Masheikh wenye vyeo Serikalini msimamo wenu ni upi kuhusu Uislam?

Dini tumeletewa na wageni leo tunagombana wenyewe kwa wenyewe
 
Kwanza nakubaliana na wewe kuhusu waislamu kuamini dini yao ndio dini ya kweli na kuona zengine zote ni za uongo, nitajaribu kueleza moja ya sababu ambayo nadhani huchangia waislamu kujiona hivyo.

Ni kwamba kwenye mafundisho ya kiislamu ukiyatafakari utagundua hekima nyingi za Mungu zilizopo kwenye hayo mafundisho nikiwa na maana utagundua kwanini Mungu alisema hivi alikataza kile na kuamrisha hivi kwanini aliweka hili.

Hicho ni kitu ambacho kinajenga muunganiko katika ya uhalisia wa maisha yetu huku binadamu na hayo mafundisho ya Mungu.

Hivyo pengine hilo hufanya waislamu kuona uislamu ndio dini ya kweli ya Mungu.
 
Na ulaya hawawataki waislam sasa wanang'ang'ania nini??!!!waende uarabuni kwani huko hakuna maisha🤣🤣🤣🤣
Kwani mbona hao wazungu wapo huko arabuni,india,china na hadi afrika?
 
Sasa mkuu hiyo suti ya kafiri imetengenezwa na nani na Gwajima au Lusekelo? haha natania.
 
Mkuu jaribu kuvaa viatu vya hao viongozi (fikiri ni wewe ndio umekua kiongozi mfano rais) ukishakua kiongozi kikatiba wewe ni kiongozi wa watu wote bila kujali tofauti zao za kiimani au kikabila.

unapokua kiongozi serikalini, unakua kiongozi wa watu wote, (zingatia point hii "KIONGOZI WA WATU WOTE") So ni lazima utambue imani au kabila zao kwa utofauti wao bila kuonesha upendeleo wowote.

Je wewe ungekua kiongozi mfano rais ungetambua watu wa jamii ya imani au kabila lako tu?
 
Kuna watu wanapindisha kwa makusudi hoja yako.wewe unachataka kujua vipi wakiwa misikiti,mihadhara na madrasa waukatae ukristo kua si dini,ila kwenye hafla za kiserikali wautambue ukristo kua ni dini?.


Nadhani hoja yako iko hapo
serikali haina dini,hivyo wakiwa katika shughuli zao dini huwekwa pembeni ili mengne yapite
 

Mkuu nimejaribu kuongelea viongozi wetu wa dini nchini
 
Mkuu nimejaribu kuongelea viongozi wetu wa dini nchini
Mtoa mada salamu hii ya "Asalaam aleikum" kiswahili chake ni " Amani iwe juu yenu"

Kwanini msisalimie Kiswahili ili kukuza lugha yetu badala yake tunakuza lugha ya watu wengine?
 
Unajipa moyo sana kwa habari za kusadikika🤣🤣🤣 tembea uone wanavyotimuliwa hao waislam wenzako ulaya huko, hizi habari za kutengeneza usishadadie ni fake nyingi tu
Bora ufiche ujinga wako, unajua domain ya. Edu? Hakuna Habari fake na za kutengeneza hizo Ni tafiti za vyuo,
 
Kiukweli ni copy anda paste ya uyahudi..ila hiyo copy and paste ilifanywa na vilaza..

Sema ili kushinikiza iaminike..ndio ikaja na malengo wa kutia hofu..na chuki dhidi ya wengine.

#MaendeleoHayanaChama
 
Miaka kadhaa iliopita uisilamu haukuwa dini hata ya 3 duniani, Sasa hivi Ni Ni dini ya pili na trend inavyokwenda soon by 2050 itakuwa dini ya kwanza duniani.

Pamoja na kwamba unapigwa vita kila mahala, movies, vyombo vya habari na Islamophobia ila ndio kwanza watu wanasilimu tu.

Na soma comments ya kwanza hadi ya mwisho Ni dhihaka tu juu ya uisilamu hakuna hata mwenye hoja Hio Ni dalili ya kuishiwa cha kucriticize hivyo unahamia kwenye matusi na dhihaka
 
 
Ni heri kukaa na ukristo huko ulaya kuliko kukaa na uislam huko Saudia.
 
Kwani mbona hao wazungu wapo huko arabuni,india,china na hadi afrika?
Wazungu wakienda uarabun wanaenda kutalii tu na kazi kisha wanarudi, na nchi nyingine ulizotaja wapo wakristo wengi sana tu so tamaduni mchanganyiko tofauti na uarabuni, tofauti na hao muslims wanakimbilia ulaya sio kikazi bali wanataka kukaa kabisa ulaya😂😂😁😁 hapo ndio tatizo
 
Kwa hiyo unataka wakrito wasitambulike nchini kwao..!? Au unataka Tanzania iendeshwe ki SHARIA..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…