Masheikh wakiamua kuingiza siasa kila kipindi cha swala itakuwaje

Nyie mnakutana mara 5 wapi ?? (Msikitini)
Wakristo wanakutana mara 2 /kanisani/ hizi per day mzee

Wakristo wanakutana mtaani kwa wiki mara 1 /jumuiya/ hii Ndio nguzo ya wakatoliki Yani ukitaka kuua ukiristo anza na jumuiya zao
 
Maaskofu wameshafanya kazi yao maneno yao ni mepesi tu ila mazito Sauti ya Watu ni Sauti ya Mungu sasa sijui sauti ya hao mashee wenu itakua sauti ya nani...
Nakumbuka kuna shehe mmoja Mwaipopo alipiga biti kwa yeyote atakayehudhuria mkutano wa kupinga huu mkataba uchwara sijui atasomewa nini ili Afe..

Sio kwamba mashee hawajasema wamesema ila hakuna hoja hata mmoja wameamua nao kuchukua vipande 30 vya fedha na kuwauza watu wao.

Kama mashehe wanaona ni Sawa hayo ni mawazo yao ila viongozi wa Kiroho wa Kikatoliki wameona HAPANA Kubwa.
 
Chama cha CUF ndio kilikuwa Chama cha misikitini, tatizo masheikh wengi hawana elimu wamesoma Quran tu.

Baraza la maaskofu linaundwa na PhD na degree holders tu, lile ni zaidi ya baraza la mawaziri.
Ndo mna wakristo hamuishi kutapeliwa kila uchao yni PHD anaenda kukalishwa na masanja na kumwaga hela

Izo Phd zenu hazikusaidieni lolote kma mpk masanja anawahadaa na kumpa hela
 
kutaneni na amueni chochote cha kufanya sisi tunasubiri, nyinyi mkiachiwa mtaona hii nchi ya baba yenu
 
Kwa hiyo masheikh wanapokutana wanasali na kuondoka bila kupinga uhalifu? Kama mkataba ni mbaya wanyamaze na kuuita siasa... Hilo kwa kweli ni hapana. Mbona kwenye hafla za dini wanasiasa wanakuja officially? Sio kwamba wanachanganya dini na siasa?
 
Mbona reli na bwawa anajenga Muislamu Tena wamepewa zama za JPM msijifichie kwenye udini kuliko maslai na usalama wa taifa
 
Siasa zenu nyinyi ni za kuua watu wasio na hatia kwa kuwachinja na majambia, na pia kwa kujitoa mhanga.

Ila ukija kwa Wakristo, siasa zao ni tofauti kabisa na hizo za kwenu. Huku kwetu tunafanya siasa za kuelimishana tu kwa njia ya amani.
 
Lakin ndio hao hao wanawaongoza katika na hao hao ndio matajir wakubwa
Wewe kama wewe upo kwenye kundi gani kati ya haya mawili uliyoyataja hapa? Uko kwenye uongozi wa nchi, ni tajiri mkubwa, au ndiyo walewale wanaojivunia mafanikio ya Bakhresa! Kisa tu ni Muislam?
 
Kama kuna jambo lina wagusa waislam na serikali imekaa kimyaa nadhani ni rukusa kulisema mpaka serikali iwasikie, kibaya ni kusema madhehebu mengine, walaka wa TEC haujagusa waislam bali umegusa serikali na mkataba wake.Sijui umenielewa? Pengine mkataba ni ngumu kuuelewa.Hivi unafurahi kuuzwa eeeh?
 
Haohao waliopokea tende na harua ndio uleta hoja za hovyo hovyo ili kuhalarisha uhovu wao.
 
.......
Uamuzi wa NATO kuingia vitani Ukraine na ECOWAS kupeleka jeshi Niger ni sawa na kanisa katoliki kusoma waraka wa bandari makanisani mwao.
ni sawa na one man show alivyotule huu mkataba
 
Kwani waraka wa Roman imepinga dini ya kiislam? Kwani waislaam wakiiamua na wao kujiingiza kwenye masuala ya siasa si watatoa maoni yao juu ya Mkataba wa DPW na serekali
 
Kama watatoa waraka wa kupinga utumwa wa Tanganyika kwa waarabu sioni tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…