Lidafo
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 995
- 2,329
aliyesema kuhusu tunguli anajua zaidi..tumsubiriTunguli ni nini, mitishamba!?..kama ni mitishamba,kuna tofauti gani kutibu mafua kwa viks kingo na kutibu tumbo kwa majani ya mpera!?
aliyesema kuhusu tunguli anajua zaidi..tumsubiriTunguli ni nini, mitishamba!?..kama ni mitishamba,kuna tofauti gani kutibu mafua kwa viks kingo na kutibu tumbo kwa majani ya mpera!?
Naomba ushahidi wa kimaandiko kuwa majini ni malaika walioasi? kutoka katika biblia au quran, chagua wewe.Ni ngumu sana kutenganisha uislam na ulozi/uchawi. Ndiyo maana wenyewe ibada yao inafungamana na mizungu, nyota, mwezi na majini. Utabaki mdomo wazi wakikwambia kwamba kuna majini wazuri. Sasa katika hali ya kawaida, majini/mashetani ni malaika walioasi mamlaka ya Muumba. Kama wameasi, hamna namna kwamba utapata kizuri kutoka kwa waasi. Labda wasalimu amri mapema sana kabla ya hali kuwa mbaya. Lakini kwa waislam, eti kuna majini mazuri, inastaajabisha sana.
Jinni humuingia yeyote,nimeishi na watu wafanya ibada wazuri lakini walivamiwa na majiniYeye anasema usipokuwa unafanya ibada ndio unaingiwa na jini na kwamba ukifanya ibada hauingiwi na jini.
Unatakiwa wewe kutoa aya inayoonesha kuna kinga ya kutovamiwa na jinniNaomba h
Naomba hadithi au Aya kuthibitisha hoja yako
Hata ya kumtia mtu sumu afeNa uchawi sawa?
Asante sana kunivuta kwenye mada hi hapa, mimi na amini kitu kimoja tu si mchawi, mganga au mwalimu wanaweza kufanya lolote kama Mungu hataki.
Qur'an inasema wazi uchawi upo lakini huyo mchawi hawezi kufanikiwa lolote kama Mungu hataki. Kuna wakati mwingine wajinga watajiuliza kivipi Mungu aruhusu hayo wengine wadhurike, hapo ni Hekima ya Mungu yeye anajua faida yake na madhara yake. Kwa hio sio kila kitu ukichukiacho kina kudhuru na sio kila ukipendacho kina faida na wewe.
Mungu anasema kwenye Qur'an hata wajikusanye watu wote na majini wote ili wakudhuru hawawezi kukudhuru kama Mungu hutaki.
Kwenye uganga unakuta mtu anaweza kujua kiarabu kidogo cha kujua kusoma na akaweza kusoma Qur'an basi hahitaji kusoma mambo mengine zaidi wala kuwa mjuzi sana wa Qur'an, sasa mtu kama huyo ndio utasema kasoma sana dini? Sasa sijui wewe uliposema kusoma sana ulitumia vigezo gani.elimu kubwa ya dini kiwango chake ni kipi??
Ni kweli nimesema mtu akisoma sana,yaani huwezi kuwa mganga wa kitabu kama hujasoma sana Quran.kwani sana ina kipimo gani??
Kwa maana hiyo unawezaleta aya zozote kutetea ushoga kutoka katika bible,kwamba hizi wanatumia wapinde kujitete na kuhalalisha mambo yao.issue si picha tu za maandiko??
Wewe umesomea uchawi kwa level gani??huko kwenye shule ya uchawi wanatumia zaburi gani kufundishia uchawi zaburi zipo nyingi,leta moja specific na useme inachangiaje katika kuroga.
Sijasema takatifu,sisi sio waumini wajinga wa kuamini kwamba mtu akikojolea msaafu boo inafata kitabu inakuwa kama kamba,NO.
Ni kwamba haina maagizo hayo,hata ukitaka kufanya hivyo utakuwa unajitekenya na kucheka mwenyewe.
Wako majini wazuri na wako wabaya exactly kama binadamu. Mimi na jua wako watu walitajirika kwa kufuga majini na walipo kufa watoto wao hawakujua masharti ya hayo majini yakawafilisi. Kwa ujumla mimi huwa siamini chochote zaidi ya Allah basi.Kuna mambo ambayo nakubaliana na wewe. Mfano, Mungu anaweza kuruhu/kuachia wachawi wakupige kipapai au azuie.
Swali dogo, Je kuna majini mazuri?? Kama ni mazuri, mazuri kwa nani?
Naomba ushahidi wa kimaandiko kuwa majini ni malaika walioasi? kutoka katika biblia au quran, chagua wewe.
Mkuu wakati wewe una staajabu kuwepo majini wazuri na waislamu wanastaaju kuwepo malaika ambao wanamuasi Mungu, kwa maana wakati wewe unaona haiwezekani miongoni miongoni mwa kundi la malaika waliyoasi kuwepo wazuri na waislamu wanaona haiwezekani malaika kuweza kumuasi Mungu.Ni ngumu sana kutenganisha uislam na ulozi/uchawi. Ndiyo maana wenyewe ibada yao inafungamana na mizungu, nyota, mwezi na majini. Utabaki mdomo wazi wakikwambia kwamba kuna majini wazuri. Sasa katika hali ya kawaida, majini/mashetani ni malaika walioasi mamlaka ya Muumba. Kama wameasi, hamna namna kwamba utapata kizuri kutoka kwa waasi. Labda wasalimu amri mapema sana kabla ya hali kuwa mbaya. Lakini kwa waislam, eti kuna majini mazuri, inastaajabisha sana.
