwenye sekta ya nishati.
Unapoona mtu hata kama ni mnafiki, kila siku anakuja na malalamiko kuhusu makosa aliyofanya marehemu, lakini akiambiwa aungane na wengine kutafuta solution ili makosa kama hayo yasijirudie, yeye anakimbilia kutaka Tume Huru kwanza, ujue huyo mtu hajielewi, ametumwa, na ni mbinafsi.
Hata kama akija na kisingizio cha haki yake ya kutoa maoni, ajue hayo maoni ya kulalamika kila siku bila kuja na solution ni kelele tu kwa wanaojielewa, namshauri aache utapeli wa kuchezea akili za wajinga, aweke maslahi ya taifa letu mbele bila kujali nani yupo madarakani.
Wataje kwa majina, sasaivi mmebaki na vimaneno vya kuokoteza okoteza tu na vi ushahidi uchwara nothing else.
Na naamini wewe unalopoka tu humu jf lakini huwezi kuongea huo upuuzi mtaanikwako watakushangaa.
Akiliyenu ndio inaishia hapo kwenye kubunibuni maneno ya kijinga.
Endeleeni kujitoa akili lakini ukweli utabaki milele kwamba Magu alikuwa mtu mwenye maono na mzalendo wakweli, alieonyesha kwamba kazi ya urais sio rahisi.
Ukiona mtu anamtukuza dikteta Magu jua ni msukule. Unawezaje kuacha kuona uovu wa Magufuli kama wewe siyo msukule? Kiongozi ambaye hakuficha uovu wake kwa kauli na kwa matendo!Ukiona mtu anamshambulia JPM ujue ni mpuuzi na ni wa kupuuzwa.
Basi wanakuona mjinga ndiomaana wanakusikiliza tu.Haya siyaongei mtaani tu, hata kwenye mikusanyiko tunaongea na inaeleweka. Magu alikuwa mzalendo kwa wajinga.