mack255
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 551
- 1,230
Kama hutengenezi hela ukiwa umelala au kazi yako inakutegemea wewe uwe kazini ndo mambo yaende - ujihesabie wewe ni maskini kama maskini wengine wanaosubiria huruma ya serikaliJaribu kulala ungojee baraka pekee. Majibu utayapata
Sera ya ubepari iliumiza wafanyabiashara wakubwa tu na sio hawa Machinga wa mtaji milioni 20