Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #61
Imeniuma mno
Asante shetani mkuu
😄😄😄
Karibu Shetani mdogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeniuma mno
Asante shetani mkuu
Serikali ingepima tu viwanja. Nyumba hata ikiwa ya mabati, ikiwa kwenye sehemu imepimwa hupendeza. Wakoloni waliwezaje?
Nakubaliana na wewe by 100%. Masikini pia wasiruhusiwe kuzaa, wahasiwe maana tutaendeleza ile kitu wanaita viscious cycle ie masikini kuzaa masikini na huyo masikini kuzaa masikini mpaka kijiji kinajaa masikini tupu. I am also poor, let us be pushed outside the town and live wherever befits us , not in civilised societiesHabari Wakuu!
Kama kichwa kinavyoeleza hapo, ingawaje Masikini naye mtu japokuwa hana kitu lakini hatuwezi kuukataa ukweli kuwa Masikini ndio mashetani yanayoishi na kuonekana live kwa macho yetu wenyewe.
Kuna watu hapa watasema nawasema vibaya MASIKINI, wengine watasema najisikia, nawadharau na kuwatolea maneno makali hao Masikini. Lakini nataka kusema hapa mimi mwenyewe ni masikini, hivi mambo niyasemayo hapa yananihusu hata Mimi.
Sisi masikini ni mashetani tunaoishi live katika macho ya nyama.
Tatizo la miji kuwa michafu, na watu kujenga pasipo mpangilio linasababishwa na Masikini. Unajua masikini ni mashetani hivyo hawanaga mipangilio, wapo rafu wanajenga hovyo hovyo.
Kama ingekuwa amri yangu, masikini leo hii wasingepewa ruhusa/kibali kujenga kwenye miji na majiji makubwa. Wakaishi huko porini huko kwenye mashamba wakalime.
Serikali kama inataka miji ijengwe kwa mpangilio mzuri basi lazima litolewe tamko kuwa Masikini hawatapewa kibali cha kujenga mijini, na mtu yeyote anayetaka kujenga nyumba mjini anapaswa awe na kiasi cha pesa kisichopungua milioni 50.
Masikini wawekewe sheria kali zitakazowabana ili wasilete ushetani wao Duniani.
Kama wanataka kuishi mjini basi serikali ijenge nyumba za kupanga, au mashirika na makampuni ndio yafanye kazi hiyo kujenga Apartments ili hao masikini wapange.
Matajiri sina neno nao, nafahamu wao wanamuwakilisha Mungu kwani Mungu ni tajiri, ndio maana matajiri hujenga na kuweka mambo/vitu vyao katika mpangilio mzuri.
Miji yote iliyotekwa na masikini lazima iwe michafu inayonuka, vijumba vimejengwa hovyo hovyo Kama takataka.
Masikini wajengewe miji Yao huko nje kabisa ya miji au maporini huko wakae wenyewe, au Kama wanataka kuishi mjini basi wapangishe nyumba zilizojengwa na serikali au matajiri.
Sitaki kuzungumzua habari ya machinga jinsi wanavyovuruga miji na kusababisha uchafu wakaapo barabarani.
Niishie hapa Masikini wenzangu wasije nipiga mawe, najua wataniona lakini ukweli nimewapa, wengine watanichukia lakini hilo halinipi shida kwani mashetani ni kawaida Yao kuwa na chuki.
Mashetani yakikupenda jua ni Kwa unafiki na yanakitu yanakihitaji kutoka kwako.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dodoma
Kama hapa nilipo, masikini walipewa eka moja kila mmoja na Nyerere wakati wa operesheni vijiji vya ujamaa, takataka masikini wamekata vipande vipande na kuuza.Ukiyapimia masikini, yatavugawanya hivyo na kuuza vipande vidogo vidogo
Mungu akiwa upande wako huwa tunajawa viburi, majivuno na kejeli za kila aini. Amini amini nakwambia Mungu akigeuza shingo na asikutazame tena, huwa nimajuto yasio na ukomo.Habari Wakuu!
