Doctor Mama Amon
Platinum Member
- Mar 30, 2018
- 2,311
- 3,513
Tunatetea haki za mashoga hapa..... Kugusia sphincter imekuwaje "attacking the arguer"?
Are you disgusted with the lifestyle?
Kama nimekosea basi nisamehe, turudi kwenye hoja: Ulawiti vs Ushoga
Ok..... Naweza kupata mawazao Yako kwenye hiliTangu mwanzao nilivyoelewa hoja yako ni kwamba inaweza kufupishwa kwa njia ya maswali ya kitafiti yafuatayo:
Kwa vile wewe ndiye umeanzisha mjadala kazi yako ilipaswa kuwa ni kuwafanyia engagement washiriki kiasi kwamba unapata majawabu ya maswali haya bila kuwashambulia wao.
- "Je, kama ambavyo utombanaji ni haki ya baadhi ya binadamu, pia ulawiti unapaswa kuwa haki ya baadhi ya binadamu?"
- "Kama jawabu kwa swali hili ni ndio ni kwa nini, na kama jawabu ni hapana ni kwa nini?",
- "Kama jawabu kwa swali hili ni ndio, binadamu gani wanapaswa kuwa na haki ya kufanya ulawiti?"
- "Je, inawezekana kumtenganisha hali ya ushoga na tabia ya ulawiti?" na
- "Je, inawezekana kuitenganisha jamii ya mashoga na tabia ya ulawiti?"
Maswali yako yanaweza kujibiwa na yeyote, shoga na asiye shoga, msagaji na asiye msagaji.
Graham Oppy ni atheist, lakini amenadika vitabu vingu kuhusu Mungu na vinatumika hadi seminari kuu.
Ni mfano tu wa kukusaidia kuona ulipoteleza.
Kwa hiyo sasa, okoa ajenda yako, kwa kupigania haya tangu sasa:
Haya ndio makosa makuu ambayo hunigombanisha na wanafunzi wangu ninapowasimamia dissertation/thesis zao.
- Focus vs meandering,
- Precision vs verbosity,
- Conceptual clarity vs vaguneness,
- Terminological consistency vs equivocations.
WEwe ni mjinga hili swala siyo la kidini lakini unakuja na Upumbavu wa kuchukiwa wakristo kuita makristo. Jinsi unavyotamka tu kila mtu anajua umejaa chuki.Gaidi ni nani?
Dini imekupumbaza kijana nitajie nchi Moja ya kikobaz ilowahi kuivamia nchi nyingne yeyote Ile kijeshi zaidi ya nchi za kikafir kuzivamia nchi za kikobaz, halaf wakijitetea mnawaita magaidi😄😄😄😄
Wakimalizana na kobaz watawarudia nyinyi ngozi ya nyani msiojitambua mtalimishwa tena mashamba na kuuzwa kama zamani, ukiona mwenzio ananyolewa................?
Makafiri makristo ndo yanachuki na kobaz hilo lipo wazi kama uchi wa kuku lkn kutokana na unafiki wa kiwango Cha hypersonic mnajifanya nyinyi ndo wahanga
Matatizo ya akili katika jumuiya hii ni also part and parcel ya tatizo hili, hata mtu ajikubali vipi mwisho wa siku anaishia kuishi maisha yaliyojaa vanitytatizo wengi hawajikubali na hawajiamini.
Ok..... Naweza kupata mawazao Yako kwenye hili
Eneo hili:
"Je, kama ambavyo utombanaji ni haki ya baadhi ya binadamu, pia ulawiti unapaswa kuwa haki ya baadhi ya binadamu?"
"Kama jawabu kwa swali hili ni ndio ni kwa nini, na kama jawabu ni hapana ni kwa nini?",
"Kama jawabu kwa swali hili ni ndio, binadamu gani wanapaswa kuwa na haki ya kufanya ulawiti?"
"Je, inawezekana kumtenganisha hali ya ushoga na tabia ya ulawiti?" na
"Je, inawezekana kuitenganisha jamii ya mashoga na tabia ya ulawiti?"
Alafu machoko ndiyo yanawazibua kiasi hicho?. Hivi unapigwaje na *****?Makristo makafir yanaongoza Kwa machoko dunian ubishe ukatae
Shoga akijiteteaKila siku huwa nashangaa, wanaoteseka juu ya ushoga/mashoga ni straight uchwara, na sio wao Wahusika.