Wako majini wazuri na wako wabaya exactly kama binadamu. Mimi na jua wako watu walitajirika kwa kufuga majini na walipo kufa watoto wao hawakujua masharti ya hayo majini yakawafilisi. Kwa ujumla mimi huwa siamini chochote zaidi ya Allah basi.
Mkuu wakati wewe una staajabu kuwepo majini wazuri na waislamu wanastaaju kuwepo malaika ambao wanamuasi Mungu, kwa maana wakati wewe unaona haiwezekani miongoni miongoni mwa kundi la malaika waliyoasi kuwepo wazuri na waislamu wanaona haiwezekani malaika kuweza kumuasi Mungu.
Shida ya kwanza inaanzia hapo.
Jambo lengine kwenye uislamu majini ni kama binaadamu tu kwa maana kuna muda hufanya mema na kuna wakati hukosea ni tofauti na sifa za malaika, kwahiyo inawezekana ukawapata wenye kufanya mema na ambao hutenda maovu maana ni kama binaadamu.
Nitajie mganga mmoja ambaye una uhakika haijui Quran kiwango cha kuitwa msomi wa Quran.Kwenye uganga unakuta mtu anaweza kujua kiarabu kidogo cha kujua kusoma na akaweza kusoma Qur'an basi hahitaji kusoma mambo mengine zaidi wala kuwa mjuzi sana wa Qur'an, sasa mtu kama huyo ndio utasema kasoma sana dini? Sasa sijui wewe uliposema kusoma sana ulitumia vigezo gani.
mtaje mtu asiye mchawi anayeroga,kuhusu kuagua sina shida,ndio maana nikasema wanakuwa waganga sio wachawi,yeyote anayetibu anakuwa mganga.Mkuu naona unashindwa kuelewa unadhani uchawi unafanywa na wale wenye kuwaanga tu usiku au tiba ya uchawi ya uchawi hufanywa na waganga tu, sio lazima hadi uwe mchawi ndio uwezome kumroga mtu au kwamba huwezi kutibu uchawi mpaka uwe mganga.
bahati mbaya hujui wala huwezi kuhisi unajadili na mkristo wa aina gani,unafikiri ugumu wa kusali novena ungezingatiwa ikiwa kuna verse moja au mbili za kusoma ktk zaburi ili umshtakie mtu kwa Mungu???Sasa sijui kama umesoma hicho nilichokuwekea maana kama ungesoma ungeona inaelezwa ukitaka kufanya nini utumie zaburi mstari gani na uitumie vp sasa nashangaa tena unakuja kuuliza zaburi gani mara sijui wachawi wanatumiaje Zaburi.
ndio maana yake,ukisikia mtu anakwambia nazi inatumika kwenye maandalizi ya chai unajua tu huyu aliona maziwa akadhani ni nazi,matumizi ya kitu sehemu yanatokana na uhitaji wake sio maamuzi tu.Mimi sijasema kwamba biblia imeelekeza kutumia zaburi katika uchawi au kuagua, ila nimekujuza kwamba watu hutumia hata maandiko ya biblia kwenye uchawi au kuagua na nimesema uchawi ni maneno hivyo haijalishi watahusisha maneno kutoka kwenye biblia au quran.
Biblia haijaagiza,hata anayefanya anajua anacheza mluzi anaopiga mwenyewe,lakini Quran inaagiza kabisa,kwanini wanaoisoma wasiwe wataalamu wa field hiyo??Sasa ukikazana kusema biblia haijaelekeza hivyo mimi hata sipingani na wewe kuhusu hilo.
Hapana jini mzuri hakudhuru kama binadamu mzuri hakudhuru, kuhusu yule mzee aliye fuga majini alitajirika na alipo fariki walifilisika si sababu wale majini walikuwa wabaya kuna masharti wale watoto hawakujua ndio wakafilisika. Baba yao alikuwa akichinja mara kwa mara wale watoto walikuwa hawachinji navyo sikia majini wanataka na wao msosi au wanywe damu hapo sijui Allahu ya Alam mimi sina experience na hayo nimesikia tu.Okay naweza kukuelewa sasa, kwa hiyo jini akikusaidia jambo lako liende sawa, basi huyo jini ni mzuri (kwako). Lakini mwingine akitumia jini kumdhuru mwingine kwa faida yake, basi aliyetumia jini atakuwa anamuhesabia jini wake kama jini mzuri na yule aliyedhuriwa anamuona jini mbaya, ndivyo ilivyo?
Hapana jini mzuri hakudhuru kama binadamu mzuri hakudhuru, kuhusu yule mzee aliye fuga majini alitajirika na alipo fariki walifilisika si sababu wale majini walikuwa wabaya kuna masharti wale watoto hawakujua ndio wakafilisika. Baba yao alikuwa akichinja mara kwa mara wale watoto walikuwa hawachinji navyo sikia majini wanataka na wao msosi au wanywe damu hapo sijui Allahu ya Alam mimi sina experience na hayo nimesikia tu.
Mleta mada salafi/wahabiMleta mada aje kulizungumzia hili Kazanazo
Unamkusudia Ibilisi ambaye kwa mafundisho ya kiislamu alikuwa jini, na hakuwa muovu alipoumbwa ila baada ya kuasi ndipo akaitwa shetani.Asante kwa kunipa elimu mpya.
Kulingana na Biblia, malaika walioasi walifukuzwa pamoja na kiongozi wao. Hivyo mbinguni hakuna uasi tena.
Naomba kwa ufupi unijibu hili kulingana na imani.kitabu chako, Je shetani alikuwa muovu tangu kuumbwa kwake?
ufunuo 12: 7-9 Hii hapo chini sijaona sehemu imetaja majini ni malaika walioasi nisaidie ku-highlight kama ipo.Majini ni mashetani. na mashetani ni malaika walioasi. Ufunuo 12 : 7 - 9