TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Karma is real (Mayalla, 2022)Lakini Mungu fundi.
Mwandazake alikua Rais wa ajabu haijawai tokea,Habari!
Watu maskini, wajinga (waliokosa elimu), na wavivu ndio makundi ya watu waliokuwa wakifurahia harakati za Magufuli kutupeleka kwenye UJAMAA.
Hata.
UJAMAA hauwezi kufurahiwa na watu wenye bidii na vipawa katika utafutaji.
Hata Wachina wanaukacha UJAMAA na kuanza kuishi kibepari, kila mmoja anakula kipawa na juhudi zake.
Magufuli alipotumbua viongozi ilikuwa faraja kwa makundi hayo niliyoyataja, alipowafilisi mabosi kundi hili walishangilia.
Kundi hili kila siku linaishi likiamini kuwa matajiri wote ni mafisadi na wezi wa pesa zao.
Kundi hili furaha yao ni kuona wa juu anashuka chini hata kama wao hawatapanda juu.
Umaskini mbaya wakuu.
Bora uwe maskini wa vitu kuliko umaskin wa akili.Habari!

Halafu kizazi hiki unapataje ujasiri wa kudharau mfumo uliokupatia fursa ya kuitwa nchi yenye amani na ukarimu??kwa kifupi sielew kwa nini unpoteza muda kukandia watu wenye uthubutu km jpm aliyeendeleza utamadun ulioanzishwa na watangulizi wake??tena ni uumini wa advance socialism kuna kosa gan??alivyosema km ni barabara za ksasa,reli za kisasa,nishati ya uhakika tujenge kwa resorces zetu ni mvivu au n maskin??sikia licha ya udhaifu wa kibinadamu anayempinga jpm anapingana na slogan ya hapa kazi tu huyo sasa ndiyo mvivu,na sitashangaa kumuona akitumia slogan ya kaz iendelee kwa kuendekeza uvivu,upumbavu na uonevu wa makusudi,china kamwe hawez kuuacha ujamaa ambao ameufanya kuwa advance socialism na umefanya kuwa nchi ya pili kiuchum duniani.Bora uwe maskini wa vitu kuliko umaskin wa akili.
Ni ujamaa wa namna gani magufuli alikuwa anatupeleka ?π€Habari!
Watu maskini, wajinga (waliokosa elimu), na wavivu ndio makundi ya watu waliokuwa wakifurahia harakati za Magufuli kutupeleka kwenye UJAMAA.
Hata.
UJAMAA hauwezi kufurahiwa na watu wenye bidii na vipawa katika utafutaji.
Hata Wachina wanaukacha UJAMAA na kuanza kuishi kibepari, kila mmoja anakula kipawa na juhudi zake.
Magufuli alipotumbua viongozi ilikuwa faraja kwa makundi hayo niliyoyataja, alipowafilisi mabosi kundi hili walishangilia.
Kundi hili kila siku linaishi likiamini kuwa matajiri wote ni mafisadi na wezi wa pesa zao.
Kundi hili furaha yao ni kuona wa juu anashuka chini hata kama wao hawatapanda juu.
Umaskini mbaya wakuu.
Communalism ni nini?π€Akilo yangu haiwezi kupimwa ukubwa wake kwa huo utopolo ulioandika. Kati ya ujamaa na ubepari kipi kinaleta uvivu. Yaaani taunze ku share kama tupp zama za communalism. Unataka tuishi zama za ujima.?? Ni hustle mimi ale mwingine. Hata dini zilosema asie fanya kazi asile. Mafanikio huja kwa wale wanao yapambania na sio baraka kama unavyotaka kutuaminisha. Jaribu kulala ungojee baraka pekee. Majibu utayapata
Ujima katafisri huko muda wa kukupa maana kama hauijui google.?Communalism ni nini?π€
Kwa hiyo ujima ndio ujamaa?π€Ujima katafisri huko muda wa kukupa maana kama hauijui google.?
Utajua wewe. Vinaendana. Ujima na ujamaa ni mapacha wakufananaKwa hiyo ujima ndio ujamaa?π€
πππ Kabla haujaandika thread humu . soma kwanza kitu unachotaka kuandika ndio uje kuandika.Utajua wewe. Vinaendana. Ujima na ujamaa ni mapacha wakufanana
Wewe mbuzi nini? Fanya kazi na utakula kwa jasho lako. Wewe kaa hapo fuga tu kucha huku ukiomba matajiri wafilisiwe ili wewe uleTokea ubepari uanzishwe una bilioni ngapi kwenye akaunti yako?
Sera ya ubepari ni ya kupingwa coz wengi wanateseka na wanaonufaika ni wachache sana
Sera ya ujamaa inanufaisha wananchi wote
Ujima katafisri huko muda wa kukupa maana kama hauijui google.?
Kila kitu kinaubora wake na udhaifu wake ββMwandazake alikua Rais wa ajabu haijawai tokea,
Ukikua , utajua mafanikio ni baraka na sio juhudi
Kuanzia Nyerere mpaka sasa ni unyonyaji na ufukarishaji.Tofautisha UBEPARI na UFISADI ULIOTUKUKA CHINI YA CCM.
CCM zote, ya Magufuli, hata hii ya sasa ni UNYONYAJI MTUPU.