Mzalendo uchwaraNi fisadi tu anayeweza kuupinga utawala wa mzalendo jpm
Kuanzia Nyerere mpaka sasa ni unyonyaji na ufukarishaji.
Vyama vya Ushirika vimekufa, majirani zetu kenya wamejifunza kwetu ushirika, sasa hivi vyama vya ushirika ke vina nguvu kubwa sana kiuchumi.
Nyerere angeacha vikastawi tz tungekuwa wapi?
Hakuna kipindi nilikuwa mzalendo kwa nchi yangu kama kwenye utawala wa JPM nlikuwa na wivu na nchi yangu hatari. Kila aliyehujumu choxhote nlikuwa mkali as if ananiibia mimiMaisha ni kama sarafu yana pande mbili. Hata kwa sasa wapo wanaofurahia kufukuzwa kwa machinga mjini na kupanda kwa bei ya bidhaa kwa kisingizio cha vita.
Najua angekuwepo asingeruhusu utetezi huu. Kg moja ya unga wa mahindi tsh 2000 kutoka tsh 1000/-
Machinga wamepelekwa huko kusikojulikana. Nani kweli anaweza kwenda kununua kitana cha 500/_ kwa kupanda boda au dalalada kwa sh 2000?
Na ukweli ni kwamba wakati wa yule baba, watu walipiga kazi. Slogan ya hapa kazi tu iliwahamasisha sana!
Na kauli yake ya hakuna cha bure. Tofauti na sasa wanakula kwa urefu wa kamba! Wanatoa visingizio visivyo na tija na vinakubalika! Tofauti ya wenye nacho na wasionacho inazidi kuwa kubwa.
Nchi imegeuka kuwa uwanja wa michezo ya kubahatisha. Kila mahali cheza ushinde! Na hapo no hela zinakatwa pamoja na kodi. Na mtaani bado hali ni tete.
Hizo fedha zinakwenda wapi? Walahi, natamani huyu mama ajiuzulu hata leo na sio kwa chuki wala ubaya, bali kwa nia njema tu ya kuokoa taifa!
Wanadanganya watumishi nyongeza 23% kisha wanakuja na utetezi wa kima cha chini na kima cha juu. PAYE imeongezeka.
Yaani mtu anayeusifia huu utawala huenda yuko nje ya nchi au ni mlamba asali.
Japo hata walamba asali wapo wanaoisoma namba manaake mfumuko wa bei unagusa wote!
Una ma-emotion sanaWewe mbuzi nini? Fanya kazi na utakula kwa jasho lako. Wewe kaa hapo fuga tu kucha huku ukiomba matajiri wafilisiwe ili wewe ule
upo Sawa mkuu lakini tujadili hili la nyongeza ya Kima cha chini asilimia 23% je yule mzalendo aliweza kuongeza Ata senti 5 jibu ni hapana alishindwaMaisha ni kama sarafu yana pande mbili. Hata kwa sasa wapo wanaofurahia kufukuzwa kwa machinga mjini na kupanda kwa bei ya bidhaa kwa kisingizio cha vita.
Najua angekuwepo asingeruhusu utetezi huu. Kg moja ya unga wa mahindi tsh 2000 kutoka tsh 1000/-
Machinga wamepelekwa huko kusikojulikana. Nani kweli anaweza kwenda kununua kitana cha 500/_ kwa kupanda boda au dalalada kwa sh 2000?
Na ukweli ni kwamba wakati wa yule baba, watu walipiga kazi. Slogan ya hapa kazi tu iliwahamasisha sana!
Na kauli yake ya hakuna cha bure. Tofauti na sasa wanakula kwa urefu wa kamba! Wanatoa visingizio visivyo na tija na vinakubalika! Tofauti ya wenye nacho na wasionacho inazidi kuwa kubwa.
Nchi imegeuka kuwa uwanja wa michezo ya kubahatisha. Kila mahali cheza ushinde! Na hapo no hela zinakatwa pamoja na kodi. Na mtaani bado hali ni tete.