Kama kichwa kinavyoeleza hapo, ingawaje Masikini naye mtu japokuwa hana kitu lakini hatuwezi kuukataa ukweli kuwa Masikini ndio mashetani yanayoishi na kuonekana live kwa macho yetu wenyewe.
Kuna watu hapa watasema nawasema vibaya MASIKINI, wengine watasema najisikia, nawadharau na kuwatolea maneno makali hao Masikini. Lakini nataka kusema hapa mimi mwenyewe ni masikini, hivi mambo niyasemayo hapa yananihusu hata Mimi.
Sisi masikini ni mashetani tunaoishi live katika macho ya nyama.
Tatizo la miji kuwa michafu, na watu kujenga pasipo mpangilio linasababishwa na Masikini. Unajua masikini ni mashetani hivyo hawanaga mipangilio, wapo rafu wanajenga hovyo hovyo.
Kama ingekuwa amri yangu, masikini leo hii wasingepewa ruhusa/kibali kujenga kwenye miji na majiji makubwa. Wakaishi huko porini huko kwenye mashamba wakalime.
Serikali kama inataka miji ijengwe kwa mpangilio mzuri basi lazima litolewe tamko kuwa Masikini hawatapewa kibali cha kujenga mijini, na mtu yeyote anayetaka kujenga nyumba mjini anapaswa awe na kiasi cha pesa kisichopungua milioni 50.
Masikini wawekewe sheria kali zitakazowabana ili wasilete ushetani wao Duniani.
Kama wanataka kuishi mjini basi serikali ijenge nyumba za kupanga, au mashirika na makampuni ndio yafanye kazi hiyo kujenga Apartments ili hao masikini wapange.
Matajiri sina neno nao, nafahamu wao wanamuwakilisha Mungu kwani Mungu ni tajiri, ndio maana matajiri hujenga na kuweka mambo/vitu vyao katika mpangilio mzuri.
Miji yote iliyotekwa na masikini lazima iwe michafu inayonuka, vijumba vimejengwa hovyo hovyo Kama takataka.
Masikini wajengewe miji Yao huko nje kabisa ya miji au maporini huko wakae wenyewe, au Kama wanataka kuishi mjini basi wapangishe nyumba zilizojengwa na serikali au matajiri.
Sitaki kuzungumzua habari ya machinga jinsi wanavyovuruga miji na kusababisha uchafu wakaapo barabarani.
Niishie hapa Masikini wenzangu wasije nipiga mawe, najua wataniona lakini ukweli nimewapa, wengine watanichukia lakini hilo halinipi shida kwani mashetani ni kawaida Yao kuwa na chuki.
Mashetani yakikupenda jua ni Kwa unafiki na yanakitu yanakihitaji kutoka kwako.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dodoma
Unahoja ya nguvu sana ila wengi hawatakuelewa kwani hawataki kutafakari. Labda ungetumia lugha ya kidiplomasia zaidi na kusema ujenzi kwenye miji utungiwe kanuni na sheria ya nyumba za aina na gharama gani zinatakiwa kujengwa. BTW hivi mnadhani kaburu alipoamua kuwa waafrika watengewe sehemu yao ya kuishi na wazungu wawe na sehemu yao alikosea sana?Habari Wakuu!
Kama kichwa kinavyoeleza hapo, ingawaje Masikini naye mtu japokuwa hana kitu lakini hatuwezi kuukataa ukweli kuwa Masikini ndio mashetani yanayoishi na kuonekana live kwa macho yetu wenyewe.
Kuna watu hapa watasema nawasema vibaya MASIKINI, wengine watasema najisikia, nawadharau na kuwatolea maneno makali hao Masikini. Lakini nataka kusema hapa mimi mwenyewe ni masikini, hivi mambo niyasemayo hapa yananihusu hata Mimi.
Sisi masikini ni mashetani tunaoishi live katika macho ya nyama.
Tatizo la miji kuwa michafu, na watu kujenga pasipo mpangilio linasababishwa na Masikini. Unajua masikini ni mashetani hivyo hawanaga mipangilio, wapo rafu wanajenga hovyo hovyo.
