Pamoja na kazi nzuri sana wanayofanya vijana wetu, niliwahi kupendekeza hapa kuwa....
Kwa kuwa kitengo cha kurusha mabomu ni muhimu sana kwenye VITA
Kwa kukiboresha, wasisahau pia kuchukua wanafunzi waliosoma Physics kidato cha sita (A-Level) kwani hao wakifundishwa vizuri wanaweza kufanya kazi nzuri sana na ya kitaalam ....Topic ya hesabu za projectile nk wanakuwa wameshaisoma vizuri.
Kwa kufanya hivyo vita inaweza kupigwa kwa gharama nafuu na madhara madogo kwani accuracy ya kurusha mabomu itaongezeka sana....
Na ndio sababu unaweza kusikia baadhi ya Nchi zilizoendelea zinajisifia kuwa, zina Jeshi dogo ila mahiri kwa kila idara...