Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma

Hizi picha ni za tarehe 9 January, ambapo sio Goma wala hazikukamatwa na JWTZ.
Picha mojawapo hapo ni ya Masisi ambapo FARDC walikamata some elements za M23.

Umepakua picha mitandaoni, ukachomeka neno JWTZ.
Jeshi linapenda sana kuabidiwa na kuogopwa, tulirithi mfumo mbaya kutoka ujamaa ktk haya masuala.
 
Huu ndio muda mzuri kwenda kununua silaha congo kwa matumizi binafsi.
 
Nasikia kagame kajifungia kwenye chumba chake cha kulilia kwa.muda wa masaa 2 analia tu huko
 
Wafanye kama Israel ilivyofanya gaza watoe muda atakaebakia Hapo atahesabika ni m23 apelekewe moto.
Hatuwezi kosa usingizi kwa sababu ya muhuni mmoja
 
Kwani goma Ina wakazi wangapi ili wahamishwe sehemu salama kwa kipindi hata cha wiki mbili ili mji usafishwe kuwafurusha waasi
 
Kwa wale wanaotaka video juu ya kinachoendelea Congo ,, mzigo huo hapo chini lakin baadhi ya video zinatisha mnoo kuangalia

Hizi ni za leo asubuhi tarehe 3
 
Dah kuna memba mwenzetu alituaga jana sijui juzi akiwa anabubujikwa machozi akiomba tumuombee, yupo salama kweli?? Alilia sana yule mjeda juzi kuitwa ku report field
 
Kwa wale wanaotaka video juu ya kinachoendelea Congo ,, mzigo huo hapo chini lakin baadhi ya video zinatisha mnoo kuangalia

Hizi zinasemekeana ni leo asubuhi (tare 3)
 
Attachments

  • VID-20250203-WA0008.mp4
    7.3 MB
  • VID-20250203-WA0008.mp4
    7.3 MB
  • VID-20250203-WA0006.mp4
    11.5 MB
Hii habari sio ngeni mjini hapa....
 
Kwa wale wanaotaka video juu ya kinachoendelea Congo ,, mzigo huo hapo chini lakin baadhi ya video zinatisha mnoo kuangalia

Hizi zinasemekeana ni leo asubuhi (tare 3)
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..........
Sitaki mwanangu awe mwanajeshi
 
Kwa wale wanaotaka video juu ya kinachoendelea Congo ,, mzigo huo hapo chini lakin baadhi ya video zinatisha mnoo kuangalia

Hizi zinasemekeana ni leo asubuhi (tare 3)
Vita ni ishu nyingine aiseee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…