Kama ingekuwa amri yangu, masikini leo hii wasingepewa ruhusa/kibali kujenga kwenye miji na majiji makubwa. Wakaishi huko porini huko kwenye mashamba wakalime.
Serikali kama inataka miji ijengwe kwa mpangilio mzuri basi lazima litolewe tamko kuwa Masikini hawatapewa kibali cha kujenga mijini, na mtu yeyote anayetaka kujenga nyumba mjini anapaswa awe na kiasi cha pesa kisichopungua milioni 50.
Masikini wawekewe sheria kali zitakazowabana ili wasilete ushetani wao Duniani.
Kama wanataka kuishi mjini basi serikali ijenge nyumba za kupanga, au mashirika na makampuni ndio yafanye kazi hiyo kujenga Apartments ili hao masikini wapange.
Matajiri sina neno nao, nafahamu wao wanamuwakilisha Mungu kwani Mungu ni tajiri, ndio maana matajiri hujenga na kuweka mambo/vitu vyao katika mpangilio mzuri.
Miji yote iliyotekwa na masikini lazima iwe michafu inayonuka, vijumba vimejengwa hovyo hovyo Kama takataka.
Masikini wajengewe miji Yao huko nje kabisa ya miji au maporini huko wakae wenyewe, au Kama wanataka kuishi mjini basi wapangishe nyumba zilizojengwa na serikali au matajiri.
Sitaki kuzungumzua habari ya machinga jinsi wanavyovuruga miji na kusababisha uchafu wakaapo barabarani.
Niishie hapa Masikini wenzangu wasije nipiga mawe, najua wataniona lakini ukweli nimewapa, wengine watanichukia lakini hilo halinipi shida kwani mashetani ni kawaida Yao kuwa na chuki.
Mashetani yakikupenda jua ni Kwa unafiki na yanakitu yanakihitaji kutoka kwako.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dodoma
Asante sana Bill luga o a.k.a Kiduku LiloHabari Wakuu!

Miji ilianzishwa na maskini , nadhani hao matajiri wangeanzisha miji yao ili wakae mbali na maskini. Kariakoo ilikuwa ya maskini matajiri wakaja, sio maskini waliofuata matajiri mijiniHabari Wakuu!

Kwani nani anagawa viwanja na kupanga mji? Kuna mamlaka zenye kazi hio. Hizi mamlaka zina uwezo wa kutenga maeneo na kuwauzia matajiri au masikini. Unafikiri kwanini Masaki,Mbezi beach kuna watu wa aina yenu?! Mamlaka zina uwezo wa kutenga maeneo na kupanga zijengwe nyumba za aina gani kama huwezi unaachia eneo ni mali ya serikali.Tatizo la miji kuwa michafu, na watu kujenga pasipo mpangilio linasababishwa na Masikini. Unajua masikini ni mashetani hivyo hawanaga mipangilio, wapo rafu wanajenga hovyo hovyo.
Maskini na matajiri wote nyumba yetu ni moja nayo nikaburi kuna haja gani yakupamba dunia ambayo hakuna atakaye iishi mileleKauli mbaya sana hii kuisikia, kwaiyo kama tunaishi mara moja ndio tuishi kijinga jinga si ndio?

Kwani nani anagawa viwanja na kupanga mji? Kuna mamlaka zenye kazi hio. Hizi mamlaka zina uwezo wa kutenga maeneo na kuwauzia matajiri au masikini. Unafikiri kwanini Masaki,Mbezi beach kuna watu wa aina yenu?! Mamlaka zina uwezo wa kutenga maeneo na kupanga zijengwe nyumba za aina gani kama huwezi unaachia eneo ni mali ya serikali.
Mamlaka hizo hizo zina uwezo wa kuwaondoa/kuwabomolea waliojenga kiholela bila kufuata utaratibu wa mipango miji. Nashangaa wewe Bwana Tajiri Taikon wa Fasihi unashindwa kuelewa kitu rahisi kama hiki?!