Mashujaa 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Lake Tanganyika | 1 November, 2024

Hii SIMBA itatuaa Pumbav
Dah mzee acha tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kiti hakikaliki mwili una vibrate tu dakika 90.[emoji23][emoji23][emoji23] hata kvant unapiga kavu ni kama.husikii kitu
 
Mjumbe na kijumbe wote hoi.Kapigwa punda wa Mashujaa analia punda wa Jangwani.
 
Timu pinzani zinatakiwa zifahamu yule refa wa kati Mdoe wa Tanga ni refa wa Simba wa mechi za ki mkakati za mikoani.
Alifanya hivyo na Dodoma JiJi Leo na Mashujaa.

Na Kuna mdau uku mitandaoni kabla ya Simba kucheza na JKT mechi iliyo Hairishwa alisema, Mashujaa wajiandae watakutana na Simba inayo chezeahwa na Mdoe ni Ngumu kuchomoka.

Na kweli baadae ikafahamika Refa wa Simba na Mashujaa ni Mdoe.
Simba wamejipanga na refa wao wa mfukoni.
 
huyu sasa ndo refa wakuchezesha derby ile ya kariakoo,siyo kale kanyoko fc
Mechi imechezeshwa fair kabisa hakuna sehemu ambayo unaweza ku doubt maamuzi ya refa.

Japo faulo zilikuwa nyingi refa ametoa kadi moja tu ya njano. Hilo pekee ndio naweza kuona dosari.

Lakini dosari hiyo haiendi kwenye kuchafua uhalali wa goli.

Goli limefungwa katika mazingira ambayo hakuna faulo wala mgusano wowote ambao unaweza kuwapa watu cha kuongea kusema Simba imebebwa.

Goli ni safi kama tishu

Nawakumbusha ndugu zangu wa Gongowazi, Mukwala mechi yake ya 4 hii na dakika alizocheza kwa ujumla hazifiki 150 lakini ana bao 2 na assist 2.

Mpumelelo kacheza mechi zote na kamaliza dakika zote kama mshale wa saa.

Yani kiufupi kuanzia mwezi wa 5 mpaka leo tarehe 1 maana yake siku chache za nyuma zilikuwa ni siku za mshahara

Mpumelelo amekuwa akichukua mshahara ambao hajawahi kuufanyia kazi na bado eti ikitajwa list ya wahujumu uchumi yeye hayumo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…