Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
Vita ya tatu ya Dunia imeanza rasmi. Kuna nchi imeruhusu Israel kuitumia anga lake, najua Kuna jambo litatokea. Naamini Israel itajibiwa kama sio Leo usiku basi kesho kama wairan waliposema itajibu instantly with heavy fire power.
Hivyo washirika wengine wataingilia kati na hii itakuwa na kitu inaitwa snowball effect, hapo ndio vita inakolea.
Iran haina lolote, inachapwa kama Iraq au Libya tu, hizo ni hisia zako potofu sbb hujui nguvu za kijeshi za USA, yaani Israel ni USA