Yes ni Straight uchwara, hasa bisexuals na ndio kundi kubwa lililopo hapa Duniani, yaan ni wana haha kuliko hata Gays wenyewee.
Mtu analeta hoja sijui matatizo ya akili, hawa raia waliojichokea na umaskini wa fikra had uchumi, nao ni mashoga? Mara umalaya huo umalaya mbona straight uchwara ndo sifa yao kuu na wanajivunia hilo wazi wazi?
Nyie km mnapinga ushoga, pingeni kwa hoja zilizo na mantiki, sio hizi futuhi zenu, zilizopitwa na wakati na za uongo. Mkikaa huko vijiweni mnadanganyanaa wee na kujipa ahueni ya ubabaifu,
Ila waja ushoga/mashoga wanawatesa sanaa eee? Mbona wao wako lelelelee tena winja winja na maisha yao, ila nyie sasa kutwaa makasiriko yasiyo na msingi? Vipi hamjambo lakinii? 😂😂😂😂
Mashogaa wako na wanatamba watakavyo,
Weraaaaaaa weraaaaaaa!!! 😂😂😂😂😂
Huna tofauti na mtu ambaye anaitwa masikini jeuri.Basi nilijua hata una uelewa mpana kuhusu Ushoga/mashoga, km ulivyo jipambanua ktk huu uzi wako, kumbe hollah.
Nakujibu simple, ktk jumuiya ya Ushoga na matawi yake, yes kuna majukumu km hayo.
Wapo mashoga, wameoa, wana familia, na wanaishi well life balanced na jamii.
Vipi una jingine?
Uko sahihi, yani kiukweli niko huku kwa wenzetu naona vizuri tu SIYO AGENDA hiyo na wazazi wako makini sana na watoto wao! Wazazi wengine wanalazimika kuwasapoti watoto wao walioamua kuingia huko ila ukiwasikiliza unaona maumivu yao makubwa! EneweiMoja ya vitu vilivyomrudisha Trump madarakani ni push back dhidi ya LGBTQ na ajenda zake; madhara yameanza kuonekana baada ya zaidi ya miaka 15 ya propaganda nzito
Bro, you've nailed the structure, and your analysis is brilliant—lakini let me come in with a different lens. Si kwa kupinga, bali kwa kupanua scope ya mjadala. Kwa sababu kama tunajadili haki za binadamu (human rights), hatuwezi kuzielewa fully bila kuangalia the social cost of individual conduct—especially when that conduct becomes public ideology or social policy.MJADALA KUHUSU TUNU NA HAKI ZA KIJINSIA: NATOA MAJIBU KWA MASWALI YAFUATAYO
View attachment 3378739
Dhana ya “uasilia” wa tabia za watu inaweza kumaanisha mambo tofauti yafuatayo:
Ama (a) ni tabia ya wastani kitakwimu, au (b) ni tabia ambayo watu wengi wanatarajia, au (c) ni tabia inayotokea kutokana na silika tu bila kufikiria, au (d) ni tabia isiyo bandia, kwa maana kwamna siyo tabia inayohusisha matumizi ya tekinolojia iliyobuniwa na binadamu, au (e) ni tabia inayosaidia kustawisha ubinadamu kwa kuhuisha tunu ya kiutu.
Lakini, kwa kila mfano uliotajwa hapo juu ni rahisi kukumbana na mifano kinzanio inayoleta pimgamizi halali, isipokuwa kwa mfano wa mwisho.
Hivyo, kwa mujibu wa kanuni za maadili asilia, zinazopendekezwa na wanafalsafa mamboleo waitwao New Natural Law Theorists, kanuni ya msingi ya kimaadili inasema kwamba:
Tendo la kibinadamu litakuwa ni halali kimaadili ikiwa tu linachangia katika ustawi wa binadamu kwa kuhuisha tunu ya msingi yoyote, na katika kufanyi hivyo, halihujumu kwa makusudi tunu za msingi baki.
Tunu za kiutu zinazoongelewa ni pamoja na uhai, afya, maarifa, utulivu wa nafsi, urafiki, ukweli, uhuru, ndoa, haki, amani, na orodha inaendelea.
Kwa kuzingatia nadharia hii ya maadili asilia, sasa napendeleza kujadili maswali husika kwa mtiririko ufuatao:
HAKI YA BINADAMU NI KITU GANI NA MATENDO GANI YANAHESABIKA KUWA HAKI ZA BINADAMU?
