Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma

Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma

Pamoja na kazi nzuri wanayofanya vijana wetu, niliwahi kupendekeza hapa kuwa....
Kwa kuwa kitengo cha kurusha mabomu ni muhimu sana kwenye VITA
Kwa kukiboresha, wasisahau pia kuchukua vijana waliosoma Physics kidato cha sita (A-Level) kwani hao wakifundishwa vizuri wanaweza kufanya kazi nzuri sana na ya kitaalam ....Topic ya hesabu za projectile nk wanakuwa wameshasoma vizuri huko shuleni.

Kwa kufanya hivyo vita inaweza kupigwa kwa gharama nafuu na madhara madogo kwani accuracy ya kurusha mabomu itaongezeka sana....
Na ndio sababu unaweza kusikia baadhi ya Nchi zilizoendelea zinajisifia kuwa, zina Jeshi dogo ila mahiri kwa kila idara...
ni fursa kwa Tanzania kupeleka vijana wengi wa kutosha china, urusi na israel au uturuki kujifunza matumizi ya drone za vita, na kuzitengeneza pia, au kununua walau chache though najua ni gharmaa sana. wacongo walikodi warusha drones toka romania wazungu ambao walipoona vita ngumu wamesalenda kwa kagame wamerudi kwao. congo wangekuwa wamefundisha vijana wao wenyewe kurusha drones wasingepata hasar ahiyo. Tz najua mnaendana na teknolojia, msilale, vita za siku hizi pamoja na ukakamavu, unaweza kupigwa hata na kilema aliyekaa sehemu anarusha drones.
 
Unahisi masuala ya makombora umeyagundua wewe leo hii na JWTZ hawakuwa wanayajua, na hao waliohitimu Physics hawakuwa wanawaona.

Au unahisi hao M23 ni kama panya road wanajirundika makundimakundi ili uwapige hizo projectiles umalize vita.

Vita ingekuwa rahisi hivyo Marekani asingekaa Vietnam miaka nane, wala Urusi asingeshindwa Afghanistan.
Movie zinafanya vijana waone vita ni rahisi sana, kwamba komando mmoja anaweza kuwamaliza waasi wote 😁😁
 
Hizi picha ni za tarehe 9 January, ambapo sio Goma wala hazikukamatwa na JWTZ.
Picha mojawapo hapo ni ya Masisi ambapo FARDC walikamata some elements za M23.

Umepakua picha mitandaoni, ukachomeka neno JWTZ.
Acha ubishi mkuu sijakulupuka kuweka izo pc
 
Tz ni nchi tajiri hatuna tamaa na vimali vya wizi. Nyie hakupaswa kuwa nchi maana hamna rasilimali ndomaana mnaishi kwa wizi bila wizi wa madini hilo taifa litacolapse.
Sasa kama tz mna mali mnahangaika na nini huko Congo?
 
Sasa kama tz mna mali mnahangaika na nini huko Congo?
Tunahangaika na wezi wa mali tunataka kuwafundisha ustarabu nyie maskini wa ARDHI NA MALI.

Mrudini kwenye nature mtubu huwenda mkapata AMANI ya kudumu.THE BLOOD mnayomwaga itawatafuna kwenye hako kanchi kenu maisha yenu wote.

Taifa lisiilo na umoja,taifa lenye madaraja ya kijamii ni taifa mfu.You guys have alot to learn mkija huku TZ huko misituni Gisenyi na Kigali mnaishi kama wanyama.
 
Wanachonifurahisha wanagisenyi ni tabia yao ya kukimbia kwao ambapo kutwa kucha wanapasifu na kuparemba ila WAKISHAKUJA MJINI TZ huwa hawataki kurudi kwao huko misituni Gisenyi🤣🤣🤣🤣

Utakuta wanaanza kujinasibisha mara ooohhh sisi ni waha😀😀😀mara wajiite wanyambo.Nyie wezi wa madini siku mkirudi huko msituni kwenu muondoke na somo la AMANI na mkawafundishe na M23 jinsi binadamu kamili wanavyoishi vizuri na ukabila ni UJINGAUJINGA TU!!!
 
Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma View attachment 3222386jeshi la wananchi JWTZ limepoteza Askari wawili huku M23 wakishindwa kusonga mbele kutokana na mashambulizi mazito ya JWTZ yakiendelea idadi ya Askar wa M23 waliofaliki katika mashambulizi hayo imewekwa kapuni na msemaji wa jeshi la waasi M23.
Goma mbona imeshatekwa kitambo na M23 .....au kuna Goma nyingine?
 
