Utapanga hadi lini??Nimepanga
Bado mtoto anakula pesa za boom,Nimesoma post yako nimegundua wewe bado ni mtoto mdogo, yani kula kulala.
Hata me kipindi naishi kwa dingi niliamini kama hivyo uaminivyo, ila nilipo kua, kuoa na kubarikiwa watoto, mawazo hayo sina tena.
Dogo hakuna kitu cha kinyonge kama kudaiwa kodi
Na unapokua na Nyumba yako, hatakama unakula ugali na mchicha kila siku, lakini unakua huna pressure za hapa na pale.
Kua kwanza ujitegemee utayajua haya.
Kuwasomesha.. unless hiyo nyumba inaweza kuwapatia angalau laki tano kwa mwezi... ila kama ni hizi nyumba za laki 2 kwa mwezi bora kuwasomesha iwe kipaumbeleKusomesha watoto Vs kuwajengea nyuma. Kipi bora zaidi ikuwa umekufa?
Daah unajua mimi naamini sana kwenye kujipnga na kutengeneza miundo mbinu mizuri ya kiuchumi! Mtu mwenye miundo mbinu ya kiuchumi kodi sio issue kwake! Lakini kama kipato ni cha msimu na hakina uhakika ni bora kujenga!Kuwasomesha.. unless hiyo nyumba inaweza kuwapatia angalau laki tano kwa mwezi... ila kama ni hizi nyumba za laki 2 kwa mwezi bora kuwasomesha iwe kipaumbele
Tujenge,hakuna kitu kizuri kuishi kwenye empire yako uliyoijenga wewe,unakuwa huru zaidiUnaponda walio jenga wakati huo unaishi kwenye nyumba iliyo jengwa na wanaume wenzio hivi una akili kweli?
Kama kujenga hakuna maana mbona hujaenda kuishi juu ya mti?
Kila mtu akijenga waliojenga nyumba za kupanga watazifanyia nini?Unaponda walio jenga wakati huo unaishi kwenye nyumba iliyo jengwa na wanaume wenzio hivi una akili kweli?
Kama kujenga hakuna maana mbona hujaenda kuishi juu ya mti?
Kwani wote wanaokula nyama ni wafugaji?Wanaoponda kujenga mbona hatuwaoni kuishi chini ya miti au mapangoni, tunaona wamepanga au wapo home na hizo nyumba nawao wasingeJenga Kama wao wanaosema kujenga ni uoga wa maisha wangekaa mapangoni labda.
Ukitaka kuona Umuhimu wa Kujenga, Kufa alafu uache watoto wako 3 ama 4 kwenye nyumba ya Kupanga.
Tufanyeni kwa vitendo saaasa. Mm nimenunua eneo huko kigamboni juzi tu. Maeneo kibao huko mwasonga wakuuKuwa na nyumba yako ni jambo la msingi sana maishani kwako na kizazi chako.
Unaongea kauli hii wakati umeajiriwa au umejiajir tuanzie hapo kwanzKujenga ni kufukia hela
Hakika mkuu. Maskini/watu maisha ya chini tunahangaika na kujenga au kuvaa vitu vya gharama afu hatuna hela zinazozunguka na kutujengea financial freedomMtu unajibana wee Ili ujenge nyumba ya kuishi, ukimaliza unaanza kuishi kwenye hiyo nyumba kwa tabu nyingi. Ingekuwa na maana kama kungekuwa na maisha bila kifo, umasikini uliouchochea kwa kujenga ungepambana nao kwa kuwa muda upo tu. Kama we masikini pambana uweze kipato cha uhakika ambacho ndio kitawezesha mengine ikiwamo ujenzi.
Vyote ni muhimu ila kama ni Elimu ya Advance Bora kuwajengea pa kuishi,Kusomesha watoto Vs kuwajengea nyuma. Kipi bora zaidi ikuwa umekufa?