Masikini, wavivu na watu wenye roho mbaya walikuwa wakifurahia hatua za Magufuli kuturudisha kwenye UJAMAA

Jaribu kulala ungojee baraka pekee. Majibu utayapata
Kama hutengenezi hela ukiwa umelala au kazi yako inakutegemea wewe uwe kazini ndo mambo yaende - ujihesabie wewe ni maskini kama maskini wengine wanaosubiria huruma ya serikali

Sera ya ubepari iliumiza wafanyabiashara wakubwa tu na sio hawa Machinga wa mtaji milioni 20
 
Habari!
Watu maskini, wajinga (waliokosa elimu), na wavivu ndio makundi ya watu waliokuwa wakifurahia harakati za Magufuli kutupeleka kwenye UJAMAA.
Hata.
UJAMAA hauwezi kufurahiwa na watu wenye bidii na vipawa katika utafutaji.
Hata Wachina wanaukacha UJAMAA na kuanza kuishi kibepari, kila mmoja anakula kipawa na juhudi zake.
Magufuli alipotumbua viongozi ilikuwa faraja kwa makundi hayo niliyoyataja, alipowafilisi mabosi kundi hili walishangilia.
Kundi hili kila siku linaishi likiamini kuwa matajiri wote ni mafisadi na wezi wa pesa zao.
Kundi hili furaha yao ni kuona wa juu anashuka chini hata kama wao hawatapanda juu.
Umaskini mbaya wakuu.
Mkuu zile sera za Magufuli hazikuwa za ujamaa wala sera zozote zinazo julikana.
Jamaa alikuwa anatengeneza kada ya viongozi waliokuwa waoga kuhoji chochote serikalini na kwenye chama.
Hata watu wakiambiwa wasije na mavi yao, viongozi wanashangilia tu.
Vile vile alikuwa anatengeneza umma wa masikini na wafuasi walioghilibiwa akili kufikiri anawasaidia, kumbe anatengeneza jeshi la wafuasi wasiojua kitu na wanabaki masikini.

Uoga ulikithiri maana waliokuwa wanahoji hata masuala ya msingi wanafukuzwa kazi au hata kuuwawa.
Mifano ya wazi ni Ben Saanane na Lwajabe.
Hata CAG alipouliza zilipo Tshs 1.5 Trilioni za watanzania, alifukuzwa kazi.
Ile ilikuwa Awamu ya mtu kujiamulia anayotaka na asihojiwe.
Lakini Mungu fundi.
 
Kama hutengenezi hela ukiwa umelala au kazi yako inakutegemea wewe uwe kazini ndo mambo yaende - ujihesabie wewe ni maskini kama maskini wengine wanaosubiria huruma ya serikali

Sera ya ubepari iliumiza wafanyabiashara wakubwa tu na sio hawa Machinga wa mtaji milioni 20
Sawa tajiri. Ungekua unautajiri wala usingeandika huo utopolo wako. Shida mkiwa na hela za chai mnataka kudanganya watu. Hapa hatujuani ila in reality wewe ni maskini tu. Hakuna tajiri anaeweza anzisha uzi wa kipumbavu kama huu wako. Utajiri na ujamaa ni mbingu na ardhi
 
Sawa tajiri. Ungekua unautajiri wala usingeandika huo utopolo wako. Shida mkiwa na hela za chai mnataka kudanganya watu. Hapa hatujuani ila in reality wewe ni maskini tu. Hakuna tajiri anaeweza anzisha uzi wa kipumbavu kama huu wako. Utajiri na ujamaa ni mbingu na ardhi
 
Habari!
Watu maskini, wajinga (waliokosa elimu), na wavivu ndio makundi ya watu waliokuwa wakifurahia harakati za Magufuli kutupeleka kwenye UJAMAA.
Hata.
UJAMAA hauwezi kufurahiwa na watu wenye bidii na vipawa katika utafutaji.
Hata Wachina wanaukacha UJAMAA na kuanza kuishi kibepari, kila mmoja anakula kipawa na juhudi zake.
Magufuli alipotumbua viongozi ilikuwa faraja kwa makundi hayo niliyoyataja, alipowafilisi mabosi kundi hili walishangilia.
Kundi hili kila siku linaishi likiamini kuwa matajiri wote ni mafisadi na wezi wa pesa zao.
Kundi hili furaha yao ni kuona wa juu anashuka chini hata kama wao hawatapanda juu.
Umaskini mbaya wakuu.
Wanaccm wengi ukitoa wale madc, rcs,DeDs, mawaziri na wabunge na kundi dogo la kazi maalum ni watu duni sana. Kimwili na kiroho.
 
Kuna watu wanavaa suti, wanachomekea, wanaendesha magari lakini wana ugonjwa wa akili kwa mujibu wa matokeo ya tafiti ya hivi karibuni kila watu nane wawili screws zimelegea. Nina shida na huyu mtoa post kama yupo salama. Kama ananibishia aweke vyeti tuone. Maana siku hizi screws zilizolegea hawabebi mafaili tena. Maana mafaili yamehamia kwenye smartphone. Kwahiyo mwezi ukicharuka anajua akiandika jina la Magufuli ndiyo ana comedown. Watanzania wanataka matokeo yatakayowafanya wamsahau Magufuli sio kwa post mnazoanzisha kila kukicha ambazo zinajaza saver tu. Jaribuni kuficha ujinga wenu maana wenye hekima kwa post zenu wanajua kilichomo vichwani mwenu.
 
Habari!
Watu maskini, wajinga (waliokosa elimu), na wavivu ndio makundi ya watu waliokuwa wakifurahia harakati za Magufuli kutupeleka kwenye UJAMAA.
Hata.
UJAMAA hauwezi kufurahiwa na watu wenye bidii na vipawa katika utafutaji.
Hata Wachina wanaukacha UJAMAA na kuanza kuishi kibepari, kila mmoja anakula kipawa na juhudi zake.
Magufuli alipotumbua viongozi ilikuwa faraja kwa makundi hayo niliyoyataja, alipowafilisi mabosi kundi hili walishangilia.
Kundi hili kila siku linaishi likiamini kuwa matajiri wote ni mafisadi na wezi wa pesa zao.
Kundi hili furaha yao ni kuona wa juu anashuka chini hata kama wao hawatapanda juu.
Umaskini mbaya wakuu.
Nonsense
 
Hapo kwenye ujamaa andika UJIMA.
 
M

Mabosi gani hao waliofilisiwa?
 
Back
Top Bottom