PRAY FOR DRC CONGO

Chanzo cha vita kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na waasi wa Mouvement du 23 Mars (M23) ni mchanganyiko wa sababu za kisiasa, kiusalama, kijamii, na kiuchumi. Hapa kuna baadhi ya vyanzo vikuu vya mgogoro huu:

1. Mkataba wa Amani wa 23 Machi 2009

M23 inadai kwamba serikali ya DRC ilikiuka makubaliano ya amani ya mwaka 2009, ambapo wapiganaji wa kundi la CNDP (Congrès National pour la Défense du Peuple) walipaswa kuingizwa katika jeshi la taifa na kupatiwa haki zao. Wanadai kwamba serikali haikutekeleza kikamilifu makubaliano haya, hivyo wakaasi tena mwaka 2012 na baadaye kurejea tena 2021-2022.

2. Mgogoro wa Kabila la Watutsi Mashariki mwa DRC

M23 inawakilisha maslahi ya jamii ya Watutsi wa Kongo, ambao wanahisi wametengwa na kunyanyaswa na serikali. Wanadai kuwa serikali ya DRC inashirikiana na makundi yenye chuki dhidi yao kama Forces Démocratiques de Libération du Rwanda (FDLR), kundi lenye mizizi ya waasi wa Kihutu waliohusika na mauaji ya kimbari ya Rwanda mwaka 1994.

3. Uhusiano Mbaya kati ya DRC na Rwanda

Serikali ya DRC inaituhumu Rwanda kwa kuwaunga mkono waasi wa M23 kwa silaha, mafunzo, na vifaa vya kijeshi, madai ambayo Rwanda inakanusha. Mivutano hii imesababisha uhusiano mbaya kati ya nchi hizi jirani na hata kupelekea mzozo wa kidiplomasia.

4. Rasilimali Asili za Kongo

Mashariki mwa DRC ni eneo lenye utajiri mkubwa wa madini kama dhahabu, kobalti, na coltan. Kuna madai kuwa M23 na mataifa jirani yana nia ya kudhibiti rasilimali hizi kwa faida ya kiuchumi.

5. Udhaifu wa Jeshi la DRC (FARDC) na Umoja wa Mataifa (MONUSCO)

Jeshi la DRC limekuwa likikumbwa na changamoto za ufisadi, ukosefu wa vifaa, na mgawanyiko wa ndani. MONUSCO, jeshi la kulinda amani la Umoja wa Mataifa, pia limelaumiwa kwa kushindwa kuwalinda raia dhidi ya waasi, jambo ambalo limewafanya baadhi ya watu kuunga mkono M23 kama mbadala wa usalama.

6. Kuendelea kwa Mapigano na Juhudi za Kidiplomasia

Licha ya juhudi za kikanda za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Umoja wa Mataifa, na Umoja wa Afrika (AU) kuleta amani, mapigano bado yanaendelea, na M23 imeweza kushikilia maeneo kadhaa muhimu mashariki mwa DRC, ikiwemo mkoa wa Kivu Kaskazini.

Kwa kifupi, mgogoro kati ya DRC na M23 ni mchanganyiko wa matatizo ya ndani ya Kongo, uhusiano mbaya wa kikanda, na maslahi ya kiuchumi, hasa juu ya rasilimali asili.
1738519087656.jpg
 
Askari wetu mara nyingi napiga kelele humu askari wetu wafundishwe urban war zaidi.
Urban war ya kazi gani na waasi wapo MISITUNI.

HUKO URBAN WAKAPAMBANE NA WAMACHINGA AU KWASABABU UMEONA GAZA NA UKRAINE WANAPIGANA MJINI NA WEWE UNATAKA KUIGA BILA KUANGALIA GEO LOCATION!!!
 
PRAY FOR DRC CONGO

Chanzo cha vita kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na waasi wa Mouvement du 23 Mars (M23) ni mchanganyiko wa sababu za kisiasa, kiusalama, kijamii, na kiuchumi. Hapa kuna baadhi ya vyanzo vikuu vya mgogoro huu:

1. Mkataba wa Amani wa 23 Machi 2009

M23 inadai kwamba serikali ya DRC ilikiuka makubaliano ya amani ya mwaka 2009, ambapo wapiganaji wa kundi la CNDP (Congrès National pour la Défense du Peuple) walipaswa kuingizwa katika jeshi la taifa na kupatiwa haki zao. Wanadai kwamba serikali haikutekeleza kikamilifu makubaliano haya, hivyo wakaasi tena mwaka 2012 na baadaye kurejea tena 2021-2022.

