Ni muhimu sana kujenga.point
Utaona umuhimu kupitia waliokutangulia kufa.
Kuna msiba nimehudhuria juzi, mke wa marehemu analia kuachwa na watoto 3 alafu Marehemu alikuwa hajajenga, walikuwa wanaishi kota za Serikali.
Maana anajua baada ya mazishi ya mumewe atatakiwa yeye na watoto watoke kwenye hizo kota na wakaanze maisha ya kupanga.
Kama utapata nafuu jenga mapema kuepusha usumbufu kwa wategemezi wetu
Kwa maana familia nyingi tunaonza kufa huwa ni Sisi akina Baba [emoji22]
Shida analeta mambo ya ki bongo movie kwenye maisha halisi ,hakuna mtu anayejielewa hata hao anaowasema wafanya biashara wanarelax kwenye nyumba za watu hasa mji kama dar es salaam
Hiyo umechukulia kwenye upande mmoja.Mawazo ya kimaskini kabisa haya, hizo nyumba zinapigwa bei ili watoto wapate mitaji wafanye mambo yao.
Huu ni mtazamo hasi tena wa kimasikini.Mtu unajibana wee Ili ujenge nyumba ya kuishi, ukimaliza unaanza kuishi kwenye hiyo nyumba kwa tabu nyingi. Ingekuwa na maana kama kungekuwa na maisha bila kifo, umasikini uliouchochea kwa kujenga ungepambana nao kwa kuwa muda upo tu. Kama we masikini pambana uweze kipato cha uhakika ambacho ndio kitawezesha mengine ikiwamo ujenzi.
Na ndio maana kwa watumishi wengi wanaona bora ukope ujenge ilii majanga kama haya yakitokea wategemezi wasidhalilike sio hivyo tu kuna kufukuzwa kazi ,kuumwa mda mrefu n.k ukiwa kwenye upangaji ni mateso mkubwaNi muhimu sana kujenga.
Me nakumbuka msoto tulioupitia baada ya Mzee kufariki hivyo kutakiwa kuondoka kwenye kota za Serikali tulizokuwa tukiishi.
Bi mkubwa alichanganyikiwa sana maana familia ilikuwa kubwa na Mzee hakuwa amejenga hadi anapatwa na umauti
Hata kama itatokea wakauza hizo nyumba lakini watabakiza za wao kuishi.Unachokisema ni sawa na mtu kusema unaweza kuacha nyumba na mali zingine ili ziwasaidie lakini wakauza na kuanza maisha ya kupanga.
Sahihi MkuuNa ndio maana kwa watumishi wengi wanaona bora ukope ujenge ilii majanga kama haya yakitokea wategemezi wasidhalilike sio hivyo tu kuna kufukuzwa kazi ,kuumwa mda mrefu n.k ukiwa kwenye upangaji ni mateso mkubwa
Ni sahihi Mkuu lakini biashara hufirisika na kuisha wakati nyumba ni asset inaweza kuja kuwatunza wakati biashara zimeshindwa kuzalisha faidaUkumuelewa nilivyo muelewa nikwamba bora kuimalisha uchumi kwanza kisha mengine yatafuata tena kwa wepesi,mfano mama rishi au muuza nyaya au mbeba mizigo anajibana kwa ajili ya kujenga nyumba badala ajibane kupanua wigo wa kazi yake mfano mama rishe kutwa anaungua moto bora ajibane abadilishe kazi kisha atajenga kuliko kujenga na kuhamia huku ukiendela kubeba mizigo mabibo
Tunajifunza kupitia mifano.Hii kauli dah[emoji3][emoji3]
Sasa nikishakufa nitawaonaje tena hao watoto
Wewe kumbe unazungumzia nyumba ya biashara! Hapo sawa!Hata kama itatokea wakauza hizo nyumba lakini watabakiza za wao kuishi.
Binafsi sitapenda Watoto wangu wasumbuke nyumba ya kuishi ama chakula wakati nina nafasi ya kuwajengea nikiwa hai.
Hela ya kula watapata kwenye kodi kwenye nyumba ya wapangaji.
Nyumba ya kuishi sio asset kaka! Nyumba ya biashara ndo asset! Sasa kama maisha yakikushinda utauza nyumba yako unayokaa hapo tayari ushafeli!Ni sahihi Mkuu lakini biashara hufirisika na kuisha wakati nyumba ni asset inaweza kuja kuwatunza wakati biashara zimeshindwa kuzalisha faida
Zote muhimu, ya kuishi familia then ya biashara.Wewe kumbe unazungumzia nyumba ya biashara! Hapo sawa!
Sio asset kivipi Mkuu?Nyumba ya kuishi sio asset kaka! Nyumba ya biashara ndo asset! Sasa kama maisha yakikushinda utauza nyumba yako unayokaa hapo tayari ushafeli!
Kama watoto hauna je?Zote muhimu, ya kuishi familia then ya biashara.
Hata kama utakufa ukiwaacha watoto wako Secondary wanaweza kusoma bila changamoto
Asipoelewa hii comment huyo atakua mtu wa ajabu mnoUkitaka kuona Umuhimu wa Kujenga, Kufa alafu uache watoto wako 3 ama 4 kwenye nyumba ya Kupanga.
Hata kama unadhani ni umasikini kuanza kujenga lakini ni muhimu sana Kaka. Tafakari kwenye hilo
Hakuna Baba mwenye gari ila kuna Baba mwenye nyumba.