- Haki ya binadamu ni kitu gani na matendo gani yanahesabika kuwa haki za binadamu?
- Je, utombanaji unapaswa kuwa haki ya baadhi ya binadamu? Kama ndiyo ni kwa nini, na kama hapana ni kwa nini?
- Je, ulawiti unapaswa kuwa haki ya baadhi ya binadamu? Kama ndiyo ni kwa nini, na kama hapana ni kwa nini?
- Je, usagaji unapaswa kuwa haki ya baadhi ya binadamu? Kama ndiyo ni kwa nini, na kama hapana ni kwa nini?
- Je, inawezekana kutenganisha hali ya ushoga na tabia ya ulawiti/usagaji? na
- Je, inawezekana kuitenganisha jumuiya ya mashoga na tabia ya ulawiti/usagaji?
Haki nyingi za binadamu zinaweza kugawanyika kwenye makundi manne yafuatayo:
Nafafanua haki moja baada ya nyingine kama ifuatavyo:
- Haki ya “madai chanya” (positive claim right),
- Haki ya “madai hasi” (negative claim right),
- Haki ya “uhuru chanya” (positive liberty right) na
- Haki ya “uhuru hasi” (negative liberty right).
Majumuisho ni kwamba, kila haki ya binadamu inaongelea mambo sita, yaani:
- Haki ya “madai chanya” (positive claim right) ni madai aliyo nayo mtu mmoja (U) dhidi ya mtu wa pili (V), ambapo mtu wa pili anakuwa na wajibu wa kufanya kitendo fulani (W), kwa ajili ya kumwezesha mtu wa kwanza kunufaika na tunu fulani iliyo stahiki yake (X), kwa sababu ya uwepo wa kanuni ya kimaadili (Y) au kanuni ya kisheria (Z).
- Haki ya “madai hasi” (negative claim right) ni madai aliyo nayo mtu mmoja (U) dhidi ya mtu wa pili (V), ambapo mtu wa pili anakuwa na wajibu wa kujizuia kufanya kitendo fulani (W), kwa ajili ya kumruhusu mtu wa kwanza awe huru kunufaika na tunu fulani iliyo stahiki yake (X), kwa sababu ya uwepo wa kanuni ya kimaadili (Y) au kanuni ya kisheria (Z).
- Haki ya “uhuru chanya” (positive liberty right) ni madai aliyo nayo mtu mmoja (U) dhidi ya mtu wa pili (V), ambapo mtu wa pili anakuwa na wajibu wa kuacha kuingilia hiari ya mtu wa kwanza kufanya kitendo fulani (W), kwa ajili ya kujiwezesha kunufaika na tunu fulani iliyo stahiki yake (X) kwa njia hiyo, kwa sababu ya kutokuwepo kwa kanuni ya kimaadili (Y) au kanuni ya kisheria (Z) inayomzuia kufanya kitendo hicho.
- Haki ya “uhuru hasi” (negative liberty right) ni madai aliyo nayo mtu mmoja (U) dhidi ya mtu wa pili (V), ambapo mtu wa pili anakuwa na wajibu wa kuacha kuingilia hiari ya mtu wa kwanza kuacha kufanya kitendo fulani (W), kwa ajili ya kujiwezesha kunufaika na tunu fulani iliyo stahiki yake (X) kwa njia hiyo, kwa sababu ya kutokuwepo kwa kanuni ya kimaadili (Y) au kanuni ya kisheria (Z) inayomlazimisha kufanya kitendo hicho.
Hivyo, haki za binadamu zinahusisha:
- Mleta madai (U),
- Mbeba wajibu (V),
- KItendo kinachopaswa kufanyika au kutofanyika (W),
- Tunu inayohuishwa na kitendo husika (X),
- Kanuni ya kimaadili inayohalalisha/kuzuia madai husika (Y), na
- Kanuni ya kisheria inayohalalisha/kuzuia madai husika (Z)
Katika mjadala wetu, matendo matatu makuu yanahusika, yaani utombanaji, ulawiti na usagaji.
- Ama matendo yote ya binadamu ambayo yanapaswa kutekelezwa kwa mujibu wa matakwa ya kanuni fulani ya kimaadili na/au kisheria; au
- Ama matendo yote ya binadamu ambayo yanaweza kutekelezwa kwa sababu hakuna kanuni yoyote ya kimaadili na/au kisheria inayoyakataza.
