Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,914
Nimeuliza kufanya tu ibada ya kweli inatosha kuwa kinga?Ndiyo, wewe unajua ipi nyingine zaidi ya kumtegemea Allah akukinge na viumbe wake?
Nimeuliza kufanya tu ibada ya kweli inatosha kuwa kinga?Ndiyo, wewe unajua ipi nyingine zaidi ya kumtegemea Allah akukinge na viumbe wake?
Swali gani?Jibu swali
Halafu wanajiona hao. Utasikia wanajisifu hawatuwezi/ haniwezi mtu hapa mtaaniUISLAM na UCHAWI,,mpaka wake ni mwembaba kama wembe
Mkuu ngoja nikusaidie kidogo kwenye huu utata, mfano wakristo na waislamu humtambua Yesu kitofauti sana kiasi kwamba wakristo hufikia hadi kusema yule aliyeelezwa kwenye Qur'an sio Yesu ni mtu mwengine kabisa. Sasa linapokuja suala la majini napo ni hivyo hivyo, waislamu wanawaeleza majini kama viumbe ambavyo vimeumbwa na Mungu na kwamba hivyo viumbe sio malaika wala sio binaadamu ila wakristo wanawaeleza majini kuwa ni kundi tu la malaika na si kwamba ni aina tofauti ya viumbe vilivyoumbwa na Mungu.Majini ni roho chafu zitokanazo na Licifer na malaika walioasi Mbinguni pamoja nae. Wanamuabudu vipi Mungu waliyemuasi na sio yule muasisi wa uasi waliyeamini anaweza kuwa Mungu wao? Kwa sababu hata sasa baada ya kushindwa vita na ufalme wa Mbinguni, wanaendeleza vita na viumbe wa Mungu ambao ni wanadamu walio upande wa Mungu hapa duniani.
Maandiko yanasema sababu ya yule muasi kupigana vita na wanadamu ni wivu kwa kuwa Mungu alituumba kwa mfano wake na kutupa mamlaka juu ya viumbe vyote vinavyokatiza hapa duniani wakiwemo Lucifer na hao malaika walioasi na majini. Yule muasi akituona ni anaona image ya Mungu aliyeshindwa kumpindua na kuchukua nafasi yake hivyo chuki yake kwetu ni thabiti.
Kinachowapa faraja: muasi na majeshi yake wakiwemo majini ni kuwa, kuna wanadamu wapumbavu wenye kiburi cha kujiona wana maarifa mengi walioamua kumuasi Mungu wao na kushirikiana na majeshi ya muasi Lucifer kumuabudu na kutumika na huyo muasi kama vyombo vya kuleta uharibifu kwa wanadamu ambao hawajaasi kwa Mungu wao.
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Utagundua hata waganga wachache wa Kikristu waliopo, bado hutumia Qur'an kuagua, sijui hii imekaaje.Sio uislam tu hata ukristo
Dr sure.Waganga wako wengi mkuu sasa mbona hawaitwi kuwa ni mabingwa wa usomaji wa Qur'an kama Sheikh Yahya? Nitajie mganga mwengine mbali na sheikh Yahya ambaye ni mjuzi sana wa Qur'an?
Utabibu au Quran?Nimekwambia wapo waganga ambao elimu zao ni ndogo sana kwenye utabibu.
Ndio maana nimekwepa kumtaja yeyote,maana tukiwaweka kwenye mizani ya hukumu hata huyu wa waislam hatoboi,haina maana.Mimi nimesema manabii feki wala sijamnyooshea kidole yeyote na sio nafasi yangu kuwapima katika hao manabii kujua yupi feki na asiye feki hilo nawaachia wenye kuamini hao manabii, labda uniambie hakunaga manabii feki manabii wote ni manabii wa kweli.
Nimetaja waganga waliosoma zaidi Quran,hii ya wachawi umereact haraka tu.Uchawi umekatazwa kwenye Qur'an kwahiyo kama wachawi wanatumia Qur'an basi ni kwa imani zao ni kama tu wachawi hao hao kwa imani zao wanavyotumia maandiko ya Zaburi.
