Mashariki ya kati: IDF ilituma zaidi ya ndege za kivita 100 Tehran kushambulia kambi za kijeshi zaidi ya 20

Annunaki

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2021
Posts
2,042
Reaction score
3,674
Jeshi la Israel ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ lilituma zaidi ya ndege 100 kwenye anga la Iran ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท na kushambulia kambi za jeshi zaidi ya 20 ,huku Iran ikijitahidi kutumia mifumo yake ya ulinzi wa anga kupunguza madhara, vinaropoti vyanzo mbali mbali.

Mpaka sasa Iran haijathibitisha kutokea kwa madhara, huku IDF ikichapisha taarifa ya kutekeleza mashambulizi hayo kwenye mtandao wa X.

Kufikia muda huu Iran bado imefunga anga lake, huku ikiendelea kutathmini uharibifu wa mashambulizi hayo.

Je Iran itajibu tena mashambulizi haya?


View: https://x.com/VividProwess/status/1850011818632085892?t=sWLsG56xGO5FGcKEEV0W3w&s=19

View: https://x.com/AJEnglish/status/1850043448834785718?t=BW7v-6sh9IGBhAmkGp4Rvw&s=19

View: https://x.com/IDF/status/1849957541301666038?t=X-jTvEQDZCtDBFgEU-Pieg&s=19
 
Vita ya tatu ya Dunia imeanza rasmi. Kuna nchi imeruhusu Israel kuitumia anga lake, najua Kuna jambo litatokea. Naamini Israel itajibiwa kama sio Leo usiku basi kesho kama wairan waliposema itajibu instantly with heavy fire power.

Hivyo washirika wengine wataingilia kati na hii itakuwa na kitu inaitwa snowball effect, hapo ndio vita inakolea.
 
Hakuna vita, wote wanaogopana. Hakuna anaeweza kumuumiza mwenzie. Ndio washamalizana hivyo.
 
Hakuna hiyo vita ya tatu ya kizembe hivyo
 
Babu soma kwa hatua Israel imesema haijamaliza ilipoanzia yaan huo ni muendelezo itaendelea kupiga back-and-forth mpaka Ayatolah awahishwe kwa mabikra 72 au hausomi habari zinazoendelea, Iran ajibu wakati jamaa hawajamaliza? Yaan watashusha tena vyuma vingine huko ni mfululizo mpaka Iran akenue kwanini alimgusa mara 2 alimgusa April akamgusa tena October mwenzie katulia tu sasa kaona hizi ni dharau huyu mbwa wa kishia tutampiga mbele na nyuma


Nakala : FaizaFoxy Ritz & Malaria 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