Masheikh wenye vyeo Serikalini msimamo wenu ni upi kuhusu Uislam?

Unajua kiingereza cha kusoma na kuelewa?

View attachment 2104328
Hata wale magaidi wanakuwa watu aina yenu! Yaani wanapewa kipande cha Aya ya Quran, nao bila kutafakari, wanatumika kupitia vipande hivyp!! Ndo kama wewe sasa!!!

Umeokoteza screenshot sijui kutoka wapi ndo tayari ushaona unaijua Quran ambayo watu wanaisoma miaka nenda rudi! Neither Quran nor Gospel inayoweza kusomwa kwa staili hiyo kwa sababu ukifanya hivyo, ndipo unaweza kukutana na aya kama hii:- Luka 19: 24-27


Je, kwa hiyo staili yenu mtu hajaenda kuwalisha watu matango pori kwamba Bible inasema "mwenye kingi huongezewa na asiye nacho atanyang'anywa?" Na kwamba Bwana anauhusu maadui kuuawa?

Kinyume chake, ukiisoma aya hizo kwa makini unakuta aliyesema hayo kumbe sio "Bwana yule" anayefahamika na wengi kama Yesu!! Kumbe ni nukuu ya maneno yaliyosemwa na mwanadamu!!

Unless kama umeamua kupotosha kwa makusudi kama ambavyo mtu angeweza kusoma "Bwana aliagiza maadui wauawe" lakini ukweli kuhusu aya uliyoiweka mwanzoni kabisa kama 2:191 huwezi kuuelewa bila kusoma aya ya 2:190 na zingine zinazofuatia:



Ukisoma aya hizo mbili zinazofuatana utagundua kwamba kilichopo hapo ni kuji-defend! Kwamba, watu mmevamiwa, mmepigwa, na pengine wengine wameuawa na kutekwa makazi yao!!

Na ndo maana 2:190 inasema "Piganeni nao wale WALIOKUPIGENI na wala msizidishe"

Na HUWEZI kufahamu kwanini hizo aya zilikuja kwa mtindo huo bila kufahamu historia ya Muhamad na Wafuasi wake ambayo iliwafanya waikimbie hadi Mecca na kutorokea Madina baada ya kuwa kila wakati wanashambuliwa na kuuawa na hao infidels'

Now tell me: Huko mnakofundishwa upendo huwa mnafanya nini mnaposhambuliwa na kupigwa?! Huwa mnageuza shavu la kushoto kama bible inavyosema au mnapigana kama Quran inavyosema?

And remember, unapoambiwa "fight in the way of Allah" hiyo sio like any other war!!! Hiyo ni kama Wakristo mmekusanyika pale Taifa mnaanza kuhubiriana neno halafu linakuja kundi la watu na kuanza kuwatembezea kichapo! Sio kichapo cha mara moja bali hali yenyewe ndo inakuwa hivyo, inyeshe mvua, liwake jua!!!

Unataka kusema hapo Bible inawaambia "geuza shavu la kushoto?

Na kama ndivyo, vile Vita vya Msalaba vilitokea wapi?! NI Unbelievers (from Christianity PoV) wale?

Halafu haya mengine, yapunguzeni hata kwa kusoma bible yenu wenyewe!! Hebu angalia hiyo Quran 3:28 uliyoiweka hapo kisha fananisha na 2 Wakorintho 6:14 ambayo inasema:-


Hapo juu ni 2 Wakorinto 6:14. Mnaambiwaje hapo?! Au hufahamu infidel ndo hao unbelievers?! Au unataka version ya Kiswahili? Hii hapa chini:-


2 Yohana 1:9-11 nae anawaambia:-

Tuache huu unafiki, ukweli mchungu ni kwamba, ukifuatilia maandiko ya dini zote, ni taabu tupu.
 
