diwani tajiri
Senior Member
- Oct 14, 2017
- 162
- 788
Kuna umaskini wa aina nyingi. Katika aina zote ogopa sana umaskini wa akili. Huo ndio hatari zaidi duniani. Tanzania umaskini wa akili umetupelekea mtu kununua ubunge kwa doti ya kanga na kofia, katiba kuvunjwa kwa amri ya mtu mmoja huku tuliobaki milioni sitini tukiangalia tuu. Kwa umaskini wa akili mtu mmoja anateua wakurugenzi wote nchini, wakuu wa mashirika yote ya umma, makatibu wakuu, makatibu tawala, wabunge kumi, mawaziri, wakuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama, wakuu wa wilaya, anateua hadi watu wa mhimili unaojitegemea kama mahakama ngoja niishie hapa umaskini wa akili ni hatari sanaaaaa.
Habari Wakuu!
Kama kichwa kinavyoeleza hapo, ingawaje Masikini naye mtu japokuwa hana kitu lakini hatuwezi kuukataa ukweli kuwa Masikini ndio mashetani yanayoishi na kuonekana live kwa macho yetu wenyewe.
Kuna watu hapa watasema nawasema vibaya MASIKINI, wengine watasema najisikia, nawadharau na kuwatolea maneno makali hao Masikini. Lakini nataka kusema hapa mimi mwenyewe ni masikini, hivi mambo niyasemayo hapa yananihusu hata Mimi.
Sisi masikini ni mashetani tunaoishi live katika macho ya nyama.
Tatizo la miji kuwa michafu, na watu kujenga pasipo mpangilio linasababishwa na Masikini. Unajua masikini ni mashetani hivyo hawanaga mipangilio, wapo rafu wanajenga hovyo hovyo.
Kama ingekuwa amri yangu, masikini leo hii wasingepewa ruhusa/kibali kujenga kwenye miji na majiji makubwa. Wakaishi huko porini huko kwenye mashamba wakalime.
Serikali kama inataka miji ijengwe kwa mpangilio mzuri basi lazima litolewe tamko kuwa Masikini hawatapewa kibali cha kujenga mijini, na mtu yeyote anayetaka kujenga nyumba mjini anapaswa awe na kiasi cha pesa kisichopungua milioni 50.
Masikini wawekewe sheria kali zitakazowabana ili wasilete ushetani wao Duniani.
Kama wanataka kuishi mjini basi serikali ijenge nyumba za kupanga, au mashirika na makampuni ndio yafanye kazi hiyo kujenga Apartments ili hao masikini wapange.
Matajiri sina neno nao, nafahamu wao wanamuwakilisha Mungu kwani Mungu ni tajiri, ndio maana matajiri hujenga na kuweka mambo/vitu vyao katika mpangilio mzuri.
Miji yote iliyotekwa na masikini lazima iwe michafu inayonuka, vijumba vimejengwa hovyo hovyo Kama takataka.
Masikini wajengewe miji Yao huko nje kabisa ya miji au maporini huko wakae wenyewe, au Kama wanataka kuishi mjini basi wapangishe nyumba zilizojengwa na serikali au matajiri.
Sitaki kuzungumzua habari ya machinga jinsi wanavyovuruga miji na kusababisha uchafu wakaapo barabarani.
Niishie hapa Masikini wenzangu wasije nipiga mawe, najua wataniona lakini ukweli nimewapa, wengine watanichukia lakini hilo halinipi shida kwani mashetani ni kawaida Yao kuwa na chuki.
Mashetani yakikupenda jua ni Kwa unafiki na yanakitu yanakihitaji kutoka kwako.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dodoma
Naomba ufafanuzi kama kuna tofauti kati ya Masikini na Wenye kipato cha chini/kidogo.
Maana kuna hata zile flats zikijengwa kwa ajili ya Kada fulani ya Serikalini baada ya muda zile flats huwa kama stoo za Mkaa...tofauti kabisa na zile flats zinazojengwa na kupangishiwa Wanaolipa 1m kwa mwezi.
Soweto, Johannesburg
Soweto is an urban settlement or 'Township' in South Africa, southwest of Johannesburg, with a population of approximately 1.3 million (2008, Joburg archive).
Soweto's famous 'Orlando Towers' Image source
Soweto was created in the 1930s when the White government started separating Blacks from Whites. Blacks were moved away from Johannesburg, to an area separated from White suburbs by a so-called cordon sanitaire (or sanitary corridor) this was usually a river, a railway track, an industrial area or a highway etc., they did this by using the infamous 'Urban Areas Act' in 1923.
