mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,490
- 2,986
Kuna Sheikh katekwa kauwawa Singida huko alafu unaleta uzezeta wako hapa.Wenzenu wa upande ule kila siku wanaleta mmoja kuipinga serikali na kulazimisha matakwa yao, na kila jumapili wanafanya na kusema kubwa zaidi,
Sasa na nyie kupitia taasisi zenu zooote unganeni mlete mshindo mmoja kuanzia Ijumaa ijayo,
Kila mmoja atetee upande wake kwa nguvu zote
Mkizubaa tu mjue mtakuwa watumwa na wanyonge katika inchi mliyoipigania wenyewe
Tatizo ndio hilo bwashee, nani kamteka? Kwanini isiwe ni chadema yenye vita na ccm?Kuna Sheikh katekwa kauwawa Singida huko alafu unaleta uzezeta wako hapa.
Hakunaga undugu na Shetani. CCM ni mashetani.
Linajipikisha kelele humu kuendekeza uchawa wakati kuna Sheikh wao katekwa Singida hapo na mi CCM itakuwq imeenda kumuua.Nadhani umelenga Mashehe wa BAKWATA
Chadema iteke na isijulikane??Tatizo ndio hilo bwashee, nani kamteka? Kwanini isiwe ni chadema yenye vita na ccm?
Ushahidi hamna na mnatuhumu
Taasisi zooooteee kwa ujumla wao,Nadhani umelenga Mashehe wa BAKWATA
Ushahidi wa mazingira unaonyesha ni chadema,Chadema iteke na isijulikane??
CCM wasivyoipenda Chadema alafu wajue Chadema ndo wameteka mbona Chadema watakamatwa mapema sana.
Watekaji na Wauaji ni CCM.
Kama mna ushahidi kwa nini hamuwakamati na kuwashtaki? Dola ni ya nani?Ushahidi wa mazingira unaonyesha ni chadema,
Kila likitokea wa kwanza kujua ni chadema
Wajanja sana wanajua kujihami, ngoja uvhunguzi ufanyike ndio hatua zichukuliwe
Hapa ni ukristo na uislamu bwasheeLinajipikisha kelele humu kuendekeza uchawa wakati kuna Sheikh wao katekwa Singida hapo na mi CCM itakuwq imeenda kumuua.
Wanadhani CCM ni Binadamu wa kawaida wanajipendekeza kwao tu, kumbe Wanachofanya ni kama mbwa anavyojipeleka kwa chatu
Zanzibar ni 30% tu wanaunga mkono ccmHasa zanzibar
Ushahidi utapatikana tu, mambo ni taratibuKama mna ushahidi kwa nini hamuwakamati na kuwashtaki? Dola ni ya nani?
Acha uzwazwa. Kapambanie CCM wamuachie Sheikh wenu wa Singida akiwa hai.
Acha kuandika mashudu humu kwa ujinga wako wa kidini. CHADEMA wanapambania wewe na uzao wako muwe na maisha .mazuri.
Hiyo CHADEMA, inashindanishwa na serikali kweli?Tatizo ndio hilo bwashee, nani kamteka? Kwanini isiwe ni chadema yenye vita na ccm?
Ushahidi hamna na mnatuhumu