Masheikh mliosoma dini na kupata nyadhifa katika jamii acheni tabia ya kuchanganya dini na uganga/uchawi

Hapana sijakuhukumu ila nimekuonya ndio maana nimetumia neno "kama" maana yake sina uhakika kuwa unafanya shirki
Kwanini unidhanie hivyo hadi kunionya? Inaonekana ni mwepesi kunyooshea wenzako vidole na kuona wao ndio wakosefu.
 
Uganga kwa maana ya kuagua na kuponya sio dhambi

Uganga wa kutumia ndumba na uchawi na aina hiyo ndio dhambi maana ni shirki
Huo uganga wa kuagua na kuponya unatumia nini katika huko kuponya ama kuagua?
 
Kwanini unidhanie hivyo hadi kunionya? Inaonekana ni mwepesi kunyooshea wenzako vidole na kuona wao ndio wakosefu.
Sijakudhania ila nimekuonya kuwa kama unamshirikisha Mwenyezi Mungu acha mara moja maana mwisho wa washirikina ni motoni

Jua kutofautisha kuonya na dhana
 
ILIMU haina mwisho tukiendelea kusoma vizuri huko mbeleni tukiongeza ilimu zaidi ya dini tukitoka kwenye umamuma tukawa wanazuoni,tukisoma ilimu ya FALAKI chuo cha maarifa. tutajua ILIMU MPYA ambayo sio waumini wote wanaijua ,ni wachache tu ndio wana hii ILIMU mfano ilimu ya maumbo..
MAJINI yametokea wapi yapo ya aina ngapi kuna majini upili yenye vinasaba vya binadamu,kuna majini mizimu,kuna misukule,kuna majini ya kutengeneza kutengenezwa na binadamu, kuna majini ya asili ,asili yao ni malaika,ambayo yalifukuzwa baada ya kumuasi Mungu,kule Mbinguni kabla ya kuasi mbinguni yalikuwaga malaika.
Shetani mwenyewe alikuwaga malaika, tena malaika mkuu wa sifa kule mbinguni akaasi akawadanganya na baadhi ya malaika kwa sehemu 1/3 theluthi moja ya tatu ya malaika wakamuunga mkono shetani kipindi hicho anaitwa lucifer...wakafukuzwa kutoka mbinguni wakatupwa kuzimu na duniani.
Sasa haya malaika yallipofika duniani yakazaa na binadamu majitu marefu manefil ,pia yakawafundisha binadamu ilimu ya maarifa ,yakawafundisha UCHAWI..haya majini ndio wengine huyaita MAJINI wema ,wasafi ,au waalimu.
ILIMU HAINA MWISHO...tunaweza kujifunza kwa MASHEIKH wenye ILIMU YA MAARIFA...ilimu ya FALAKI kama.

sheikh HAMIS HUSSEIN MUBARAK,

sheikh Omary mnyeshani,

Ostaadhi Amiri,..

na wengine wengi

TUPATE ILIMU KIDOGO
,DARSA SAFI KABISA.

View: https://youtu.be/GhEnBYda40E?si=rpZhYGdmn_9UL_DE

View: https://youtu.be/NvBoSksLVkw?si=5nNSz7GpvtkFYCen

View: https://youtu.be/PTYxT1dmc38?si=xclogBs_WaKt6C-N



View: https://youtu.be/gY25Oq32Bi4?si=QbuAIGTvD_9YC-O3

View: https://youtu.be/gEGa_aasP6c?si=rryl90ZfhIimmyj9

View: https://youtu.be/v083CK630OE?si=6hGRG5o_tE7v_41u

View: https://youtu.be/ymloTe4sS5c?si=lnopCwu9CKnR62ZN

View: https://youtube.com/playlist?list=PLRlKgK42wOQvxzAPWVtz-Hpdt7CW1F8-C&si=WzBqnaanQ3p07qhz
omary mnyeshani

View: https://youtu.be/C_O1Becq0bs?si=I5usuzwgKRALt1GV
 
Tunasoma ili tujue kibaya na kizuri elimu ya falaki ni shirki ni sawa na kusoma halbadiri Mwenyezi Mungu amekataa kushirikishwa na viumbe alivyoviumba
 
Sijakudhania ila nimekuonya kuwa kama unamshirikisha Mwenyezi Mungu acha mara moja maana mwisho wa washirikina ni motoni

Jua kutofautisha kuonya na dhana
Onyo lako msingi wake ni dhana maana tulikuwa tunajadiliana vizuri mara ndio ukaja kuibuka na hilo onyo kwa tuhuma ya kutumia nguvu kutetea shirki.
 
Onyo lako msingi wake ni dhana maana tulikuwa tunajadiliana vizuri mara ndio ukaja kuibuka na hilo onyo kwa tuhuma ya kutumia nguvu kutetea shirki.
Kutetea shirki kwa kuipa majina mengi ni dalili ya kuingia katika shirki ndio maana nikakupa onyo hata Mwenyezi Mungu anatuonya kuwa;

17:32 - Wala msikaribie uzinzi. Hakika huo ni uchafu na njia mbaya.

Kwa maana hata kuutetea uzinzi kwa aina yeyote ni kuukurubia hivyo katuonya tusiukurubie
 
Kuna mahali umekosea napo ni "Allah" kwa maana Mungu na sio allah kwa maana "mungu"

Vipi wewe akitajwa kiumbe Jini nini kinakujia kichwani mwako
Jini ni shetani ibilisi viumbe wa allah mungu wa waislam
 
Wewe ndiyo ujitambui Mungu wa Uislamu ni IBILISI NA MALAIKA WA UISLAMU NI MAJINI NA UGANGA WA KIENYEJI NI MAJINI ...HIVYO HAO MASHEKH WAPO SAHIHI KABISA KUFANYA UGANGA
 
Kwa kweli masheikh wanaboa, mtu kiongozi wa dini unajishughulishaje na uchawi? Karibu ya wachawi wote wakubwa ni masheikh, si hajabu hii? Waislam wanajiangusha wenyewe kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…