Waislamu tunafundishwa kuishi vizuri na amani na jamii zote yaani wasiokua waislamu iwe mkristo au pagani lakini usifungamane na kile ambacho mwenyezimungu amekikataza hapo unatakiwa kua mbali na matendo hayo

Mtume Muhammad (s.a.w) alifanya biashara na wasiokua waislamu na aliishi na wasiokua waislamu
 
Kwanza hakuna nchi ya makafiri, lakini pia hata hao wazungu wapo kwenye nchi za waarabu na hadi huku afrika pia wapo kote ni issue za maisha haihusiani na Allah wala Yehova.
Wazungu tafsiri ya imani wanaielewa sana tatizo waarabu wanalazimisha imani yao lazima ifuatwe katika nchi zao.
 
Waislamu tunafundishwa kuishi vizuri na amani na jamii zote yaani wasiokua waislamu iwe mkristo au pagani lakini usifungamane na kile ambacho mwenyezimungu amekikataza hapo unatakiwa kua mbali na matendo hayo

Mtume Muhammad (s.a.w) alifanya biashara na wasiokua waislamu na aliishi na wasiokua
Nyie ndio mmefanya kitimoto ikapanda Bei.
Uislamu umeweka wazi kitimoto ni haramu,sijui wewe kafiri unaisemea vipi dini yako kuhusu kitimoto


Halafu unatakiwa kufahamu ni kwamba kitimoto analiwa na wakristo,pagani na waislamu pia wapo wanaokula kitimoto,ila katika dini ni dini moja tu ambayo imeharamisha kitimoto nayo ni UISLAMU
 
Waislamu tunafundishwa kuishi vizuri na amani na jamii zote yaani wasiokua waislamu iwe mkristo au pagani lakini usifungamane na kile ambacho mwenyezimungu amekikataza hapo unatakiwa kua mbali na matendo hayo

Mtume Muhammad (s.a.w) alifanya biashara na wasiokua waislamu na aliishi na wasiokua
Nyie ndio mmefanya kitimoto ikapanda Bei.
Uislamu umeweka wazi kitimoto ni haramu,sijui wewe kafiri unaisemea vipi dini yako kuhusu kitimoto


Halafu unatakiwa kufahamu ni kwamba kitimoto analiwa na wakristo,pagani na waislamu pia wapo wanaokula kitimoto,ila katika dini ni dini moja tu ambayo imeharamisha kitimoto nayo ni UISLAMU
 
Mkuu hatuendishi nchi kwa kutumia dini,huko mahakamani hatutumii sheria za dini,na elimu yetu sio ya dini. Sasa nashindwa kuelewa dini inahusikaje hapo?

Na kama dini ndio inaleta umasikini wetu afrika basi huko uarabuni wasingekuwa matajiri wangekuwa masikini zaidi ya afrika.
 

kaka hata biblia imekataza kula nyama ya nguruwe
 
Katika ghafla hizo nawaona viongozi wangu wa dini ya kiislam wakitoa salaam ya kiislam na kikiristo na kutambua uwepo wao hii imekaaje?
Mshika Dini Haswaaa, hawezi Purukushani za Serikalini; Kule kuna Neutralism ya kutosha; Ukishakuwa kiongozi tuu lazima Kuna Unafiki Uwe nao ili uweze kubalance Mambo;

Rais hata awe Musislamu hawezi kuwa na Strong ethics zake kuna namna atakuwa Neutral tu, Akiwa Christian the same; Maana unaongoza makundi ya watu tofauti.

NB: Kila mtu ana kiwango cha Unafiki ili aweze kuishi katika hii dunia.
 

Alisirim,andika vizuri basi
 

Ahsante Kaka umefafanua vizur mno
 
Kuna watu wanapindisha kwa makusudi hoja yako.wewe unachataka kujua vipi wakiwa misikiti,mihadhara na madrasa waukatae ukristo kua si dini,ila kwenye hafla za kiserikali wautambue ukristo kua ni dini?.


Nadhani hoja yako iko hapo

Sawa kabisa
 
Muda si mrefu utajitoa mhanga ili ukapate mabikira 72 huko ahera! Dalili zote zinaonekana.
 
Wewe ni keng
 
Biblia Agano la Kale na Korani havifanani.
Agano la kale Ngamia ni marufuku kula ila kwenye Korani ni nyama ya heshima sana.
 
Hivi kwanini waarabu wengi wenye dini yao hawanaga sijda?
 
Akijibu hii nistue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…