2. Mgogoro wa Kabila la Watutsi Mashariki mwa DRC

M23 inawakilisha maslahi ya jamii ya Watutsi wa Kongo, ambao wanahisi wametengwa na kunyanyaswa na serikali. Wanadai kuwa serikali ya DRC inashirikiana na makundi yenye chuki dhidi yao kama Forces Démocratiques de Libération du Rwanda (FDLR), kundi lenye mizizi ya waasi wa Kihutu waliohusika na mauaji ya kimbari ya Rwanda mwaka 1994.

3. Uhusiano Mbaya kati ya DRC na Rwanda

Serikali ya DRC inaituhumu Rwanda kwa kuwaunga mkono waasi wa M23 kwa silaha, mafunzo, na vifaa vya kijeshi, madai ambayo Rwanda inakanusha. Mivutano hii imesababisha uhusiano mbaya kati ya nchi hizi jirani na hata kupelekea mzozo wa kidiplomasia.

4. Rasilimali Asili za Kongo

Mashariki mwa DRC ni eneo lenye utajiri mkubwa wa madini kama dhahabu, kobalti, na coltan. Kuna madai kuwa M23 na mataifa jirani yana nia ya kudhibiti rasilimali hizi kwa faida ya kiuchumi.

5. Udhaifu wa Jeshi la DRC (FARDC) na Umoja wa Mataifa (MONUSCO)

Jeshi la DRC limekuwa likikumbwa na changamoto za ufisadi, ukosefu wa vifaa, na mgawanyiko wa ndani. MONUSCO, jeshi la kulinda amani la Umoja wa Mataifa, pia limelaumiwa kwa kushindwa kuwalinda raia dhidi ya waasi, jambo ambalo limewafanya baadhi ya watu kuunga mkono M23 kama mbadala wa usalama.

6. Kuendelea kwa Mapigano na Juhudi za Kidiplomasia

Licha ya juhudi za kikanda za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Umoja wa Mataifa, na Umoja wa Afrika (AU) kuleta amani, mapigano bado yanaendelea, na M23 imeweza kushikilia maeneo kadhaa muhimu mashariki mwa DRC, ikiwemo mkoa wa Kivu Kaskazini.

Kwa kifupi, mgogoro kati ya DRC na M23 ni mchanganyiko wa matatizo ya ndani ya Kongo, uhusiano mbaya wa kikanda, na maslahi ya kiuchumi, hasa juu ya rasilimali asili.View attachment 3222702
Gazeti refuuuu Ila hamna point!!!

Wezi wa madini ndio chanzo cha vita mashariki ya kati na vita haitaisha mpaka DRC itakapohamishia MAKAO MAKUU HAPO EASTERN CONGO.

Hizo ulizoandika ni point za kujibia mitihani yenu hiyo ya kumaliza makuzi huko MASHULENI MNAPOENDA KUKUA.

📌MABEBERU NA VIBARAKA WAO wakimaliza madini watahamia kwenye MAFUTA.Kwa maana hapo EASTERN CONGO HUKO CHINI KUNA MAFUTA MENGI SANA.SO KWA MTU MWENYE AKILI TIMAMU KINSHASHA HAPAKUSTAILI KUWA MAKAO MAKUU YA NCHI.

📌📌📌📌NI MJINGA/CHIZI PEKEE ALALE CHUMBANI AACHE POCHI LA HELA SEBULENI!!!🚨🚨🚨🚨
 
ni fursa kwa Tanzania kupeleka vijana wengi wa kutosha china, urusi na israel au uturuki kujifunza matumizi ya drone za vita, na kuzitengeneza pia, au kununua walau chache though najua ni gharmaa sana. wacongo walikodi warusha drones toka romania wazungu ambao walipoona vita ngumu wamesalenda kwa kagame wamerudi kwao. congo wangekuwa wamefundisha vijana wao wenyewe kurusha drones wasingepata hasar ahiyo. Tz najua mnaendana na teknolojia, msilale, vita za siku hizi pamoja na ukakamavu, unaweza kupigwa hata na kilema aliyekaa sehemu anarusha drones.
Kuna sisi tuliosoma bsc physics hatuna michongo kitaa, watupeleke huko vitani tukajifunze remote attacks
 
Tatizo M23 wanajificha nyuma ya kivuli cha raia kwa vile wanajua mission ya JWTZ ni ya kulinda raia, sio kushambulia raia.

Itolewe amri ya raia wote kutoka hapo Goma kwa muda wa week 2 alafu wabaki wanaume kwa wanaume uone M23 watavyoomba poo kabla ya week kuisha.
Hio anaweza netanyau pekee apa dunyan
 
Back
Top Bottom