Ni kweli kabisa maana Imani za wapigiwa Adhana ukiwasikiliza wanasemaKabla hatujaja huko kwenye masharti ya Ruqya.. Vipi kwanza bado mtazamo wako ni kuwa kupiga adhana kwa ajili ya kufukuza mashetani ni shirki?.
Lakini tulikuwa tunajadili kupiga adhana maana ''kupiga adhana'' inarejelea ''mpigaji" na sio wapigiwaji.Ni kweli kabisa maana Imani za wapigiwa Adhana ukiwasikiliza wanasema
"Uganga wa yule sheikh unatumia Adhana tu kila kitu kinakuwa sawa"
Yani wanaiamini Adhana kuliko hata huyo Mungu mwenyewe
MaoniNdio nini hicho umeandika?
Soma hiyo aya na urejee maelezo yangu ya awali kuhusu (u) shetaniNijibu swali langu,
Kama shetani sio jini Ibiris ni nani?
Kusoma na kusomewa kuna matokeo tofauti katika kujenga Imani ya msomaji na msomewa, mtu akisoma kwa ufahamu hawezi fanya shirki
- Aliyesoma surat fatha akisoma kwa ikhlasw kuwa anayeponya ni ALLAH tu -- hajafanya shirki.
- Aliyesoma surat fatha kwakuamini kuwa hiyo sura ndio inatoa msaada na sio ALLAH --- Amefanya shirki.
- Aliyesomewa akiamini kuwa nasomewa sura hii lakini anayetibu ni ALLAH --- Hajafanya shirki.
- Aliyesomewa akimini kuwa inayotibu ni surat fatha na sio Allah --- Amefanya shirki
Kwanini usimfundishe afanye mwenyewe yani umfunfishe hizo surah na Aya asome mwenyewe kuliko kumsomea, kwahiyo unamuingiza mtu katika shirki ukitarajia wewe utaachwa huru na hiyo shirki?namfanyaji anaweza asifanye shirki ila mfanyiwaji akafanya
Na mnatumia hiki kigezo kuwafunga watu midomo kuongelea mas'ala ya shirki ndio maana imeenea siku hizi na inafanywa na watu wakubwa katika dinitunaufunga kwa kusema kufanya kitu fulani ni shirki bila kutafakari hukmu zake kwa hakika,
Dr Sule ana ujuzi sana wa nini katika Qur'an? Maana Sheikh Yahya nimekutajia kwamba alikuwa bingwa wa usomaji wa Qur'an, sasa Sule yeye bingwa wa nini katika Qur'an?Dr sure.
Utabibu au Quran?
Ndio maana nimekwepa kumtaja yeyote,maana tukiwaweka kwenye mizani ya hukumu hata huyu wa waislam hatoboi,haina maana.
Nimetaja waganga waliosoma zaidi Quran,hii ya wachawi umereact haraka tu.
Kwahiyo ukifanya ibada ya kweli inawezekena kutokuhitaji tena hata kuomba dua ya kuingia chooni au ya wakati wa kulala?Ndiyo
Dah,aya imetaja nini!?Hiyo Aya haijamtaja ibirisi, niambie wewe ibirisi ni nani?
Mkuu wewe umetaka aya au hadithi, kwa maana wewe unaamini hadithi na ndio maana nikakupa hizo hadithi sasa utasemaje nakulisha porojo?
Bingwa wa elimu ya majini ktk Quran.Dr Sule ana ujuzi sana wa nini katika Qur'an? Maana Sheikh Yahya nimekutajia kwamba alikuwa bingwa wa usomaji wa Qur'an, sasa Sule yeye bingwa wa nini katika Qur'an?
Hajawahi kutoa madai nje ya Quran au hadith zenye kukubalika,hata juzi wakati anazungumzia wanawari 72 peponi watu walimkosoa kwa hisia tu,ila hakuyatoa kwenye wallet yake,yapo ktk hadith za kiislam.Ungekuwa unamsikiliza huyo Dr Sule ungemsikia akitenganisha elimu ya dini na elimu ya tiba, maana huwa anakosolewa sana na waliyosoma elimu ya dini.
nitajie mmoja tu feki,na uniambie kwanini unadhani ni feki,na aliye original ametimiza vigezo gani??Point ni kwamba manabii feki wapo katika miongoni mwa manabii waliyopo, na kibaya wanatenda miujiza kwa jina la Yesu.
Lakini ni kweli Quran haijaacha kitu??au sio muumini wa huu uzushi??Nimeshakueleza kuna elimu ya dini na elimu ya tiba, hata ukisoma Qur'an kwa kurudia rudia hukuti somo la utabibu mule au uganga.
Sawa hakuna shaka katika hilo, hata tendo la ndoa ni ibada pia lakini kuna dua ya kujikinga na shetani kabla ya kufanya tendo la ndoa.Dua ni miongoni mwa ibada
Hapa nakubaliana nawewe hata gallow bird alisema hakuna kinga ya kuingiwa na jini nikamtaliadua ya kujikinga na shetani kabla ya kufanya tendo la ndoa.
Mkuu hivi kujadiliana ni kuulizana maswali tu na kujibu? Nimekuuliza unataka kujua zaidi kuhusu Ruqya ili uelezwe zaidi kuhusu Ruqya maana ulikuwa unapinga kuhusu Ruqya ukataka ushahidi umepewa, ila umejibu tu sawa haujawa wazi kama umekubali kuhusu uhalali wa kisomo cha Ruqya.Hutaki kujibu swali nililokuuliza basi nitakuwa nakutag katika mjadala wangu na Lidafo kuhusu Rukya na shirki