Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Sinwar si mlioneshwa? Nasrallah si mlioneshwa? Subiri na hili mtaoneshwa.Kasema!
Sisi tunataka video tuone, kama tulivyoona vimondo vya Iran vikishuka Tel Aviv, Hatutaki blah blah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sinwar si mlioneshwa? Nasrallah si mlioneshwa? Subiri na hili mtaoneshwa.Kasema!
Sisi tunataka video tuone, kama tulivyoona vimondo vya Iran vikishuka Tel Aviv, Hatutaki blah blah
Jeshi la Israel 🇮🇱 lilituma zaidi ya ndege 100 kwenye anga la Iran 🇮🇷 na kushambulia kambi za jeshi zaidi ya 20 ,huku Iran ikijitahidi kutumia mifumo yake ya ulinzi wa anga kupunguza madhara, vinaropoti vyanzo mbali mbali.
Mpaka sasa Iran haijathibitisha kutokea kwa madhara, huku IDF ikichapisha taarifa ya kutekeleza mashambulizi hayo kwenye mtandao wa X.
Kufikia muda huu Iran bado imefunga anga lake, huku ikiendelea kutathmini uharibifu wa mashambulizi hayo.
Je Iran itajibu tena mashambulizi haya?
View: https://x.com/VividProwess/status/1850011818632085892?t=sWLsG56xGO5FGcKEEV0W3w&s=19
View: https://x.com/AJEnglish/status/1850043448834785718?t=BW7v-6sh9IGBhAmkGp4Rvw&s=19
View: https://x.com/IDF/status/1849957541301666038?t=X-jTvEQDZCtDBFgEU-Pieg&s=19
Una videos za mashambulizi ya Israel kama yale ya Iran ?
At their own will. Allah kumbe mwepesi kiasi hiki?
Sinwar si mlioneshwa? Nasrallah si mlioneshwa? Subiri na hili mtaoneshwa.
Hawana huo uwezo kwa Sasa...Waliogopa kuzitungua??
Saiv mna dili na maandishi picha hamtakiSinwar si mlioneshwa? Nasrallah si mlioneshwa? Subiri na hili mtaoneshwa.
Azitoe wapi video mkuu?Hizo hit ziko wapi?
Za Iran tuliziona
Sasa huyu Zayuni aache maneno matupu, alete video hapa
Wamepita anga gani mkuuVita ya tatu ya Dunia imeanza rasmi. Kuna nchi imeruhusu Israel kuitumia anga lake, najua Kuna jambo litatokea. Naamini Israel itajibiwa kama sio Leo usiku basi kesho kama wairan waliposema itajibu instantly with heavy fire power.
Hivyo washirika wengine wataingilia kati na hii itakuwa na kitu inaitwa snowball effect, hapo ndio vita inakolea.
Picha Hizi hapaJamn leo hii Israel ni ya kukosa picha za mazara kama kawaida yao
Ndege 100 ni nyingi mnoo kama hakuna mazara yaliyotokea ni aibu kubwa xnaa kwa IDF
OK. Kwahiyo baada ya Osama bin Laden kufariki, taasisi yake ya Al - Qeda bado ipo sio?Sasa Soldier kufa kwenye mapambano si ni heshima hiyo.
Kuua mtu siyo kuua taasisi wewe!
Yaani warushe ndege mia zote zipite nanjilinji peke yake sio kweli.........hapo lazima zipite kokote........na hii Iran ijifunze imepewa jibu la ndege 100 kwa mara moja...........sasa kama wakizingua zaidi ujue zitaruka kama 1000Vita ya tatu ya Dunia imeanza rasmi. Kuna nchi imeruhusu Israel kuitumia anga lake, najua Kuna jambo litatokea. Naamini Israel itajibiwa kama sio Leo usiku basi kesho kama wairan waliposema itajibu instantly with heavy fire power.
Hivyo washirika wengine wataingilia kati na hii itakuwa na kitu inaitwa snowball effect, hapo ndio vita inakolea.
Israel katutia aibu sana sisi wafuasi wa kiboko ya wachawi maana hadi kufikia sasa hakuna hata kavideo kuonesha madhara ya vimondo vyao.Hawana lolote hao heaven of Gay😁