Masikini wanaishi maisha ghali kuliko matajiri

Expensive at the present time vs expensive in the long run. Poor have instant money to meet instant needs.
 
Bila namba au tukio specific inabaki kuwa ni dhahania. Yaani zinabaki kuwa ni hisia tu
 
Itakuwa basha wako sio kwa shobo izo,,,, yani mwenyewe amenijibu vizuri tu we unaanza matusi, ila machoko ndo mlivyo shobo mnaziweza kuwashinda hata wanawake
Mimi nimekujibu vizuri tu dada kuwa maskini aliezungumziwa kwenye mada ni dizaini kama ya baba watoto wako sasa hapo kosa langu ni lipi dada yangu?
 
Mimi nimekujibu vizuri tu dada kuwa maskini aliezungumziwa kwenye mada ni dizaini kama ya baba watoto wako sasa hapo kosa langu ni lipi dada yangu?
eti huyu nae yupo jamiiforum,, I'd fake zisikufanye ukakosa adabu mi basha wako
 
Jipe moyo tu masikini kuna siku hata unga unakosa ana lala njaa, tajiri anakula kuku.
Masikini unga ananunua nusu 1500 wakati tajiri unga nusu ananunua kwa 1100
 
Basic naweza nunua mchele wa 700k nikaweka ndani Na baada ya miezi mitatu nanunua tena!!! Masikini anaweza kaka???
Naona umeingia naopataka...huo mchele wanl laki saba utanunua kwa jumla kwa 2500, masikini mchele huo hawezi nunua wa laki saba kwa bei hiyo ,,badala yake atanunua kilonmoja kwa 3000 au 3200, hapo Nani ameingia gharama Zaidi?
 
Masikini unga ananunua nusu 1500 wakati tajiri unga nusu ananunua kwa 1100
Umekazania unga tu vipi mchele,masikini anakula mchele wa 1500
Tajiri ananunua ule wa 3500 acheni kujipa moyo
 
uzi huu unamakasiriko mengi sana , watu wana maisha magumu sana believe me
 
Acha uongo wewe, unamuongelea huyu masikini anaemsomesha mwanawe shule ya msingi mpiga miti wakati tajiri ye wake anasoma international school of Tanganyika, au masikini gani unamuongelea?
Watoto wa matajiri wanakofundishwa ushoga na usagaji! Zote hizo ni gharama!
 
Aagh wapi, kodi ya nyumba masaki ni hadi milioni 4 kwa mwezi, hapo unapangisha vyumba vyote vingunguti na chenji inabaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…