Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma

Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma

Hizi picha ni za tarehe 9 January, ambapo sio Goma wala hazikukamatwa na JWTZ.
Picha mojawapo hapo ni ya Masisi ambapo FARDC walikamata some elements za M23.

Umepakua picha mitandaoni, ukachomeka neno JWTZ.
Jeshi linapenda sana kuabidiwa na kuogopwa, tulirithi mfumo mbaya kutoka ujamaa ktk haya masuala.
 
Yaliyopatikana baada ya JWTZ kuwachakaza vibaya M23. Ilikuwa hatari eneo la Sake nchini DRC, picha za maiti na vifaa vya M23.

Congo ipo katika vita endelevu dhidi ya maharamia wa M23 ambao wanatishia kuuteka mji wa Goma. Jeshi la Kongo FARDC likishirikiana na Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ kwa anuani ya SADC, walishambulia eneo la vilimani katika mji wa Sake ambapo M23 walikuwa wakijificha kwa kujibu mashambulizView attachment 3222420View attachment 3222422View attachment 3222423View attachment 3222424View attachment 3222425i.
Huu ndio muda mzuri kwenda kununua silaha congo kwa matumizi binafsi.
 
Nasikia kagame kajifungia kwenye chumba chake cha kulilia kwa.muda wa masaa 2 analia tu huko
 
Tatizo M23 wanajificha nyuma ya kivuli cha raia kwa vile wanajua mission ya JWTZ ni ya kulinda raia, sio kushambulia raia.

Itolewe amri ya raia wote kutoka hapo Goma kwa muda wa week 2 alafu wabaki wanaume kwa wanaume uone M23 watavyoomba poo kabla ya week kuisha.
Wafanye kama Israel ilivyofanya gaza watoe muda atakaebakia Hapo atahesabika ni m23 apelekewe moto.
Hatuwezi kosa usingizi kwa sababu ya muhuni mmoja
 
Kwani goma Ina wakazi wangapi ili wahamishwe sehemu salama kwa kipindi hata cha wiki mbili ili mji usafishwe kuwafurusha waasi
 
Kwa wale wanaotaka video juu ya kinachoendelea Congo ,, mzigo huo hapo chini lakin baadhi ya video zinatisha mnoo kuangalia

Hizi ni za leo asubuhi tarehe 3
 
Dah kuna memba mwenzetu alituaga jana sijui juzi akiwa anabubujikwa machozi akiomba tumuombee, yupo salama kweli?? Alilia sana yule mjeda juzi kuitwa ku report field
 
Kwa wale wanaotaka video juu ya kinachoendelea Congo ,, mzigo huo hapo chini lakin baadhi ya video zinatisha mnoo kuangalia

Hizi zinasemekeana ni leo asubuhi (tare 3)
 
Attachments

  • VID-20250203-WA0008.mp4
    7.3 MB
  • VID-20250203-WA0008.mp4
    7.3 MB
  • VID-20250203-WA0006.mp4
    11.5 MB
Kwa wale wanaotaka video juu ya kinachoendelea Congo ,, mzigo huo hapo chini lakin baadhi ya video zinatisha mnoo kuangalia

Hizi zinasemekeana ni leo asubuhi (tare 3)
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..........
Sitaki mwanangu awe mwanajeshi
 
Kwa wale wanaotaka video juu ya kinachoendelea Congo ,, mzigo huo hapo chini lakin baadhi ya video zinatisha mnoo kuangalia

Hizi zinasemekeana ni leo asubuhi (tare 3)
Vita ni ishu nyingine aiseee.
 
Back
Top Bottom