Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma

Hao M23 sio watu wa sport sport sio wa kuwabeza nakuwaona mdebwedo kama wamekuwa ground Kwa kipindi cha mda mrefu that's means wana experience ya kutosha ya kuzungusha bomba msituni,ni sawa na mtu aliye soma kingereza darasani alafu hafanyi mazoezi ya kukizungumza kingereza siku ukikutana na wanaojua kukizungumza alafu uambiwe mzungumze ndio utajua kwamba kumbe wewe nimweupe, unaweza ita maji mma, minaona mission kama hizi ziwe ni platform za kuwafanya askari wetu kupata uzoefu wa kutosha in real war,najua in military perspective kuna proganda nyingi kila mmoja anataka aonekane kwamba yeye ni noma zaidi ya mwingine lakini kwa haya mambo jinsi yalivyo ili mmoja aweze kushinda kwa jinsi dunia ilivyo inategemea nani yupo nyuma yake ,na anapumzi kiasi gani interm of logistics ,
 
Kila taarifa hata zile za kuaminika za Bibi See na Alijazira wanataja tu wakongo wanaokufa na Wa SADC lakini hawataji M23 wangapi wamekufa.
 
Hizi picha zilikuwa mitandaoni Tangu juzi😅😅😅
 
Hizi picha ni za tarehe 9 January, ambapo sio Goma wala hazikukamatwa na JWTZ.
Picha mojawapo hapo ni ya Masisi ambapo FARDC walikamata some elements za M23.

Umepakua picha mitandaoni, ukachomeka neno JWTZ.
Aaahh 🤣 watu design yako ndio wataokoa hili jukwaa mkuu
 
Mwenyezi Mungu Ibariki Tanzania, Afrika na dunia, M23 ni zaidi ya wahuni
 
Ndiomaana nikashauri kuwa raia waombwe kuondoka Goma kidogo ili atakaebaki hapo aonekane ni adui na ashambuliwe.

Sio wao wajifiche nyuma ya raia kushambulia halaf tukijibu mapigo UN ije kimbele mbele kudai kuwa JWTZ inaua raia wa Congo.
 
Huwa najiuliza, majeshi ya congo na wasaidizi wake hawana intelijensia ya kujua anayewapa silaha m23 hadi leo?, kwa nini wasifanye special operation ya kuua viongozi wa m23 ili kudhoofisha hilo kundi....au hii vita inanufaisha watu fulani!
 
Movie za kina komando kipensii zimeharibu wengi sana. Unaongea kama jambo jepesi vile.
 
Huwa najiuliza, majeshi ya congo na wasaidizi wake hawana intelijensia ya kujua anayewapa silaha m23 hadi leo?, kwa nini wasifanye special operation ya kuua viongozi wa m23 ili kudhoofisha hilo kundi....au hii vita inanufaisha watu fulani!
Umeuliza na kujijibu mkuu.
Kuna mtu katoa hoja kuwa "kwa kutazama serial number za vifaa vita tutajua nan anawauzia" napenda kusema kama njia hiyo ni nyepes bhas watengeneza siraha wanajua jins ya kuikwepa.

Hao jama ukifuatilia, wana ufadhili mzito tuu na kwa manufaa ya wakubwa wengi.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Goma imetulia hakuna mapigano, Jana raia pamoja na wanajeshi wa M23 Walikuwa wakifanya usafi mjini Goma.
Mjinga huyu hapa. Anayeua wakongoman. Kajamaa kanajiona kama Fidel Castro Fulani hivi ama Muammar Ghadafi.
Your browser is not able to display this video.
 
Labda mambo ya Afghanistan hayafahamu, huenda mtoto wa juzi tu huyo. Sasa tumgusie hapo Ukraine na Russia.

Wote wana askari walioenda shule vizuri, lakini kila mmoja ana maelfu kama sio malaki ya maaskari waliopoteza.

Vita ni kitu kigumu sana kukipigia hesabu, inahitaji akili iliyotulia na hesabu ya muda mrefu.
 
jwtz wanapigana na paulo wa rwanda huku monusco ikisapoti indirect
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…