Masikini Lowassa, nilihisi haya yatamkuta, yamemkuta

Kuyataja maovu yako ni kukuhukum? Endeleni na viwanda vya dhambi huko makanisani kwenu eti mkionywa mnahukumiwa.

Mnapoteza muda bora mkanywe pombe tu.
Watu kama wewe na mleta uzi wamekuwepo tangu enzi na enzi watu wenye husuda na unaa mwingi

Ni vema kwanza ukatoa boriti kwenye jicho lako ndipo utoe kibanzi kwenye jicho la nduguyo

Kumsengenya marehemu asiye weza kujitetea ni Zambi kama Zambi ya mauaji.
 
Mkuu hata Yuda Iskariote hadithi yake imehadithiwa ili binadamu tupate funzo jema.
 
Wewee acha hizo si ungeandika wakati Yu hai. Futa huu uchafu
 
"Hata jengo lililo na benki ya NMB pale nayo linakosa wapangaji."

👆👆

Tangi Bovu kuna Benki ya NBC na siyo NMB. Au NMB nao wana jengo pale?

Halafu ule ukumbi pale unaitwa Salome Hall ni wa mjane wa John Komba Bi. Salome?
 
Ukimaliza pia useme kuwa Lowassa anaidai CCM Arusha Bil. ngapi

Sawa?
 
Hii ni taarifa ya uwongo kwa by 100%.

Nilikuwa ni mfanyakazi wa TBL kuanzia mwaka 1987 hadi 2000.

Ukweli ni kwamba TBL ilikuwa inamiliki nyumba na viwanja sehemu kadhaa hapa Dar es Salaam. Mwaka 1993 TBL iliuzwa kwa SAB ambayo baadaye ikabadilika kuwa SABMILLER na sasa InBev.

Executive Managing Director wa mwaka 1994-2000 alikuwa ni Daniel Niemandt (Mkaburu) na Anold Kileo alibakia kama Chief MD (ceremonial tu). Daniel Niemandt ndiye aliyesema kazi ya TBL ni "kutengeneza" bia na siyo ku maintain real estate.

Kwa hiyo akaamuru nyumba za Oysterbay na Ilala Sharifd Shamba ziuzwe na viwanja virudishwe Serikalini.

Arnold Kileo hakuwa na mchango wowote katika KKKT Mbezi Beach kupata kiwanja pale.

Ila ashukuriwe LOWASSA na wana KKKT kwa kuwa akiwa waziri wa ardhi aliwapa kipaumbele wao kwa mamlaka yake kama waziri mwenye dhamana ya ardhi kupata kiwanja pale.

Pengine watu wa kulalamika wangekuwa madhehebu mengine kama RC au Anglican au Jumuiya ya Waislamu kuhusu kutopatiwa kiwanja. Mengine ya yeye na Kimbisa kuwa na viwanja pale ni majungu yasiyo na tija.

RIP Edward Lowassa
 

UKWELI MTUPU

Hapa nimekuelewa vizuri sana
 
E. Lowassa anaidai CCM Arusha zaidi ya Bil. 5 alizowakopesha, kama kuna Mjumbe yeyote wa CCM hapa akanushe
 
Well put bro!! Cheers 🍻
 
Nilijua mtasema na yeye kauwawa,
kumbe kadhulum tu. mbona kudhulum nijambo la kawaida. Even Daudi the man of God alidhulumu mke wa mtu, na bible inatuambia kuwa Yuko heaven now with God.
 
Kanusho lako lina utata kwa 100%, wakubaliana halafu kujipinga tena. Kwamba Arnold Kilewo alikuwa Kiongozi TBL, umesahihisha cheo tu .
Hujakanusha kuwa eneo hilo lilitolewa na Kilewo kwa KKKT Mbezi.
Hujakanusha kuwa eneo nusu alijimilikisha Lowasa na ndugu na dada yake, na marafiki wa karibu kama Kimbisa.

Kiujumla hujakanusha kitu, ukweli uko pale pale.
 
Uzi ufungwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…