JE, UTOMBANAJI UNAPASWA KUWA HAKI YA BAADHI YA BINADAMU? KAMA NDIYO NI KWA NINI, NA KAMA HAPANA NI KWA NINI?
Jawabu la sheria ya maadili asilia ni ndiyo, na sababu zake ni hizi:
JE, ULAWITI UNAPASWA KUWA HAKI YA BAADHI YA BINADAMU? KAMA NDIYO NI KWA NINI, NA KAMA HAPANA NI KWA NINI?
- Mleta madai (U): Mwanamke mtu mzima anayetaka kutombwa kwa sababu ya maelekeo ya nyege yanayoilenga jinsia ya kiume (androphilic sexual orientation)
- Mbeba wajibu (V): Mwanamume mtu mzima aliyeridhia kufanya kazi ya kutomba kwa sababu ya maelekeo ya nyege yanayoilenga jinsia ya kike (gynophilic sexual orientation)
- Kitendo kinachopaswa kufanyika au kutofanyika (W): Kitendo cha utombaji, yaani kuingiza uume uliodisa katika uke na kufikicha hadi uume unapolegea baada ya mwanamume na/au mwanamke kupata mshindo.
- Tunu inayohuishwa na kitendo husika (X): Urafiki wa kijinsia (sexual friendship), Utulivu wa nafsi (self-integration), na uzazi (procreation) unaoweza kutokea.
- Kanuni ya maadili asilia inayohalalisha madai husika (Y): Kanuni ya maadili asilia inayotutaka kufukuzia tunu chanya na kuepuka tunu hasi.
- Kanuni ya kisheria inayozuia madai husika (Z): Hakuna sheria inazuia.
Jawabu la sheria ya maadili asilia ni ndiyo, na sababu zake ni hizi:
- Mleta madai (U): Mwanamume mtu mzima anayetaka kulawitiwa kwa sababu ya maelekeo ya nyege yanayoilenga jinsia ya kiume (androphilic sexual orientation)
- Mbeba wajibu (V): Mwanamume mtu mzima aliyeridhia kufanya kazi ya ulawiti kwa sababu ya maelekeo ya nyege yanayoilenga jinsia ya kiume (androphilic sexual orientation)
- Kitendo kinachopaswa kufanyika au kutofanyika (W): Kitendo cha ulawiti, yaani kuingiza uume uliodisa katika pura na kufikicha hadi uume unapolegea baada ya mwanamume na/au mwanamke kupata mshindo.
- Tunu inayohuishwa na kitendo husika (X): Urafiki wa kijinsia (sexual friendship), Utulivu wa nafsi (self-integration)
- Kanuni ya maadili asilia inayohalalisha madai husika (Y): Kanuni ya maadili asilia inayotutaka kufukuzia tunu chanya na kuepuka tunu hasi.
- Kanuni ya kisheria inayozuia madai husika (Z): Baadhi ya nchi, kama Tanzania, zina sheria inazuia.
JE, USAGAJI UNAPASWA KUWA HAKI YA BAADHI YA BINADAMU? KAMA NDIYO NI KWA NINI, NA KAMA HAPANA NI KWA NINI?
Jawabu la sheria ya maadili asilia ni ndiyo, na sababu zake ni hizi:
- Mleta madai (U): Mwanamke mtu mzima aliyeridhia kusagwa kwa sababu ya maelekeo ya nyege yanayoilenga jinsia ya kike(gynophilic sexual orientation)
- Mbeba wajibu (V): Mwanamke mtu mzima aliyeridhia kufanya kazi ya usagaji kwa sababu ya maelekeo ya nyege yanayoilenga jinsia ya kike (gynophilic sexual orientation)
- Kitendo kinachopaswa kufanyika au kutofanyika (W): Kitendo cha usagaji, yaani kugusanisha uke na kusugua hadi mwanamke msgaji anapopata mshindo.
- Tunu inayohuishwa na kitendo husika (X): Urafiki wa kijinsia (sexual friendship), Utulivu wa nafsi (self-integration)
- Kanuni ya maadili asilia inayohalalisha (Y): Kanuni ya maadili asilia inayotutaka kufukuzia tunu chanya na kuepuka tunu hasi.
