Vita ya tatu ya Dunia imeanza rasmi. Kuna nchi imeruhusu Israel kuitumia anga lake, najua Kuna jambo litatokea. Naamini Israel itajibiwa kama sio Leo usiku basi kesho kama wairan waliposema itajibu instantly with heavy fire power.
Hivyo washirika wengine wataingilia kati na hii itakuwa na kitu inaitwa snowball effect, hapo ndio vita inakolea.
Mikwara yote hakuns chochote cha maana alichofanya, alikuwa anasubiri thaad ifungwe ila uzuri iran anachezaga na mifumo ya israel anavyotakaJeshi la Israel 🇮🇱 lilituma zaidi ya ndege 100 kwenye anga la Iran 🇮🇷 na kushambulia kambi za jeshi zaidi ya 20 ,huku Iran ikijitahidi kutumia mifumo yake ya ulinzi wa anga kupunguza madhara, vinaropoti vyanzo mbali mbali.
Mpaka sasa Iran haijathibitisha kutokea kwa madhara, huku IDF ikichapisha taarifa ya kutekeleza mashambulizi hayo kwenye mtandao wa X.
Kufikia muda huu Iran bado imefunga anga lake, huku ikiendelea kutathmini uharibifu wa mashambulizi hayo.
Je Iran itajibu tena mashambulizi haya?
View: https://x.com/VividProwess/status/1850011818632085892?t=sWLsG56xGO5FGcKEEV0W3w&s=19
View: https://x.com/AJEnglish/status/1850043448834785718?t=BW7v-6sh9IGBhAmkGp4Rvw&s=19
View: https://x.com/IDF/status/1849957541301666038?t=X-jTvEQDZCtDBFgEU-Pieg&s=19
Hawana capability. Na ndio Israel alichowaonesha.Waliogopa kuzitungua??
Ndege mia unadhani ni mchezo? Video ziko wapi?Message sent. 100 Israeli air jets roaming in and out of Iranian airspace unscathed!
Hawana lolote hao heaven of Gay😁Message sent. 100 Israeli air jets roaming in and out of Iranian airspace unscathed!
Israel imeiruhusu Iran kuruhusu mashirika ya ndege yanayofanya kazi nchini humu na yale yanayoingia na kutoka yaendelee na kazi zakeJeshi la Israel 🇮🇱 lilituma zaidi ya ndege 100 kwenye anga la Iran 🇮🇷 na kushambulia kambi za jeshi zaidi ya 20 ,huku Iran ikijitahidi kutumia mifumo yake ya ulinzi wa anga kupunguza madhara, vinaropoti vyanzo mbali mbali.
Mpaka sasa Iran haijathibitisha kutokea kwa madhara, huku IDF ikichapisha taarifa ya kutekeleza mashambulizi hayo kwenye mtandao wa X.
Kufikia muda huu Iran bado imefunga anga lake, huku ikiendelea kutathmini uharibifu wa mashambulizi hayo.
Je Iran itajibu tena mashambulizi haya?
View: https://x.com/VividProwess/status/1850011818632085892?t=sWLsG56xGO5FGcKEEV0W3w&s=19
View: https://x.com/AJEnglish/status/1850043448834785718?t=BW7v-6sh9IGBhAmkGp4Rvw&s=19
View: https://x.com/IDF/status/1849957541301666038?t=X-jTvEQDZCtDBFgEU-Pieg&s=19
Wabongo bana😁, vipi lakini bado unakaa huko Jang'ombe kwa Msaka Tonge.Vita ya tatu ya Dunia imeanza rasmi. Kuna nchi imeruhusu Israel kuitumia anga lake, najua Kuna jambo litatokea. Naamini Israel itajibiwa kama sio Leo usiku basi kesho kama wairan waliposema itajibu instantly with heavy fire power.
Hivyo washirika wengine wataingilia kati na hii itakuwa na kitu inaitwa snowball effect, hapo ndio vita inakolea.
Walikuwa wamelala, wengi wameishia kusimuliwa na askari wa zamu kilichotokea huko kwenye kambi za jeshi.Hao Iran walikuwa wapi ndege 100 zinaingia na kuondoka??
Mpaka msikie Ayatolah kawahishwa kwa Allah kwenda kupewa mabikra 72 ndio akili ziwarudi au sio?Kwa msaada wa Marekani na nato kuuwa watoto na wamama ndicho anachoweza, kupambana na wanaume ni kituko 😂
Muwe mnaelewa na kama hamuelewi muwe mnakaa kimya. Israel amesema "amelenga na kushambulia military targets" wewe eti Tehran yote si ingekuwa majivu? Kwani Tehran yote ni military target? KUMBAVU!!!Propaganda. .. ili kufuta aibu , eti ndege mia, hiyo Tehran si ingekuwa majivu,
Hatari hii, ADs za Iran ni dhaifu kuzuia shambulio lolote la Israel dhidi yake.Jeshi la Israel 🇮🇱 lilituma zaidi ya ndege 100 kwenye anga la Iran 🇮🇷 na kushambulia kambi za jeshi zaidi ya 20 ,huku Iran ikijitahidi kutumia mifumo yake ya ulinzi wa anga kupunguza madhara, vinaropoti vyanzo mbali mbali.
Mpaka sasa Iran haijathibitisha kutokea kwa madhara, huku IDF ikichapisha taarifa ya kutekeleza mashambulizi hayo kwenye mtandao wa X.
Kufikia muda huu Iran bado imefunga anga lake, huku ikiendelea kutathmini uharibifu wa mashambulizi hayo.
Je Iran itajibu tena mashambulizi haya?
View: https://x.com/VividProwess/status/1850011818632085892?t=sWLsG56xGO5FGcKEEV0W3w&s=19
View: https://x.com/AJEnglish/status/1850043448834785718?t=BW7v-6sh9IGBhAmkGp4Rvw&s=19
View: https://x.com/IDF/status/1849957541301666038?t=X-jTvEQDZCtDBFgEU-Pieg&s=19
Muwe mnaelewa na kama hamuelewi muwe mnakaa kimya. Israel amesema "amelenga na kushambulia military targets" wewe eti Tehran yote si ingekuwa majivu? Kwani Tehran yote ni military target? KUMBAVU!!!
Ufichage Ukinga Ulio gubikwa na Ushabiki