Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania tabia za ushabiki wa simba na yanga wanapeleka mpk kwenye mambo ya msingiMzee achana kuripoti Mambo ya Vita endelea tu na Kaniki zako.
Kila taarifa hata zile za kuaminika za Bibi See na Alijazira wanataja tu wakongo wanaokufa na Wa SADC lakini hawataji M23 wangapi wamekufa.Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma View attachment 3222386jeshi la wananchi JWTZ limepoteza Askari wawili huku M23 wakishindwa kusonga mbele kutokana na mashambulizi mazito ya JWTZ yakiendelea idadi ya Askar wa M23 waliofaliki katika mashambulizi hayo imewekwa kapuni na msemaji wa jeshi la waasi M23.
Yaliyopatikana baada ya JWTZ kuwachakaza vibaya M23. Ilikuwa hatari eneo la Sake nchini DRC, picha za maiti na vifaa vya M23.
Congo ipo katika vita endelevu dhidi ya maharamia wa M23 ambao wanatishia kuuteka mji wa Goma. Jeshi la Kongo FARDC likishirikiana na Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ kwa anuani ya SADC, walishambulia eneo la vilimani katika mji wa Sake ambapo M23 walikuwa wakijificha kwa kujibu mashambulizView attachment 3222420View attachment 3222422View attachment 3222423View attachment 3222424View attachment 3222425i.
Walipotoka Uganda kumchapa Did Amin Kila mmoja akirudi na radio cassettesMkishawapiga nanyi mtaiba madini? Au mtarudi kulala nyumbani na umaskini wenu.
Walipotoka Uganda kumchapa Did Amin Kila mmoja akirudi na radio cassettesMkishawapiga nanyi mtaiba madini? Au mtarudi kulala nyumbani na umaskini wenu.
Aaahh 🤣 watu design yako ndio wataokoa hili jukwaa mkuuHizi picha ni za tarehe 9 January, ambapo sio Goma wala hazikukamatwa na JWTZ.
Picha mojawapo hapo ni ya Masisi ambapo FARDC walikamata some elements za M23.
Umepakua picha mitandaoni, ukachomeka neno JWTZ.
Acha ubishi mkuu sijakulupuka kuweka izo pc
Mwenyezi Mungu Ibariki Tanzania, Afrika na dunia, M23 ni zaidi ya wahuniMashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma View attachment 3222386jeshi la wananchi JWTZ limepoteza Askari wawili huku M23 wakishindwa kusonga mbele kutokana na mashambulizi mazito ya JWTZ yakiendelea idadi ya Askar wa M23 waliofaliki katika mashambulizi hayo imewekwa kapuni na msemaji wa jeshi la waasi M23.
your days are numberedsisi kama watutsi tuko vizuriiii....kipigo tunacho wapaa jeshi la wazee tz sio cha Karne hiii, ni kwikwi
Ndiomaana nikashauri kuwa raia waombwe kuondoka Goma kidogo ili atakaebaki hapo aonekane ni adui na ashambuliwe.Wewe ni mtoto kiumri. Tukiwa umri wako ndiyo tulikuwa tunasema ''tupigane lakini hakuna kupiga ngumi ya tumbo''. Unajua maana ya vita? Vita mara nyingi hupiganiwa sehemu zenye raia wa kawaida. Na hili ndilo linalofanya vita iwe, hatari, mbaya na ngumu.
Kwahiyo kumbe M23 nao ni magaidi?Kujificha nyuma ya raia ni mbinu za magaidi. Hata Hamas walitumia wapalestina kama ngao dhidi ya mashambulizi ya Israel
Movie za kina komando kipensii zimeharibu wengi sana. Unaongea kama jambo jepesi vile.hapo mbona mbinu ni ndogo lazima watafutwe skill retired commandos wapewe mission na ramani yote ya eneo hila ila wavae kiraia waingie ndani ya mji huo kwa lengo la kusambaratisha hao virus huku wakiwa na mawasiliano na wenzao inakuwa rahisi kuwadhibiti...kipindi nipo mdogo ulikuwa hunipandui kwenye movie za kivita.
Umeuliza na kujijibu mkuu.Huwa najiuliza, majeshi ya congo na wasaidizi wake hawana intelijensia ya kujua anayewapa silaha m23 hadi leo?, kwa nini wasifanye special operation ya kuua viongozi wa m23 ili kudhoofisha hilo kundi....au hii vita inanufaisha watu fulani!
Mjinga huyu hapa. Anayeua wakongoman. Kajamaa kanajiona kama Fidel Castro Fulani hivi ama Muammar Ghadafi.Goma imetulia hakuna mapigano, Jana raia pamoja na wanajeshi wa M23 Walikuwa wakifanya usafi mjini Goma.
Labda mambo ya Afghanistan hayafahamu, huenda mtoto wa juzi tu huyo. Sasa tumgusie hapo Ukraine na Russia.Unahisi masuala ya makombora umeyagundua wewe leo hii na JWTZ hawakuwa wanayajua, na hao waliohitimu Physics hawakuwa wanawaona.
Au unahisi hao M23 ni kama panya road wanajirundika makundimakundi ili uwapige hizo projectiles umalize vita.
Vita ingekuwa rahisi hivyo Marekani asingekaa Vietnam miaka nane, wala Urusi asingeshindwa Afghanistan.
jwtz wanapigana na paulo wa rwanda huku monusco ikisapoti indirectMashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma View attachment 3222386jeshi la wananchi JWTZ limepoteza Askari wawili huku M23 wakishindwa kusonga mbele kutokana na mashambulizi mazito ya JWTZ yakiendelea idadi ya Askar wa M23 waliofaliki katika mashambulizi hayo imewekwa kapuni na msemaji wa jeshi la waasi M23.