Masikini alivyokuwa anampamba Samia, leo kamtoa kweli? Ummy Afya at least alimudu by over 90% Kizuri hakikosi kasoro

Fine, ngoja tuone kama huyu toto afya atairudisha.....and other shortfalls associated with Ummy......think deep
 
Wewe ni mjinga. Kwa hiyo kazi ya waziri ni kumpambania Samia na si kupambania nchi na Wananchi.
Sasa matusi ya nini? kama huwezi kujibu hoja, skip and forge to another thread of your interest!
All in all, fine! pata ushahidi kama mimi mjinga, Muulize mama yako kama mimi ni mjinga, muulize hivi Retired eti ni mjinga? Ningelikuwa mjinga usingelipatikana
 
Ukipewa nafasi ya kuwa chawa piga pesa tembea kazi za kuteuliwa ni muda wowote kinawaka ukuu wa mkoa wilaya na uwaziri
Wewe ni mtu mpumbafu, mjinga, hujielewi na mbinafsi aliyekubuhu. Nani alikwambia pesa za wizi zinadumu? Akina Nepi & February wameziiba ngapi kwenye uwaziri wa mbona hawaridhiki? Wakitolewa tu muda mfupi wanafaiti warejeshewe? Pesa ya wizi Haina uhuru na haimfanikishi mtu
 
Hiyo bima ya wote wahusika hawaitaki.

Bima kwa wote huo ni mchongo wa upigaji tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…