Soweto became the largest Black city in South Africa, but until 1976 its population could have status only as temporary residents, serving as a workforce for Johannesburg. It experienced civil unrest during the Apartheid regime. There were serious riots in 1976, sparked by a ruling that Afrikaans be used in African schools there; the riots were violently suppressed, with 176 striking students killed and more than 1,000 injured. Reforms followed, but riots flared up again in 1985 and continued until the first multiracial elections were held in April 1994.
In 2010, South Africa's oldest township hosted the FIFA Soccer World Cup final and the attention of more than a billion soccer spectators from all over the world was focused on Soweto.
What's in a name?
William Carr, chair of non-European affairs, initiated the naming of Soweto in 1959. He called for a competition to give a collective name to townships dotted around the South-west of Johannesburg. People responded to this competition with great enthusiasm. Among the names suggested to the City Council was KwaMpanza, meaning Mpanza's place, revoking the name of Mpanza and his role in bringing the plight of Orlando sub tenants to the attention of the City Council. The City Council settled for the acronym SOWETO (South West Townships). The name Soweto was first used in 1963 and within a short period of time, following the 1976 uprising of students in the township, the name became internationally known.
Geolocation
-26Β° 14' 17.0625", 27Β° 51' 1.4309"
References
Soweto
Further Reading
Soweto: from struggle to suburbia
Source : Soweto, Johannesburg | South African History Online
Wewe jamaa una matatizo ya afya ya akili wahi hospitali kabla hali haijawa mbaya.Masikini wasipoondolewa husababisha umasikini uote mizizi na kuathiri mazingira.
Wafukuzwe au Nyumba nzuri zijengwe wapangishe humo
Mkuu, Samahani Ya Bure Taadhali[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Umetufokea Sana Ujue
Chanzo Cha maovu yote duniani ni umasikini maana umasikini ni laana.Kwenye umasikini ndo Kuna vyanzo vya dhambi .Uzinzi na umalaya chanzo chake ni umasikini,mtu anaenda kijiuza ili apate hela ya kula mwisho wa siku anapata ukimwi anakufa ,Hapo Kuna kitu kinaitwa mshahara wa dhambi ni mauti
Serikali ya Tanzania inatoa elimu bila malipo je hizo pesa zinatoka wapi?Ni hela za matajili kutokana na kodi.kuna kanuni ya kiasili inasema ukitoa unapata zaidi na kubarikiwa,Kwa hiyo basi matajili
ndo wanawasomesha watoto wa masikini na wanazidi kubarikiwa.
Pia Kumbukeni kazi ya Mungu inaendeshwa na Matajili kwa kujenga Makanisa na Misikiti.
Pia mnitajie Mtume yeyote wa MUNGU ambae alikua masikini,hayupo na hatakuwepo.
Mleta mada yupo sahihi 100%.
Nina uhakika hata mbinguni wataenda matajili kwa maana ndo wanawafanya masikini waishi hivo wanamsaidia Mungu kazi . MUNGU NI ALAMA YA UTAJILI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jamaa una matatizo ya afya ya akili wahi hospitali kabla hali haijawa mbaya.
Huo ndio ukweli hata ukinunua kiwanja ukaona majirani zako wote viwanja vyao Ni 10 kwa 10 Hilo eneo Hama inaenda kuwa sehemu ya kimasikini au uswahilini.
Masikini tujenge hoja kwa nini tubaki mjini,sio kuanza kulialia na kunukuu mistari ya biblia.
Huo ndio ukweli Kaka hata Dar maeneo mazuri yamekuwa uswazi baada ya viwanja kuanza kuuzwa na kununuliwa kimasikini.Ati 10*10
Embu niambie hapo mtu utapanda wapi, Bustani wapi, nyumba wapi,
Masikini wanapenda kung'ang'ania mambo wasiyoyaweza.
Hiyo 10*10 wangeenda SHAMBA huko wangepata hata Heka moja wakajenga kibanda, wakapanda miti, na kufuga kuku
Leo kwa mara ya kwanza naunga mkono mada yako, maskini akipata milioni moja tu anawaza kujenga..mwisho wa siku anajenga kitu cha hovyo.
Huo ndio ukweli Kaka hata Dar maeneo mazuri yamekuwa uswazi baada ya viwanja kuanza kuuzwa na kununuliwa kimasikini.
Kuna sehemu kule Bunju eneo zuri basda ya kuvamiwa na masikini unakuta mtu ana kiwanja Cha 8 kwa 10 .Kajenga ka chumba kamoja na choo Cha nje. Uswazi mtupu.
Umasikini Ni laana Sana, tufanyeni kazi tuwe na makazi Bora na sio kulia Lia kwa mleta mada