Mashekhe wote kwa umoja wenu: Ijumaa ijayo khutba iwe ni October TUNATIKI ✅

Chadema wanatetea ukristo

Kama ccm haikuleta maisha mazuri na amani na haki, basi hakuna chama chechote kitaleta hayo
NEVER
 
Hakuna huo upuuzi. Ondoa hayo mashudu kichwani kwako. Mimi Mama yangu ni muislam na nai support Chadema.

Chadema haina dini. Inapambania Watanzania wote.
Chadema ni ukristo hilo halina shaka,
Tunaona makanisa na wasimamizi wa makanisa mpaka inje ya inchi wanavyomshukia na kumtusi mama Samia kisa tu ni muislam
 
Chadema wanatetea ukristo

Kama ccm haikuleta maisha mazuri na amani na haki, basi hakuna chama chechote kitaleta hayo
NEVER
Wametetea ukristo wapi na lini?

Jana siku kuu ya Eid Viongozi wa Chadema wameenda kula sikukuu katika kituo cha Watoto yatima cha Dodoma kinachoendeshwa na Waislam.

Hizo propaganda za Udini ni CCM wanajaribu kuwaingizia ili walete sentiments za udini.

Ondoa kwenye hilo giza.
 
Chadema ni ukristo hilo halina shaka,
Tunaona makanisa na wasimamizi wa makanisa mpaka inje ya inchi wanavyomshukia na kumtusi mama Samia kisa tu ni muislam
Masheikh wangapi wako na Chadema?

Umechagua kuona upande mmoja na CCM wamekupiga propaganda umejaa mazima.

Chadema sio wadini. Wanapambania Watanzania wote. CCM ndo mashetani na wanatumia kete ya udini wanapozidiwa.

Shtuka usiwe kilaza wewe.
 
Sio ni chui tu huvaa ngozi ya kondoo?

Udini umewafelisha sana
Na mtafeli sana
 
Udini umefanya India na Pakistan kuwa kwenye state of war kwa karibu miaka 80 sasa.
Na hapa yanakuja, yaani sio kwa mwamko wa makanisa yanavyomtukana mama kwa kuwa tu ni muislam

Kisasi kitaendelea hata wakati wa mkiristo kutawala hapa
 
Hilo la ukristo na uislamu ni la kwako sheikh, tena ni jipya, na la hovyo kabisa, wewe ndiye mhaini sasa.
Ni makanisa yalianza, kama ni uhaini yafungwe yote

Kaguswa kidogo tu padri na vibaka nyooote mumekuja juu, ila shehe kauwawa pale zenji mpo kimyaaa
 
Usisahau kuwakumbusha kuna mwenzao Singida kachukuliwa nae wamsemee hawako salama pia

No reform No Election
 
Acha ujinga , upumbavu huu mpelekee Shehe Jongo wa BAKWATA
 
Usisahau kuwakumbusha kuna mwenzao Singida kachukuliwa nae wamsemee hawako salama pia

No reform No Election
Kuna aliyeuliwa zenji, nyie kama makanisa mumesema?
Lakini vibaka walipomvamia yule padri pala kurasini makanisa yote yamepiga kelele
Acheni udini

October TUNATIKI ✅✅✅✅
 
Hapa tu panadhihirisha udini mkubwa mlionao, angalia wagalatia walivyopanick

Udini mliouanzisha sisi tunakwenda kuumalizia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…