Kama hutengenezi hela ukiwa umelala au kazi yako inakutegemea wewe uwe kazini ndo mambo yaende - ujihesabie wewe ni maskini kama maskini wengine wanaosubiria huruma ya serikaliJaribu kulala ungojee baraka pekee. Majibu utayapata
Mkuu zile sera za Magufuli hazikuwa za ujamaa wala sera zozote zinazo julikana.Habari!
Watu maskini, wajinga (waliokosa elimu), na wavivu ndio makundi ya watu waliokuwa wakifurahia harakati za Magufuli kutupeleka kwenye UJAMAA.
Hata.
UJAMAA hauwezi kufurahiwa na watu wenye bidii na vipawa katika utafutaji.
Hata Wachina wanaukacha UJAMAA na kuanza kuishi kibepari, kila mmoja anakula kipawa na juhudi zake.
Magufuli alipotumbua viongozi ilikuwa faraja kwa makundi hayo niliyoyataja, alipowafilisi mabosi kundi hili walishangilia.
Kundi hili kila siku linaishi likiamini kuwa matajiri wote ni mafisadi na wezi wa pesa zao.
Kundi hili furaha yao ni kuona wa juu anashuka chini hata kama wao hawatapanda juu.
Umaskini mbaya wakuu.
Hapo nimekuelewa,,,,,tatizo ni CCMTofautisha UBEPARI na UFISADI ULIOTUKUKA CHINI YA CCM.
CCM zote, ya Magufuli, hata hii ya sasa ni UNYONYAJI MTUPU.
Sawa tajiri. Ungekua unautajiri wala usingeandika huo utopolo wako. Shida mkiwa na hela za chai mnataka kudanganya watu. Hapa hatujuani ila in reality wewe ni maskini tu. Hakuna tajiri anaeweza anzisha uzi wa kipumbavu kama huu wako. Utajiri na ujamaa ni mbingu na ardhiKama hutengenezi hela ukiwa umelala au kazi yako inakutegemea wewe uwe kazini ndo mambo yaende - ujihesabie wewe ni maskini kama maskini wengine wanaosubiria huruma ya serikali
Sera ya ubepari iliumiza wafanyabiashara wakubwa tu na sio hawa Machinga wa mtaji milioni 20
Ni fisadi tu anayeweza kuupinga utawala wa mzalendo jpm
Ubepari na Ufisadi Uliotukuka Vs Ujamaa !! Hapo nini Afadhali ??!Tofautisha UBEPARI na UFISADI ULIOTUKUKA CHINI YA CCM.
CCM zote, ya Magufuli, hata hii ya sasa ni UNYONYAJI MTUPU.
Sawa tajiri. Ungekua unautajiri wala usingeandika huo utopolo wako. Shida mkiwa na hela za chai mnataka kudanganya watu. Hapa hatujuani ila in reality wewe ni maskini tu. Hakuna tajiri anaeweza anzisha uzi wa kipumbavu kama huu wako. Utajiri na ujamaa ni mbingu na ardhi
Hivi kumbe waganda wengi wana sura na umbile la nduli Idi Amini!!!? 😅Maskini ni kupe,mzigo na hawaendi Mbinguni 👇
... watu wavivu wanaosubiri waliowazidi kipato wakose wafurahi! 😅Mkuu haya maneno kajaribu kuyazumgumza live mbele za watu uone kitakachokuapata.
Wanaccm wengi ukitoa wale madc, rcs,DeDs, mawaziri na wabunge na kundi dogo la kazi maalum ni watu duni sana. Kimwili na kiroho.Habari!
Watu maskini, wajinga (waliokosa elimu), na wavivu ndio makundi ya watu waliokuwa wakifurahia harakati za Magufuli kutupeleka kwenye UJAMAA.
Hata.
UJAMAA hauwezi kufurahiwa na watu wenye bidii na vipawa katika utafutaji.
Hata Wachina wanaukacha UJAMAA na kuanza kuishi kibepari, kila mmoja anakula kipawa na juhudi zake.
Magufuli alipotumbua viongozi ilikuwa faraja kwa makundi hayo niliyoyataja, alipowafilisi mabosi kundi hili walishangilia.
Kundi hili kila siku linaishi likiamini kuwa matajiri wote ni mafisadi na wezi wa pesa zao.
Kundi hili furaha yao ni kuona wa juu anashuka chini hata kama wao hawatapanda juu.
Umaskini mbaya wakuu.
Na wewe ni mmoja wao.Mkuu haya maneno kajaribu kuyazumgumza live mbele za watu uone kitakachokuapata.
Ccm zote🤣🤣Tofautisha UBEPARI na UFISADI ULIOTUKUKA CHINI YA CCM.
CCM zote, ya Magufuli, hata hii ya sasa ni UNYONYAJI MTUPU.
NonsenseHabari!
Watu maskini, wajinga (waliokosa elimu), na wavivu ndio makundi ya watu waliokuwa wakifurahia harakati za Magufuli kutupeleka kwenye UJAMAA.
Hata.
UJAMAA hauwezi kufurahiwa na watu wenye bidii na vipawa katika utafutaji.
Hata Wachina wanaukacha UJAMAA na kuanza kuishi kibepari, kila mmoja anakula kipawa na juhudi zake.
Magufuli alipotumbua viongozi ilikuwa faraja kwa makundi hayo niliyoyataja, alipowafilisi mabosi kundi hili walishangilia.
Kundi hili kila siku linaishi likiamini kuwa matajiri wote ni mafisadi na wezi wa pesa zao.
Kundi hili furaha yao ni kuona wa juu anashuka chini hata kama wao hawatapanda juu.
Umaskini mbaya wakuu.
Hapo kwenye ujamaa andika UJIMA.Habari!

Mabosi gani hao waliofilisiwa?Habari!