Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma

Kujificha nyuma ya raia ni mbinu za magaidi. Hata Hamas walitumia wapalestina kama ngao dhidi ya mashambulizi ya Israel
 
Maiti zao zipo wapi?
 
Maiti zao ziko wapi
 
Kujificha nyuma ya raia ni mbinu za magaidi. Hata Hamas walitumia wapalestina kama ngao dhidi ya mashambulizi ya Israel
hapo mbona mbinu ni ndogo lazima watafutwe skill retired commandos wapewe mission na ramani yote ya eneo hila ila wavae kiraia waingie ndani ya mji huo kwa lengo la kusambaratisha hao virus huku wakiwa na mawasiliano na wenzao inakuwa rahisi kuwadhibiti...kipindi nipo mdogo ulikuwa hunipandui kwenye movie za kivita.
 
Kumbe ni kwenye movie mkuu 🤣🤣
 
Unahisi masuala ya makombora umeyagundua wewe leo hii na JWTZ hawakuwa wanayajua, na hao waliohitimu Physics hawakuwa wanawaona.

Au unahisi hao M23 ni kama panya road wanajirundika makundimakundi ili uwapige hizo projectiles umalize vita.

Vita ingekuwa rahisi hivyo Marekani asingekaa Vietnam miaka nane, wala Urusi asingeshindwa Afghanistan.
 
Hizi picha ni za tarehe 9 January, ambapo sio Goma wala hazikukamatwa na JWTZ.
Picha mojawapo hapo ni ya Masisi ambapo FARDC walikamata some elements za M23.

Umepakua picha mitandaoni, ukachomeka neno JWTZ.
 
Wewe ni mtoto kiumri. Tukiwa umri wako ndiyo tulikuwa tunasema ''tupigane lakini hakuna kupiga ngumi ya tumbo''. Unajua maana ya vita? Vita mara nyingi hupiganiwa sehemu zenye raia wa kawaida. Na hili ndilo linalofanya vita iwe, hatari, mbaya na ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…