Masikini alivyokuwa anampamba Samia, leo kamtoa kweli? Ummy Afya at least alimudu by over 90% Kizuri hakikosi kasoro

Masikini alivyokuwa anampamba Samia, leo kamtoa kweli? Ummy Afya at least alimudu by over 90% Kizuri hakikosi kasoro

Nyinyi mkimuona mtu kwenye kamera mara kwa mara mnahisi ndio anafanya kazi...

Aliimudu vp lete facts?
It is not an issue of camera showoff, ni standard za utendaji za 99.999% za watumishi was serikali, she was and she is not below that gauge!
 
Ummy Mwalimu alikuwa anampamba kweli Samia, leo kamtoa! kwangu mimi Ummy alimudu by 90% afya. Kizuri hakikosi kasoro!
Alikuwa anampamba mbele ya camera tu, alishanaswa anamsema. Usifikiri raisi alikua hajui yote hayo anajua wanaompamba mbele ya camera na wanaomponda nyuma ya camera

Umeona pia kuwa uchawa sio mbaya inategemea tu na unafanya kwa nani, una tabia ya kuponda wengine na kutumia lugha kali wakati wewe mwenyewe unafanya hiyo kazi ya uchawa kwa unaowapenda
 
Ummy Mwalimu alikuwa anampamba kweli Samia, leo kamtoa! kwangu mimi Ummy alimudu by 90% afya. Kizuri hakikosi kasoro!
Kuna mambo mengi Wizara ya afya yalimshinda tuwe wakweli bhana.

Mabando ya bima ya afya ya umma vipi?
 
Back
Top Bottom