Sawa kabisa ikiwa umekiri kuwa kwenye biblia hutapata neno jini, Embu nisaidie majibu ya haya maswali:-Majini ni malaika walioasi, ambao hapo wanatajwa kama joka na malaika zake. Pia kwenye biblia hakuna mahala utapata neno jini
Hadithi ni porojo,angalia tu muundo wake,imepokelewa kutoka kwa fulani anasema fulani alimsikia bi aisha akisema mtume alisema...huu uhuniAt least umeanza kuleta Aya na hadithi ndio maana nikasema hapo tunaenda pamoja sasa
Japo umetoa hadithi but gallow bird anasema hadithi ni porojo
Ushirikina wa kwanza ni kuyafanya maini ya wanazuoni kuwa muongozo wa Allah swHapa hatujadili madhehebu tunajadili ushirikina katika dini tena hatubishani tunaelimishana
Quran 2:14 in Kiswahili Kiswahili | al-Baqarah 14Kama shetani sio jini Ibiris ni nani
Kwahiyo wewe ni muislam unaeamini Qur'an peke ake bila Sunnah
Ndo manakeHalafu wanajiona hao. Utasikia wanajisifu hawatuwezi/ han
hawana nuru!!Halafu wanajiona hao. Utasikia wanajisifu hawatuwezi/ haniwezi mtu hapa mtaani
Swali zuri..Je wanaoenda kufanyiwa uganga wa Adhana wanaitakidi kwa Allah na si kwenye Adhana na mganga mwenyewe?
Ni kweli wote wanaogangwa ni waislamu hakuna wakiristo ambao hawamuamini hata huyo Allah (S.W)?
soma As-saffat,chapter 37,,,,,,,,,,mstari wa 157-160,158-1Kwanini, unaweza kutoa hata sababu moja au mbili zilizofanya uje na hilo hitimisho
Nijibu swali langu,Quran 2:14 in Kiswahili Kiswahili | al-Baqarah 14
Hawa mashetani wanaotajwa hapa ni majinni?
Hii Hadith ndio muongozo wenu wazee wa Rukya nataka tujadili hayo masharti ya Rukya tuyaone na yanavyofanyika ni sawa?Swali zuri..
Nadhani utakuwa unamfahamu swahaba aliyeitwa Abu Sa’id Al-Khudri (RA), Swahaba huyu anasema katika hadithi mashuhuri sana iliyopokewa na Imam Bukhari katika Sahih Bukhari, Hadithi namba 5736 katika mlango wa tiba inasema.
Kundi la Maswahaba wa Mtume ﷺ walitoka safari. Walipofika kwa watu wa kabila fulani, waliomba wageni lakini wakakataliwa. Baadaye, kiongozi wa kabila hilo aling’atwa na nyoka, wakajaribu kila tiba lakini haikufaa. Mmoja wa watu wa kabila hilo akasema: “Jaribuni kuwaendea wale wageni, huenda wana tiba.”
Walipowaendea, mmoja wa Maswahaba akasema: “Ndio, mimi nasomea (rukya), lakini kwa kuwa mlikataa kutupokea, sitamsomea hadi mtupe malipo.” Wakakubaliana kumpa kondoo. Akamsomea Suratul Fatiha mara kadhaa, na yule mgonjwa akapona mara moja kana kwamba hakuwa na tatizo.
Waliporudi kwa Mtume ﷺ na kumweleza, Mtume akasema:
“Ulijua vipi kuwa Suratul Fatiha ni rukya?”
Kisha akasema:
“Mlifanya vyema. Gawanyeni malipo, na nipeni sehemu yangu.”
Sasa lengo lakukupa hii hadithi ni kuwa ni hadithi yenye mambo mengi hasa kaika maswala ya tiba ila nitaelezea kulingana na swali lako, ..Je huyu mtu aliyesomewa surat fatha imani yake ilikuwa kwa Allah au kwa msomaji au kwa surat fatha? majibu mimi na wewe hatuna kwakuwa masuala ya imani juu ya kitu ni katika mambo ya ndani ya nafsi ambayo mtu anaweza kudhihirisha kupitia mdomo kumbe ndani ya nafsi yake ni kinyume chake.
Ndio maana siku ya hukumu atahukumu ALLAH mwenyewe.
Kufupisha maelezo chukulia mfano wa dawa za hospitali zetu hizi pale tunapokunywa imani inakuwaga wapi? Je ni kwa ALLAH au kwa doctor au kwenye dawa?
Kabla hatujaja huko kwenye masharti ya Ruqya.. Vipi kwanza bado mtazamo wako ni kuwa kupiga adhana kwa ajili ya kufukuza mashetani ni shirki?.Hii Hadith ndio muongozo wenu wazee wa Rukya nataka tujadili hayo masharti ya Rukya tuyaone na yanavyofanyika ni sawa?
Sasa wewe wasema anaejua ni Allah na hukumu atatoa yeye siku ya mwisho ni kweli hilo hakuna anaepinga ila ukweli ni kuwa uganga wa visomo unaofanywa na masheikh wetu haukidhi vigezo na masharti kama ilivyoelekezwa ila tukisema ni shirki hamtaki