Kuna jambo sielewi.Aliku snitch kwa mama mwenye nyumba kwamba umefanyaje?Kwani huwa unakunya chumbani?mimi kuna mmoja nilimuokota msikitini ni shehe ubwabwa na kanzu yake chakavu iliyofubaa, nikamuonea huruma nikampeleka kwangu, kula bure, kulala bure na mpaka na nguo nilikuwa nampa cha ajabu nikiondoka kwenda kwenye harakati zangu akawa ananisnich kwa mama mwenye nyumba yaani mpaka siku naamua kumtimua alikuwa ameniharibia pakubwa....
Ukiona bado unaharibiwa kwa mama mwenye nyumbani basi wewe ni maskini.