Hizo fedha zinakwenda wapi? Walahi, natamani huyu mama ajiuzulu hata leo na sio kwa chuki wala ubaya, bali kwa nia njema tu ya kuokoa taifa!
Wanadanganya watumishi nyongeza 23% kisha wanakuja na utetezi wa kima cha chini na kima cha juu. PAYE imeongezeka.
Yaani mtu anayeusifia huu utawala huenda yuko nje ya nchi au ni mlamba asali.
Japo hata walamba asali wapo wanaoisoma namba manaake mfumuko wa bei unagusa wote!
Kuna watu waliona fahari sana kuitwa wanyonge na maskini kwenye zile Zama za kayafa 🤣🤣🤣Nilishangaa kuna siku nilimsikia masikini akisema wewe tajiri kula raha zako duniani, mimi(yeye) masikini atakula raha peponi. Nikamjibu ikiwa hujaonekana duniani huyo atakae kuona peponi nani😂🤣🤣
Huo mstari wa kwanza uelewa mdogo na uchawi ndani yake mnakoma si ndugu wala jirani wote vibano mnavipataYaani masikini halafu uelewa mdogo. Ni bora ya mchawi mwenye digrii moja au Phd. Maskini sisi tuna mambo kweli
Akabeba ya machifu ya wakoloni akayaachaNyerere ilitakiwa achukue mazuri ya wakoloni ndio aendelee nayo.Yeye aliacha hata mazuri ya wakoloni
Mwenyewe una utajiri gani? Vibajaji viwili na banda unajiweka kundi la tajiri😂. Magufuli aliungwa mkono na wasomi na watu wako vizuri tu sio unawaita maskini.Habari!
Watu maskini, wajinga (waliokosa elimu), na wavivu ndio makundi ya watu waliokuwa wakifurahia harakati za Magufuli kutupeleka kwenye UJAMAA.
Hata.
UJAMAA hauwezi kufurahiwa na watu wenye bidii na vipawa katika utafutaji. Hata Wachina wanaukacha UJAMAA na kuanza kuishi kibepari, kila mmoja anakula kipawa na juhudi zake. Magufuli alipotumbua viongozi ilikuwa faraja kwa makundi hayo niliyoyataja, alipowafilisi mabosi kundi hili walishangilia.
Kundi hili kila siku linaishi likiamini kuwa matajiri wote ni mafisadi na wezi wa pesa zao. Kundi hili furaha yao ni kuona wa juu anashuka chini hata kama wao hawatapanda juu.
Umaskini mbaya wakuu.
tukuone basi wewe ukitajirika kwa kupiga hela ya umma. Huyo muovu lake kubwa ilikua kupambana na ufisadi serikalini, kukusanya kodi na kusimamia miradi ya maendeleo. Kama wewe uliona ni uovu bila shaka utakua mtu fisadi.Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Thus alishindwa,sekta binafsi ndio nguzo ya uchumi.Ujamaa ubakie kwenye mgawanyo wa huduma za Jamii na sio kwenye msingi wa uzalishaji.Mwenyewe una utajiri gani? Vibajaji viwili na banda unajiweka kundi la tajiri😂. Magufuli aliungwa mkono na wasomi na watu wako vizuri tu sio unawaita maskini.
Mnajidai kupenda ubepari wakati wala sio ubepari mnafanya ila kufanya magendo kuibia umma na kutumikia maslahi ya ubeberu wa kimataifa. Kwa msingi huo kamwe nchi haiwezi kuendelea.
Isitoshe itikadi rasmi ya ccm ni ujamaa na kujitegemea. Ccm ilishabadili mkakati jinsi ya kujenga ujamaa. Badala ya kutumia sekta ya umma sasa ni kutumia sekta binafsi.
Ili kufanikiwa sekta binafsi lazima kudhibitiwa na serikali. Kilichotokea kikawa tofauti. Ikawa sekta binafsi kudhibiti serikali.
