Mashujaa inaenda kumfunga Yanga

Hapa usipoelewa lipia Ada dogo
Signing a coach"
Dogo kununua ni kuthaminisha kitu na pesa
Coach hakimbii timu kama house girl
Utaratibu wa kuvunja mkataba ndo kununua
Usiogope terminology ya kuuza na kununua
 
Si tumekubaliana kila mtu ashinde mechi zake nyie endeleeni kununua marefa.
 
Signing a coach"
Dogo kununua ni kuthaminisha kitu na pesa
Coach hakimbii timu kama house girl
Utaratibu wa kuvunja mkataba ndo kununua
Usiogope terminology ya kuuza na kununua
Haipo hiyo kukuuza kocha kama ulivyo andika. Huu ujinga hapa chini
 

Attachments

  • IMG_6178.png
    187.9 KB · Views: 1
Mpanzu alikua na mpira ndani ya 18, sixibat mlingo akamsukuma akiwa nyuma,mpanzu akaanguka Unasemaje sio penalty ?
Hamna kakideo ka kusindikizia....ulimwengu huu bado unabishana kama vile unasimulia muvi ya Jack Chan
 
Nothing
 
Kwa hiyo Simba wakipata penati Refa apete tu kwa kuwa Simba inapata sana Penati?Kwa hiyo ikitokea na kwenye kona je,mtasema Simba wanaopata sana kona? Mbona hata ile mechi yenu mlisababsha penati nyingi tu?.Hakika mlifurahi sana Kayoko alivyopeta zile penati zote tatu za Simba?.
 
Minjingu kazini
 
Tusije tukasikia mnabweka tena hapa matokeo yakienda tofauti, Mpira Unachezwa uwanjani na sio midomoni dk 90 ndizo zitaamua na sio vinginevyo!
 
Haya tumekusikia. Tuma salamu kwa watu watatu. 🎤
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…