Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Mkuu uko wapi kwani? Kuna sura gani pale? Mwanamke ana mdomo kama mfuko wa meno?Ummy hakua compitent sema sura yake ilimbeba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu uko wapi kwani? Kuna sura gani pale? Mwanamke ana mdomo kama mfuko wa meno?Ummy hakua compitent sema sura yake ilimbeba
Kaharibu sana ishu ya BIMA za Afya, kaleta majanga tuUmmy Mwalimu alikuwa anampamba kweli Samia, leo kamtoa! kwangu mimi Ummy alimudu by 90% afya. Kizuri hakikosi kasoro!
Very loyalHivi Jenista ana nn cha maana?
Fine, ngoja tuone kama huyu toto afya atairudisha.....and other shortfalls associated with Ummy......think deeptueleze maeneo ambayo alifanya vizuri.
kipindi cha ummy ni kipindi ambacho tumeons mengi ya hovyo.
BIMA ya afya kwa watu wote hilo ndo eneo muhimu ktk wizara ya afya linabeba 100% ya human being .
sasa kama alishindwa eneo hili ni kitu gani tena.
co function za wizara ni AFYA ie matibabu.
hapa alifeli mno
Wewe ni mjinga. Kwa hiyo kazi ya waziri ni kumpambania Samia na si kupambania nchi na Wananchi.Ummy Mwalimu alikuwa anampamba kweli Samia, leo kamtoa! kwangu mimi Ummy alimudu by 90% afya. Kizuri hakikosi kasoro!
Sasa matusi ya nini? kama huwezi kujibu hoja, skip and forge to another thread of your interest!Wewe ni mjinga. Kwa hiyo kazi ya waziri ni kumpambania Samia na si kupambania nchi na Wananchi.
Kwa Samia vyote uchawa na kutenda kazi vinahitajka. Ummy alitimiza vyote. Uchawa kwa kwenda mbele and secondly she delivered to people's expectations!Wanashindwa kuwlewa is not about uchawa is how you perform
Hakuna kumpamba. Ummi i feli sana bima ya afya.. Ndio maana hata mkurugenzi wa NHIF nae kapigwa chini.Ummy Mwalimu alikuwa anampamba kweli Samia, leo kamtoa! kwangu mimi Ummy alimudu by 90% afya. Kizuri hakikosi kasoro!
Wewe ni mtu mpumbafu, mjinga, hujielewi na mbinafsi aliyekubuhu. Nani alikwambia pesa za wizi zinadumu? Akina Nepi & February wameziiba ngapi kwenye uwaziri wa mbona hawaridhiki? Wakitolewa tu muda mfupi wanafaiti warejeshewe? Pesa ya wizi Haina uhuru na haimfanikishi mtuUkipewa nafasi ya kuwa chawa piga pesa tembea kazi za kuteuliwa ni muda wowote kinawaka ukuu wa mkoa wilaya na uwaziri
Kilichomtoa sakata la bimaUmmy Mwalimu alikuwa anampamba kweli Samia, leo kamtoa! kwangu mimi Ummy alimudu by 90% afya. Kizuri hakikosi kasoro!
Ni kweli arudi ssa maana kajisahau , barabara mbovu kinoma.Ummy na akomae jimboni kwake sasa, jimbo limelala mno yaani uswahili mwingi tu...
Hiyo bima ya wote wahusika hawaitaki.-Kuboreshwa miundombinu ya Afya
-Kuboreshwa vifaa tiba na dawa
-Maelfu ya Ajira
-Kuoungua Kwa Vifo vya Watoto Wachanga na wamama wajawazito
-Ameasisi kupatikana Kwa sera ya bima ya Afya Kwa wote
-Rufaa za Wagonjwa kwenda Nje ya Nchi ni kama hazipo kabisa badala yake wageni ndio wanakuja
-Kuimarika Kwa Huduma tiba za kibobezi ikiwemo Baadhi ya vifaa tiba ,madawa kuzalishwa na hospital zetu
-Bohari ya Taifa ya Dawa kupata soko Sadc yote.
Mwisho Changamoto kubwa imekuwa ni Bima ya Afya na sababu ni yule Mama wa Bidi Spika Mstaafu,hakuna kitu pale.
Sio barabara tu yaani sehemu nyingi hakuna jipya... halafu hawa pia wanaponzwa na machawa wao kusifia ujinga na hakuna kazi za maana zinafanyikaNi kweli arudi ssa maana kajisahau , barabara mbovu kinoma.
Fine, ngoja tuoe hawa watafanya nini kuhusu bima ya afya!Hakuna kumpamba. Ummi i feli sana bima ya afya.. Ndio maana hata mkurugenzi wa NHIF nae kapigwa chini.
Hongera sana mama. Wananchi tuna teseka na NHIF
Ukipewa nafasi ya kuwa chawa piga pesa tembea kazi za kuteuliwa ni muda wowote kinawaka ukuu wa mkoa wilaya na uwaziri