Jpm alirejesha hali kuelekea nchi kujenga ujamaa kwa kudhibiti sekta binafsi. Sasa fisadi na wapiga dili mnafurahia hali ya sekta binafsi kudhibiti serikali kurejea.
hukuawai kuwa mzalendo unajua maana ya uzalendo ww? kupenda nchi na sio mtu nachukua watu wa dizaini yako walio jipa uzalendo wakizani mfalme ni mungu ataishi milele ungekua mzalendo ungeonesha saiz jinsi unavyo fanya iyo Kazi ambayo ulikua unafanya mpaka usiku ili ulete tija na kuongeza ufanisa wazalendo wapo mpakani hawalali ili wewe ulale Salama huu ujinga nimeusoma kwako Zaid ya Mara moja (sorry kama nimetumia lugha mbaya no hard feelings dude)Hakuna kipindi nilikuwa mzalendo kwa nchi yangu kama kwenye utawala wa JPM nlikuwa na wivu na nchi yangu hatari. Kila aliyehujumu choxhote nlikuwa mkali as if ananiibia mimi
hukuawai kuwa mzalendo unajua maana ya uzalendo ww? kupenda nchi na sio mtu nachukua watu wa dizaini yako walio jipa uzalendo wakizani kafalme ni mungu ataishi milele ungekua mzalendo ungeonesha saiz jinsi unavyo fanya iyo Kazi ambayo ulikua unafanya mpaka usiku ili ulete tija na kuongeza ufanisa wazalendo wapo mpakani hawalali ili ww ulaze matter ko yako Salama huu ujinga nimeusoma kwako Zaid ya Mala moja (sorry kama nimetumia lugha mbaya no hard feelings dude)
Wewe ni ndezi sababu hasa watu tuliompendea Magufuli ilikuwa ni kuleta usawa. Haijalishi mlimchukia kiasi gani ila kila mtu aliefanya kazi alikuwa anaiona hela na kulikuwa na boost ya watu kufanya kazi hasa wa hali ya chini.Habari!
Watu maskini, wajinga (waliokosa elimu), na wavivu ndio makundi ya watu waliokuwa wakifurahia harakati za Magufuli kutupeleka kwenye UJAMAA.
Hata.
UJAMAA hauwezi kufurahiwa na watu wenye bidii na vipawa katika utafutaji. Hata Wachina wanaukacha UJAMAA na kuanza kuishi kibepari, kila mmoja anakula kipawa na juhudi zake. Magufuli alipotumbua viongozi ilikuwa faraja kwa makundi hayo niliyoyataja, alipowafilisi mabosi kundi hili walishangilia.
Kundi hili kila siku linaishi likiamini kuwa matajiri wote ni mafisadi na wezi wa pesa zao. Kundi hili furaha yao ni kuona wa juu anashuka chini hata kama wao hawatapanda juu.
Umaskini mbaya wakuu.
Jamaa walichukia sababu hio hela ya rushwa ilikuwa ngumu kuipata, yani walilazimika kuishi kwa mishahara tofauti na kwa JK ambako mtu mwenye nafasi alikuwa anafisadi hadi analewa na mipesa. Anaishi maisha yasio yake kwa kutesa wengine ila kwao freshi. Huu ndio ujinga wanahisi ni ubepari.Kipindi cha magu niliusika kwenye ujenzi wa majengo ya hospital ela ilikuwa on time ushindwe wewe na uvivu wako, now tangu mwezi wa sita tunazungushana pesa as if hazipo hadi zimerudi kisa kuombana rushwa na maengineer,procurement officers na uzembe wa DED yaan hadi kero.
Nashangaa hili bandiko lako kuna uwezekano mkubwa utakuwa wapenda shortcuts sana
Maskini ni kupe,mzigo na hawaendi Mbinguni 👇
View attachment 2316304hahahaha chawa wa toka Ludewa unajipa moyo