- Kanuni ya kisheria inayozuia madai husika (Z): Baadhi ya nchi, kama Tanzania, zina sheria inazuia.
JE, INAWEZEKANA KUMTENGANISHA HALI YA USHOGA NA TABIA YA ULAWITI/USAGAJI?
Jawabu ni ndio. Kuna tofauti kati ya maelekeo ya nyege na maamuzi ya mhusika. Kama ambavyo inawezekana kutenganisha uanaume na utombaji, au kutenganisha uanauke na utombwaji, pia inawezekana kutenganisha hali ya ushoga na tabia ya ulawiti/usagaji.
JE, INAWEZEKANA KUITENGANISHA JUMUIYA YA MASHOGA NA TABIA YA ULAWITI?
Jawabu ni ndio. Lakini maneno “jumuiya ya mashoga” yana utata. Inategemea mashoga wameunda jumuiya kwa ajili ya malengo gani.
Yanaweza kuwa malengo ya kiuchumi, kielimu, kitabibu, kimichezo, na kadhalika. Lakini, kama ambavyo inawezekana kutenganisha uanaume na utombaji, au kutenganisha uanauke na utombwaji, pia inawezekana kutenganisha hali ya ushoga na tabia ya ulawiti/usagaji.
HITIMISHO
Katika dunia yote wanaume wenye maelekeo ya nyege zinazowaelekea kwa wanawake na wanawake wenye maelekeo ya nyege zinazowaelekea kwa wanaume ni 98%.
Mashoga wa kike na kiume, mahunta, maandrojini, mahanithi, na watu baki wanabeba 2% pekee.
Mbali na haki za kingono zinazobisganiwa, wanazo haki zote baki za kibinadamu. Wanayo haki ya kuishi, kusafiri, na kadhalika.
Kwa hiyo, mkakati wa kutengeneza unyanyapaa dhidi yao kama ambavyo nimeona mleta uzi anafanya haukubalika kwa watu makini.
Tunapaswa kujadili hoja zote vila kusigina heshima ya utu wa kibinadamu waliyo nayo watu ambao sio wanaume wala wanawake.
Wako wengi. Mfano, Rostam Aziz akivaa gauni, Tonny Blair akivaa gauni, na wengine wengi tutawasahau. They are androgenous. Lakini wapo na maisha yao yanaendelea kila mtu kivyake.
Bro, you've nailed the structure, and your analysis is brilliant—lakini let me come in with a different lens. Si kwa kupinga, bali kwa kupanua scope ya mjadala. Kwa sababu kama tunajadili haki za binadamu (human rights), hatuwezi kuzielewa fully bila kuangalia the social cost of individual conduct—especially when that conduct becomes public ideology or social policy.
Ni kweli kwamba mtu mzima anaweza kuchagua chochote anachotaka kufanya na mwili wake. Lakini swali kuu ni hili: Je, kila chaguo binafsi linapopewa uhalali wa kijamii (i.e. normalized), halina impact kwa jamii nzima?
Tuko katika dunia ambayo kila kitu kinawekwa chini ya mwavuli wa “right” – sexual rights, expression rights, identity rights. Lakini what we don’t ask enough is: rights to what end? Na zaidi ya hapo: when do rights start to dismantle the very society that protects them?
Haki bila maadili ni kama gari bila breki. You might go fast, but you’re heading straight into a wall.
Kama jamii, hatuwezi ku-delegate future yetu kwa “free expression” tu. Kwa sababu tunaposema “this is someone’s right,” especially in matters of sexuality and gender identity, tunaanza kujenga kizazi ambacho kinaambiwa kwamba everything is fluid, everything is valid, everything is okay—and that confusion is being institutionalized.
Let’s break it down kidogo. Imagine mtoto wa miaka 10 akiwa exposed kwa lugha kama: “unaweza ukawa chochote unachojisikia kuwa leo.” Si kosa la mtoto, ni kosa la mfumo unaochanganya developmental curiosity na permanent identity branding. Tunaandika future ya watu kwenye msingi wa “feelings.” Hilo ni tatizo.
Mimi siamini kwamba respecting human dignity lazima ieleweke kama kuruhusu kila tabia kufanywa haki. Unaweza uka-respect mtu na uka-critique conduct yake at the same time. That’s maturity. Kinyume chake ni emotional blackmail: ukisema hiki si sawa kijamii, unaitwa transphobic, homophobic, backwards, na kila jina linalomaliza hoja bila kujenga. But truth is, some ideas need pushback.
