Masikini, wavivu na watu wenye roho mbaya walikuwa wakifurahia hatua za Magufuli kuturudisha kwenye UJAMAA

Masikini, wavivu na watu wenye roho mbaya walikuwa wakifurahia hatua za Magufuli kuturudisha kwenye UJAMAA

Habari!
Watu maskini, wajinga (waliokosa elimu), na wavivu ndio makundi ya watu waliokuwa wakifurahia harakati za Magufuli kutupeleka kwenye UJAMAA.
Hata.
UJAMAA hauwezi kufurahiwa na watu wenye bidii na vipawa katika utafutaji.
Hata Wachina wanaukacha UJAMAA na kuanza kuishi kibepari, kila mmoja anakula kipawa na juhudi zake.
Magufuli alipotumbua viongozi ilikuwa faraja kwa makundi hayo niliyoyataja, alipowafilisi mabosi kundi hili walishangilia.
Kundi hili kila siku linaishi likiamini kuwa matajiri wote ni mafisadi na wezi wa pesa zao.
Kundi hili furaha yao ni kuona wa juu anashuka chini hata kama wao hawatapanda juu.
Umaskini mbaya wakuu.
Mwandazake alikua Rais wa ajabu haijawai tokea,
 
Bora uwe maskini wa vitu kuliko umaskin wa akili.
 
Bora uwe maskini wa vitu kuliko umaskin wa akili.
Halafu kizazi hiki unapataje ujasiri wa kudharau mfumo uliokupatia fursa ya kuitwa nchi yenye amani na ukarimu??kwa kifupi sielew kwa nini unpoteza muda kukandia watu wenye uthubutu km jpm aliyeendeleza utamadun ulioanzishwa na watangulizi wake??tena ni uumini wa advance socialism kuna kosa gan??alivyosema km ni barabara za ksasa,reli za kisasa,nishati ya uhakika tujenge kwa resorces zetu ni mvivu au n maskin??sikia licha ya udhaifu wa kibinadamu anayempinga jpm anapingana na slogan ya hapa kazi tu huyo sasa ndiyo mvivu,na sitashangaa kumuona akitumia slogan ya kaz iendelee kwa kuendekeza uvivu,upumbavu na uonevu wa makusudi,china kamwe hawez kuuacha ujamaa ambao ameufanya kuwa advance socialism na umefanya kuwa nchi ya pili kiuchum duniani.
 
Tumeambiwa kwenye mafundisho yakwamba tukipewa neema alafu tukiwa wajeili tutaletewa kiongozi mshenz
 
Habari!
Watu maskini, wajinga (waliokosa elimu), na wavivu ndio makundi ya watu waliokuwa wakifurahia harakati za Magufuli kutupeleka kwenye UJAMAA.
Hata.
UJAMAA hauwezi kufurahiwa na watu wenye bidii na vipawa katika utafutaji.
Hata Wachina wanaukacha UJAMAA na kuanza kuishi kibepari, kila mmoja anakula kipawa na juhudi zake.
Magufuli alipotumbua viongozi ilikuwa faraja kwa makundi hayo niliyoyataja, alipowafilisi mabosi kundi hili walishangilia.
Kundi hili kila siku linaishi likiamini kuwa matajiri wote ni mafisadi na wezi wa pesa zao.
Kundi hili furaha yao ni kuona wa juu anashuka chini hata kama wao hawatapanda juu.
Umaskini mbaya wakuu.
Ni ujamaa wa namna gani magufuli alikuwa anatupeleka ?🤔

NB: Jua kutofautisha Kati ya Socialism na Dictatorship.
 
Akilo yangu haiwezi kupimwa ukubwa wake kwa huo utopolo ulioandika. Kati ya ujamaa na ubepari kipi kinaleta uvivu. Yaaani taunze ku share kama tupp zama za communalism. Unataka tuishi zama za ujima.?? Ni hustle mimi ale mwingine. Hata dini zilosema asie fanya kazi asile. Mafanikio huja kwa wale wanao yapambania na sio baraka kama unavyotaka kutuaminisha. Jaribu kulala ungojee baraka pekee. Majibu utayapata
Communalism ni nini?🤔
 
Tokea ubepari uanzishwe una bilioni ngapi kwenye akaunti yako?

Sera ya ubepari ni ya kupingwa coz wengi wanateseka na wanaonufaika ni wachache sana

Sera ya ujamaa inanufaisha wananchi wote
Wewe mbuzi nini? Fanya kazi na utakula kwa jasho lako. Wewe kaa hapo fuga tu kucha huku ukiomba matajiri wafilisiwe ili wewe ule
 
Ujamaa wote uliobaki duniani kwa sasa ni ujamaa uchwara
 
Tofautisha UBEPARI na UFISADI ULIOTUKUKA CHINI YA CCM.

CCM zote, ya Magufuli, hata hii ya sasa ni UNYONYAJI MTUPU.
Kuanzia Nyerere mpaka sasa ni unyonyaji na ufukarishaji.

Vyama vya Ushirika vimekufa, majirani zetu kenya wamejifunza kwetu ushirika, sasa hivi vyama vya ushirika ke vina nguvu kubwa sana kiuchumi.

Nyerere angeacha vikastawi tz tungekuwa wapi?
 
Ni zamu ya masikini kuisoma namba kupitia vitu bei juu.walichekelea matajiri na wanasiasa wakushughulikia. Eti leo vitu bei juu wanahoji mbona zitto, Mbowe, lema nk eti wapo kimya. Nyie wakati wanateswa si mlikuwa kimya. Pambananeni na hali zetu hata unga ukifika kilo sh 5000.
 
Back
Top Bottom