Mashindano ya Mvuto wa Sura Mbaya na Mwonekano wake

Anzeni kumpendekeza mshirikia ambaye atachukua taji hapa ni yupi kwan tarehe 4 october 2013 anatangazwa rasmi kazi kwako jaji mkuu
huyu mshiriki majanga
yani anataka kujua zawadi?
Wakati ni siri ya majaji!!agaaaa!!
 
Hahahaha..hapo kwa nick canon hapo...ila huyo masoud huyo alishawahi kukatiwa rufaa na marehemu ongala..

Ha ha ha Kipaji Halisi.. Nakumbuka baadae Dr. Remmy akaondoa rufaa yake.. Maana baada ya kumuangalia vzuri akagundua Masudi alikuwa mbovu mpaka mabaamedi wakawa wanamkataa lol..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…