Ndio wale degree na PHD holders waliopata mgao kwenye escrow??πππChama cha CUF ndio kilikuwa Chama cha misikitini, tatizo masheikh wengi hawana elimu wamesoma Quran tu.
Baraza la maaskofu linaundwa na PhD na degree holders tu, lile ni zaidi ya baraza la mawaziri.
Kwakua nyie mnajiona special Sana. Jamaa kasema kweli na waislam wakilianzisha bandari apewe mwarabu kwakua Ni muislam utalaumu? Hapata kalika cha msingi huu waraka hata ambao si catoliki tumeulewa na uko poa kwaajili ya maslahi ya wote Mambo ya kuingiza dini kila kitu itafikia kipindi kila dini unataka kiongozi wake hivyo huo waraka ilitakiwa urushwe tu kila mtu aupate sio kwenda kuusomea kanisaniMagaidi hawana uwezo wa kuandika waraka.
Kanisa na ccm ni chanda na pete hakuna mwenye huruma na watanzania tusiwe wajinga ccm tunaijua vizuli hata makanisa tunayajua vizuli hapa nikionacho ni masilahi tuKwakulinda Mali za nchi waingize tuuuuu usimtishe mtu nguruwe weee
Makanisa hayana urafiki na watu tofaoti na kujilimbikizia mali tu tunaona kwenye shule zao hosipitali zao narudia kanisa halina urafiki na mtuYani Hilo ni jambo la maana!?
Kanisa halina urafiki na wakirito wala waisilamu wala wapagani rafiki ya kanisa ni pesa tu,ukichunguza vizuli utaona kama wanatetea watu kumbe wanatazama masilahi yao tu utaki kuamini basi sikulazimishiHuelewi ulicho andika. Sijui kama walau umesoma kabla ya kuposti. Wala hunavuzoefu juu ya hili kanisa lililo jengwa juu ya MWAMBA.
Kidogo viama viasiasa naweza kusema viko sawa kupinga sababu havija shika nchi tukaona uzuli na ubaya wao,likinkini makanisa tunayajua hayana tofaoti na viongozi wa ccm katika kujirimbikizia mali,ukitaka kuamini wewe mkirito nenda hosipitali tena umevaaa msalaba mkubwa shingoni huko hoi alafu huwe na pesa pungufu uone uzuli wa hosipitali ya kanisaUbinafsishaji wa bandari kwa wageni ni siasa!!?? Kanisa linapinga ufisadi, hilo ni jukumu la kila mtanzania kuipigania nchi yake, kanisa limetimiza wajibu.
Hata kanisa halipo kumtetea mtu tofaoti na masilahi yake kweli mkataba ni mbovu lakini kanisa halina urafiki na mtu bhana bora ya lissuNi kweli hao Masheikh hawajui vitu vingi wanaojua vitu vingi ni hao Dp world ndio maana serikali imeamua kuwapa hiyo Bandari kuwekeza
Hata kkkt na sabato wamepinga waraka huoBro issue siyo tamko pekee, je wanahoja ya maana ya kutolea tamko?? Kwani tec wametoa tamko la kupinga uislamu? Kama masheikh wanaungana na tec kutoa tamko la kupinga mkataba wa DP itakuwa saf Sana. Hizi hoja za kuchonganisha dini ni ujinga wa juu mno. Sisi ni Watanzania,anayeuza nchi ndiyo adui wetu na si hoja za maaskofu na masheikh wala ukristo na uislamu.
Wewe kama msomi siasa nini maanake?Hivi kwanza siasa ni nini? Aliyewaambia huo waraka ni mambo ya siasa ni nani? Rudini shule mjifunze walau mambo madogo kama haya kuepusha aibu ndogo ndogo.
Ndio hayo tunayo yasema mkataa kweo mtumwaNimejisikia kuandika [emoji1787]
Vipi kwan?
Upuuzi mtupu. Kama mashehe watakuwa wanatoa mahubiri kila wakati wa ibada yao kuikosoa serikali pale wanapoona kuwa imekosea wananchi wake wa dini zote itakuwa wanaisaidia serikali na wengi tutawashukuru.Waislamu huwa wanakutana mara tano kwa siku katika swala na mara moja kwa wiki siku ya Ijumaa.Kiuhakika waislamu wanakutana kwa wingi katika wiki kuliko wakristo.
Masheikh nao wakiamua kuachana na hofu inayowakataza kutochanganya dini na siasa na kuanza kutoa matamko misikitini sijui kama wengine wataweza kivumbi hicho.
Kwa ujumla tamko la TEC kusoma waraka makanisani na kutekeleza leo ni kama kwamba wamejinyea na kujiingiza kichwa kichwa kwenye jambo litakalowaporomoa kutoka pale walipo.Ama wamkane padre wao au wakubali wamechokoza pasipohitajika.
Uamuzi wa NATO kuingia vitani Ukraine na ECOWAS kupeleka jeshi Niger ni sawa na kanisa katoliki kusoma waraka wa bandari makanisani mwao.
Basi ndo ujue duniani kila mtu muhimu. Msomi anamtegemea asiyesoma na asiyesoma anamtegemea aliyesoma.Hao wote uliowasema na huo utajiri wao walivyoupata, kwa hakika tajiri kuuona ufalme wa mbinguni ni sawa na ngamia kupita tundu la sindano ,bila sisi kula hizo chapati zao na kupikia gas zao si nao wangekuwa malofa tu sisi ndio tumewatajirisha mkuu.
Wapinzani akina Lisu walikosa kabisa gia ya kutembelea,hii issue ya bandari wameikumbatia nakuona kuwa ndiyo gia itakayowabeba Hadi kwenye uchaguzi ujao,ni kweli wamekosa Shukrani kwa raisi Samia.
Kwahiyo?? unataka kusemajeMfumo wa elimu ya kikatoliki
Hadi anakuwa father
Si lelemama kama kula maandazi
Una hasira sanaKwahiyo?? unataka kusemaje
Sijaona point ya msingiUna hasira sana
Elimu ni bahari
Viongozi wenu hawajazuiliwa kwenda kusoma,π
Ila PhD kuipata siyo lelemama kama kula maandazi.
Viongozi wa katoliki shule imelala kichwani
Hakuna father kilaza hata mmoja.