Let’s be honest: si kila kilicho private kinapaswa kuwa public. Na si kila kinachokubalika na watu wawili kwa hiari yao kinafaa kupewa societal legitimacy. Consent is necessary—but not always sufficient—for public endorsement.
We need a moral compass that goes beyond individual desire. A framework that asks: What are the ripple effects? What are we teaching children? What kind of society are we shaping?
Kwa hiyo, naamini haki ni msingi, lakini maadili ndio jengo. Haki bila maadili hutoa watu waliowekewa kinga ya kisheria kutenda maovu ya kijamii. Na kama hatutaweka ethical boundaries, tutafika mahali ambapo jamii haijui tena kusema “hapana.”
Mimi na-respect mashoga, wasagaji, trans, and anyone else who's different. Wana utu wao, and they deserve protection against violence, ridicule, or exclusion. Lakini hiyo respect haimaanishi tuwapatie cultural dominance ya kila aina ya expression yao bila kuhoji where it's taking us as a society.
Bottom line: Not every right is righteous. And not every choice, even if consensual, deserves cultural blessing.
So yes, tuendelee kuheshimu binadamu, lakini tusiache kuuliza: Are we building a generation or are we just celebrating fragmentation?
Ndugu
Umeniita homophobic—lakini kwa mtu atakayesoma between the lines, ataona wazi kuwa hoja yangu inatokana na nia njema, si chuki. Nia ya kuona kama kweli kundi hili linawezaje kujijenga na kuingizwa kwenye jamii kwa namna yenye kujenga, si kubomoa.
Kama mnavyolalamika leo kuwa "society is rejecting us", subirini pale hali itakapokuwa mbaya—hamtarejea tu kwenye closet, mtarejeshwa kwenye magereza na makaburi.
Kwa sasa, nauliza kwa dhati:
Mashoga wakipewa haki leo, wana nini cha ku-offer kwenye jamii yetu zaidi ya opulence (mafanikio yasiyo na dhamira) na hedonism (maisha ya kutafuta raha za mwilini)?
Ukiangalia mlolongo wa michango hapa jamvini, jamii mnayoitaka iwape heshima haioni mchango wenu zaidi ya mwelekeo wa kingono.
Kiufupi: you are defined by your sexuality and nothing else.
Sasa nilikuingiza kwenye 18 makusudi kupima uwezo wako wa kiakiliSasa ndo umejileta kumbe ww n kiazi kiasi hiki?
Makristo makafiri vitu wanavoongoza Dunia
1. Ushoga
2. Genocide
3. Waanzilishi wakubwa WA vita zote popote pale Duniani
4. Unafiki
5. Ushirikina na uchawi
6. Makatili
7. Roho mbaya na chuki
Kwa faida ya hadhira pana na-summarize hiyo pdf as follows:Kimsingi nimeelewa point yako. Prof John Finnis amesema vizuri fikra zako. Naweka hapa makala yake husika. Abstract yake iko hivi:
======ABSTRACT=====
During the past thirty years there has emerged in the world a standard form of legal regulation of sexual conduct.
The standard has two limbs.
On the one hand, the state is not authorized to, and does not, make it a punishable offence for adult consenting persons to engage, in private, in immoral sexual acts (for example, homosexual acts).
On the other hand, states do have the authority to discourage, say, homosexual conduct and "orientation" (i.e. overtly manifested active willingness to engage in homosexual conduct).
And typically, though not universally, they do so.
That is to say, they maintain various criminal and administrative laws and policies which have as part of their purpose the discouraging of such conduct.
Many of these laws, regulations, and policies discriminate (i.e. distinguish) between heterosexual and homosexual conduct adversely to the latter.
=================
Nimesema ukweli na sio kwa chuki, tatizo unaangalia the present mimi nakuelezea the possible futureNaona umekataa kuitww Homophobic and yet hiyo aya ya mwisho umejidhihirisha kabisa wewe ni Homophobic,
Toa butt plug inakufanya usifikiri vemaSasa nilikuingiza kwenye 18 makusudi kupima uwezo wako wa kiakili
Manaswali na majini na kuwa nao msikitini nyinyi na rafiki wazuri sana na shetani. Unafiki ni asili yenu. Tulia mkuu usiingie uko na yule kahaba muddy. Utachekwa tulia .