Mashtaka dhidi ya Kampuni za Mawasiliano yanawezekana

Tukikwambia utupe ushahidi wa haya unayo sema unao ?

Lakini,pili kukosa kazi kuna sababu nyingi,yawezekana alichelewa muda kidogo katika kutoka taarifa kulingana na jambo husika,likampelekea akakosa kazi husika.

Almuhimu kuhoji kwa "logic" huacha mambo mengi sana,na kuchukua yale tu ambayo akili inakubaliana nayo,kuna mambo mengi sana akili inakataa ila yana ukweli tupu.
 
Kuacha kazi ya milioni 200 kwa kuogopa deni la shs.500/= ambalo angeweza kufidiwa baadae kama hivi ni mediocre na ni kuitukana mahakama, kwamba mahakama haina kazi za kufanya.
Hivi umejiuliza hiyo kazi ilikuwa katika mazingira gani na imekuwaje mpaka ametoka kifua mbele kudai fidia na hao walio mpa hiyo fidia wajinga,kwamba ilimradi tu ?

Tukikupa kazi ya wewe kusimamia jambo hilo na ukamfanya anae dai fidia asilipwe unaweza kufanya hivyo ?
 
Nani amekwambia kukopa ni lazima ? Kwa sheria gani ?
 
Mbona rahisi tu ku justifies....

Iko hivi unapokua na salio kwenye simu huwazi kukopa tena wakati salio lipo

So Mwana anasimamia tu kuwa aliendelea kujiunga kwa takribani dk 10 to 20 akijua salio lipo hadi alipostuka kuwa hana salio na limekatwa kimakosa baada ya muda kupita na yeye kukosa deals zake at the same time !
 
Sio Kwamba Jamaa amelipwa yote m.200 Bali amelipwa kile Kile ambacho TCRA walimpa toka Awali.
 
Sijajua ni kazi gani, tuseme mfano ni ajira ya muda mrefu ambayo akiipata ndo mshahara wa utumishi wake ndo ungeleta hiyo 200M hadi kustaafu!
We bwana

Kazi si lazima ya kuajiriwa

Hata tenda ni kazi

Hata dili la biashara au mkataba wa uwekezaji ni kazi
 
Nachokiona mwamba angekamua hio 1.5M ya TCRA kiishe
Sio mbaya. Kuna potential ya kupiga mpunga mrefu kama ana wakili mzuri. Ila hata hivyo rufaa ikikataliwa ina maana hukumu ya mwanzo ndio itasimama so bado hiyo 1.5M ipo tu.
 
Huyu jamaa atashinda,ikiwa kuna mahali tigo walikili kwamba ni kweli walikata fedha zake kimakosa.Ila itabidi atunze ushaidi wake wote.

Atavuta Mpunga ikowa jamaa atathibitisha kuwa na biashara ya kuingiza kiwango hicho cha fedha.ila kama wewe ni mlala hoi hupati hata mia.mfano wombe benk statement kujiridhisha kwamba huyo jamaa ni mfanyabiashara wa level kubwa.

Why asilipwe?

Nadhani hii itakuwa fundisho kwa huu wizi wanaofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…